Mijadala migumu eeh? Mnataka.msifiwe. Kwani hamkupoteza viti kwenye huo.uchaguzi? Kama una maembe kumi, ukapokonywa na aliekuwa na mawili moja, huwezi kujisifia kuwa i still have 8! Mibhange tu hii.
Hoja yako imekosa mshiko Le Mutuz hakuteuliwa kacahagulia na wajumbe wa mkutano upo hapooo!!!!!!
Chama
Gongo la mboto DSM
Mind you hapo CDM ndio ilikuwa kwenye peak, unategemea nini uchaguzi ukifanyika leo Tanzania nzima? mtaendelea kupata majimbo machache na kisha mtakuja kujisifu kwamba mmeongeza mawili kwenye 21 mnayoashikilia? Siye wananchi tulitaraji mshinde siyo kuongeza vikata viwilisema hivi . . . Kati ya 29 vya CCM, 5 vimechukuliwa na CDM!
Chama cha mwabepande sijui kama umesoma nilicho kiandika!
Hivi hilo neno kuteuliwa umelipata wapi kwenye post yangu? Kweli we ni kiwanda! Kuwa makini!
Hivi swala la pembe za Ndovu mmeshalitolea ufafanuzi? Au ndio liko mahakamani?
Na swala la Twiga wetu?
Sio kwamba wana ccmweli hawapo on line,wapo wengi hila ni kwamba wanaona aibu kutetea maovu, ili kuitetea ccmweli lazima kichwa kigeuke kwanza!
Yani unataka watu watetee utoroshwaji wa pembe za ndovu na Twiga? Unataka watu washangilie utoroshwaji wa pesa na kujificha uswisi?
Wewe hauna aibu ila wenzio wanayo!
- Nimeshindwa kusoma yote maana it is toolong daamn! however naomba kusema hivi kama unaaamini CCM itameguka basi wahi Chadema, kama unaamini CCM imemeguka tayari basi wahi Chadema, CCM ni treni inaondoka haiwezi kusimama, ninasema CCM itshinda mwaka 2015, hakuna atakayemeguka wala kutoka, Chadema best net ilikuwa Sitta labda angetoka, lakini Slaa amemkorofisha na kusema sana now hakuna hope tena!!
- Mbowe hawezi kugombea na akigombea atashindwa vibaya sana, kwa sababu ana matatizo mengi sana ambayo yakijitokeza kwenye kampeni itakuwa ndio mwisho wa Chadema yote!! na besides alishwahi kushindwa sasa kitakuwa chama gani hicho cha wagombea walioshindwa kila uchaguzi? Slaa ndio kabisaa, kwanza umri wake ni mkubwa mno maana by 2015 atakuwa 75, hawezi kugombea na huo umri na pia ameshashindwa mara nyingi sana hana jipya tena!!
- Zitto ndio huyo wenye hiyo NGO hawamutaki, so see Chadema ipo kwenye big trouble kuliko unavyofikiri, CCM sasa ipo sawa sana, yaaani Kinana na huu moto wa sasa mwendo ni kwa mbele tu!!
Le Mutuz!!
in God we trust
- Kusimama kwa hoja zako hakubadili ukweli kwamba CCM majuzi imeshinda Udiwani, viti 22 kwa 5 tu vya Chadema, sihitaji kukusoma sana maana nia na madhumuni yako ni kunitoa kwenye mada ya kuwapa pongezi makamanda wa CCM online, unataka nijadili unachokiita mpasuko ndani ya CCM, mimi ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM majuzi nilikuwa Dodoma kwenye Mkutano wetu mkuu, sikuona dalili ya iana yoyote ya kupasuka!
- Sasa siwezi kupoteza muda wangu kusoma imaginations na mtu ambaye sio Kiongozi wa Taifa kama mimi, ila kwa vile yetu ni Demokrasia una haki ya kuamini kwamba CCM itameguka na kwamba imeshameguka, mimi nasema CCM itashinda uchaguzi 2015 na ndio utakuwa mwisho wa Chadema, kwa sababu wao ni chama cha kutafuta urais tu!!
