Apple yadaiwa ipo njiani kuzindua simu ya iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo

Apple Targets Sept. 7 for iPhone 14 Launch in Flurry of New Devices

Apple Inc. is aiming to hold a launch event on Sept. 7 to unveil the iPhone 14 line, according to people with knowledge of the matter, rolling out the latest version of a product that generates more than half its sales.

The new iPhones will kick off a busy fall product season, which will also include multiple new Macs, low-end and high-end iPads, and three Apple Watch models.

Apple is updating its flagship product at a precarious time for the industry. Smartphone sales have begun to flag as consumers cope with inflation and a shaky economy. But Apple appears to be faring better than its peers: The iPhone sold well last quarter, and the company has signaled to suppliers that it doesn’t foresee a dropoff in demand.

============================

Apple’s iPhone 14 event will reportedly take place in early September

Apple is targeting a September 7th date for its next product launch event, according to Bloomberg’s Mark Gurman. The company typically hosts a big event in the first part of September, and now we have a very likely date we can circle on the calendar.

As with its other events that have taken place during the COVID-19 pandemic, the plan is for this event to be streamed online, Gurman reports.

Apple is rumored to announce the iPhone 14 lineup at the show, which is expected to include: the base iPhone 14, a new big-screened iPhone 14, an iPhone 14 Pro, and an iPhone 14 Pro Max.

The Pro phones may be getting some of the flashier upgrades, as they’re rumored to lose the notch in favor of a pill-shaped hole-punch cutout, gain an always-on display, and have the next-generation A-series processor.

In past years, the iPhones revealed at the event have gone on sale shortly after — Gurman reports that store workers have been asked to prep for a launch of some kind on September 16th — so if you’re looking to upgrade, you might want to get your wallet ready.

At the event, Apple is also rumored to announce updates to the Apple Watch, including a new higher-end rugged model and a revised Apple Watch SE.

The company is also reportedly working on the next generation of the AirPods Pro, which could come with lossless audio support, a new entry-level iPad that could ditch the headphone jack, and more, so there are many potential products Apple could reveal at the upcoming event.

Apple didn’t immediately respond to a request for comment.
 
Ila bora uchukue 11
Kama una matumizi nayo hata special odder from apple ni sawa. Kwa maoni yangu, Ni ujinga kuwa na kitu cha gharama huku huna matumizi nacho sababu ya fashion. Ila hayo ni maoni still unaweza kupambana na fashion kama upendavyo bila kupangiwa.
 
KUNA WATU HUKO HATA VIDONDA VYA KWA MPALANGE HAVIJAPONA
cb82d8fbaac345a9bb5569d348243ef5.jpg
 
Kama una matumizi nayo hata special odder from apple ni sawa. Kwa maoni yangu, Ni ujinga kuwa na kitu cha gharama huku huna matumizi nacho sababu ya fashion. Ila hayo ni maoni still unaweza kupambana na fashion kama upendavyo bila kupangiwa.
Ulimbukeni tu, yani kila siku unaendeshwa na manunuzi ya bidhaa mpya kisa fasheni,

MFANO;

kampuni ya simu imewekeza kuleta matoleo mapya ya simu kila baada ya miaka miwili kwa miaka 100 mbele, inamaana wewe Mteja ndiye mtumwa wa kipumbavu kuteseka ilihali kampuni ya simu ni kupiga pesa kede kede....

Japo hatupangiani maisha lakini kila jambo ni heri lifanywe kwa kiasi
 
Kuna wengine pesa zimetukinai hatunazo ishu yoyote zaidi ya kuziona ni makaratasi
 
Nawaonea huruma wale wadada wote walioacha wapenzi zao kisa iphone 13

haya sasa wajiandae kuvunja tena mahusiano, fourteen hiyo hapo inakuja sijui

wataipa mbwembwe gani,Laiti Apple wangejua namna wanayumbisha mahusiano

ya watu huku nchi zetu hizi wangetulia tu,hata watu uchumba ukomae wavalishane

hata pete,sasa hata pete watu hawajavalishana tayari wameachia bunduki ingine....
 
Ulimbukeni tu, yani kila siku unaendeshwa na manunuzi ya bidhaa mpya kisa fasheni,

MFANO;

kampuni ya simu imewekeza kuleta matoleo mapya ya simu kila baada ya miaka miwili kwa miaka 100 mbele, inamaana wewe Mteja ndiye mtumwa wa kipumbavu kuteseka ilihali kampuni ya simu ni kupiga pesa kede kede....

Japo hatupangiani maisha lakini kila jambo ni heri lifanywe kwa kiasi
Ni upumbavu kabisa mkuu. Ila ndo hivyo hatupangiani maisha hata mtu akiamua kukinga kinyesi kwenye kisosi akala na pepsi hatumpangii.
 
Kabla huku Bongo hazijaja 13 plus original wanazindua toleo jingine.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wabongo wenye iphone 13 plus karibu zote ni refurbished
 
Back
Top Bottom