Hauko peke yako, tuko wengi mkuu.Matusi na hasira zinatoka wapi? Yaani niweke identity yangu humu kukuridhisha wewe?
Pole Kama umeumia ila ndo hivyo ninamiliki iPhone 12 pro Max!!!!
Mkuu hizi forwarding service unatumia vipi? nahitaji muongozo.Tumia Amazon ama site za Uhakika za Usa zenye warranty, then tumia forwarding service yenye ofisi Tanzania ambao hata mzigo ukipotea wana refund, inaweza kuwa service za Aramex ama Fedex.
Na sidhani kama 12 mini unaipata kwa $399 unless unamaanisha Se
Hizi ni kampuni ambazo unazilipa hela zinakupa address, wewe unanunua kitu na kutumia address uliopewa then wao wanakipokea na ku kutumia wewe huku Tanzania.Mkuu hizi forwarding service unatumia vipi? nahitaji muongozo.
Ok nimekupata mkuu mimi huwa nashindwa kununua vitu kupitia Amazon kwa sababu ya bei ya shipping ndio maana nikaulizia lkn nimepata mwanga.Hizi ni kampuni ambazo unazilipa hela zinakupa address, wewe unanunua kitu na kutumia address uliopewa then wao wanakipokea na ku kutumia wewe huku Tanzania.
Mfano wa hizo service ni kama
1. Myus ambayo inatumia FedEx,
2. Shop and ship ina tumia Aramex
Gharama za usajili kama hio shop and ship ni $10 na kila nusu kilo kama $15 Hivyo kama unanunua kitu hizo gharama zitazidi kwenye bei ya kitu.
Pia Mwl rct Ana agizishia kama unaona njia za hapo juu ni ngumu.
Na tip nyengine subiria wakati wa offer, sikukuu kama xmass, New year, black Friday etc unakuta vitu kibao vinashuka bei, unaweza nunua kitu hata kwa nusu bei.