Le Mutuz!!
Wee baba ivi sijui ukoje,hujasoma hoja ya mwenzako unamjibu nini kama hiki sii kihoja?..kuna siku nlikuona sehem rafiki yangu akaniambie yule usimone ana mwili na kichwa kikubwa anaongea uharo sasa nimeamini..najaribu kujiuliza maumbile ya ubongo wako yakoje? Mstatili ama trapeza au ARV fake ndo zinakufanya ushindwe kufikiri? Kuwa mwenye hekima hapa JF acha kutafuta sifa kwa kujidai rijali wakati huna mke.
Mimi naishi Mvumiii Makulu Dodoma kwa sasa sitegemei kwenda huko USA na nina miaka 31 na ni kijana na ninajitambua hivyo. Ninasema hawa watu wa sampuli hii ya akina Wiliam Malecela na wewe wenye mtazamo huo wa kwamba huko USA miaka 50 bado ni vijana, ni watu potofu, hivi kwani katiba ya uvccm imeweka bayana kiwango cha miaka gani mwanachama wake anayetaka kugombea nafasi ya uongozi ndani ya uvccm? unafikiri kwa nini? kwa mtazamo wangu katiba ya uvccm inaweza ikatumika kama precedence nzuri ya umri wa vijana kwenye siasa za hapa tanzania,sio watu wenye umri kama wa wiliam, lau masha,Matayo David,nk wajiite vijana wao kwa lugha ya kibongo ambayo imezoeleka lakini naiona haijanyooka vizuri wanatakiwa waitwe watu wa makamo,au watu wazima,ingawaje hakuna watu nusu au mtu mfu.Unategemea unaishi dunia gani USA miaka 50 bado kijana sana sasa kama wewe miaka 35 umeanza kujiona mzee hizo ni njaa zako!
Chama
Gongo la mboto DSM
Nashukuru kwa kunirekebisha juu ya generalization ya viongozi; ni kweli, sio viongozi wote wana matatizo, lakini matumizi yangu yalilenga zaidi katika kujenga hoja juu ya uwoga wa kufanya maamuzi magumu ya kukiokoa chama, nje ya kuhimiza kila mtu arudi kundini; Pia sikubaliani na mwenyekiti aliposema kwamba nje ya makundi ya Urais, CCM ni chama imara na hakina matatizo yoyote makubwa; Ukweli ni kwamba CCM has lost its political hegemony, hence legitimacy kwa miaka zaidi ya 20 sasa na hata Kolimba alizungumzia hili tena wakati ambao hapakuwa na makundi yoyote;
Kuhusu kuisambaratisha CCM mapema kuliko kusubiria isambaratishwe na upinzani - maana yangu ya msingi ni kwamba leo hii CCM bado ni moja sio kwa sababu ya wanachama na viongozi kushiba imani, bali ni kutokana na woga unaowatawala - aidha wengi sio safi na wanaogopa kuumbuliwa watakapoamua kufanya maamuzi magumu, wengi wapo kimaslahi zaidi, na pia wengi hawaoni agenda ya kufanya maamuzi magumu itakuwa ni ipi nje ya ufisadi wakati ukweli ni kwamba agenda zipo nyingi sana na nilizijadili katika uzi wangu mwingine 'Mangula, Kinana na hatima ya Taifa Letu';
Wapo wachache wenye uelewa kwamba CCM haiwezi kujisahihisha bila ya kuvunjika lakini tunarudi pale pale - uwoga ambao unatawaliwa na siasa za ANZA WEWE;
Naomba nikusumbue kwa kusoma kidogo maneno ya Mwalimu kisha tusaidiane kujadili iwapo CCM inaweza kujisahihisha bila ya kumeguka:
Miaka karibia 50 iliyopita, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alitoa kitabu chake cha "TUJISAHIHISHE" (May 1962).
Mwalimu Nyerere, Tujisahihishe, kurasa 1- 4, May 1962.
Wee baba ivi sijui ukoje,hujasoma hoja ya mwenzako unamjibu nini kama hiki sii kihoja?..kuna siku nlikuona sehem rafiki yangu akaniambie yule usimone ana mwili na kichwa kikubwa anaongea uharo sasa nimeamini..najaribu kujiuliza maumbile ya ubongo wako yakoje? Mstatili ama trapeza au ARV fake ndo zinakufanya ushindwe kufikiri? Kuwa mwenye hekima hapa JF acha kutafuta sifa kwa kujidai rijali wakati huna mke.
Mchambuzi ni mwanaccm na amekujibu vema kwa kujikita kwenye hoja zinazohusu ccm,- Nimeshindwa kusoma yote maana it is toolong daamn! however naomba kusema hivi kama unaaamini CCM itameguka basi wahi Chadema, kama unaamini CCM imemeguka tayari basi wahi Chadema, CCM ni treni inaondoka haiwezi kusimama, ninasema CCM itshinda mwaka 2015, hakuna atakayemeguka wala kutoka, Chadema best net ilikuwa Sitta labda angetoka, lakini Slaa amemkorofisha na kusema sana now hakuna hope tena!!
- Mbowe hawezi kugombea na akigombea atashindwa vibaya sana, kwa sababu ana matatizo mengi sana ambayo yakijitokeza kwenye kampeni itakuwa ndio mwisho wa Chadema yote!! na besides alishwahi kushindwa sasa kitakuwa chama gani hicho cha wagombea walioshindwa kila uchaguzi? Slaa ndio kabisaa, kwanza umri wake ni mkubwa mno maana by 2015 atakuwa 75, hawezi kugombea na huo umri na pia ameshashindwa mara nyingi sana hana jipya tena!!
- Zitto ndio huyo wenye hiyo NGO hawamutaki, so see Chadema ipo kwenye big trouble kuliko unavyofikiri, CCM sasa ipo sawa sana, yaaani Kinana na huu moto wa sasa mwendo ni kwa mbele tu!!
Le Mutuz!!
Mimi naishi Mvumiii Makulu Dodoma kwa sasa sitegemei kwenda huko USA na nina miaka 31 na ni kijana na ninajitambua hivyo. Ninasema hawa watu wa sampuli hii ya akina Wiliam Malecela na wewe wenye mtazamo huo wa kwamba huko USA miaka 50 bado ni vijana, ni watu potofu, hivi kwani katiba ya uvccm imeweka bayana kiwango cha miaka gani mwanachama wake anayetaka kugombea nafasi ya uongozi ndani ya uvccm? unafikiri kwa nini? kwa mtazamo wangu katiba ya uvccm inaweza ikatumika kama precedence nzuri ya umri wa vijana kwenye siasa za hapa tanzania,sio watu wenye umri kama wa wiliam, lau masha,Matayo David,nk wajiite vijana wao kwa lugha ya kibongo ambayo imezoeleka lakini naiona haijanyooka vizuri wanatakiwa waitwe watu wa makamo,au watu wazima,ingawaje hakuna watu nusu au mtu mfu.
- ha! ha! ha! ha! I know ila baba yangu sio mwizi na hajawahi kufukuzwa kazi na Serikali ya Tanzania tena kwa aibu!! so wewe furahia ufisadi wa baba na kuwaona wabongo wajinga huku unakula hela zao alizofisadi baba yako! ha! ha! ha!
- Njaa haikunikuta majuu kama wewe na bado haijanikuta bongo kama wewe! ha! ha! ha! baba yangu hana viwanda vya hela za ufisadi bro! ha! ha! ha!
Le Mutuz!!
- ha! ha! ha! ha! Especially mke anapokuwa 30 na Mume 70! ha! ha! ha! ha! yaani gap ya 40 years!!
Le Mutuz!!
- ha! ha! ha! ha! Especially mke anapokuwa 30 na Mume 70! ha! ha! ha! ha! yaani gap ya 40 years!!
Le Mutuz!!