Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Status
Not open for further replies.
Hivyo vioja vya udini na ukabila vina ukweli mkubwa kwasababu wewe binafsi ni mmoja wa wanaonufaika na ukabila huo huwezi kuliona tatizo hilo!

Chama
Gongo la mboto DSM

-Mbaya zaidi anayeongea Udini ni TUNTEMEKE ambaye nimekua nikiambatana nae kwenye kitimoto

Ukabila ni state of mind na mara nyingi watu ambao ni short sighted ndiyo huutumia.
 
Kwa wale wanaonifahamu hapa jamvini wanajua mimi nafanya nini. Sioni sababu yoyote ya kujieleza kwako wewe mtetezi wa uozo wa DHAIFU na magamba. Hunijui wala sina mpango wa kutaka unifahamu hunipunguzii wala kuniongezea chochote kile.

Sioni unachokifanya zaidi ya kumuonea wivu mwanaume mwenzako; yaani kama mambo fulani ya kidemu umeingia nahoja zako kike mpaka umeatuaharibia mjadala wetu; mapimbi kama wewe niwajue ili iweje?

kwani wewe ni nani nduguyangu?..MODERATOR au?maana naona umeshikilia hapohapo kwenye kukujua au kutokukujua.
AU WEWE NI MTOTO WA MBOWE NINI?.
Aaah,whatever,kukujua au kutokukujua hakuniongezei wala kunipunguzia vitamin yeyote aisee.
 
me nawapa pongezi moja tu, kwa kuanza kuzinduka kukijenga chama upya maana walijisahau sasa sijui kama watafanikiwa ama vipi, mungu akipenda wanaweza kusimama vizur CCM kwa sababu CCM si chama kibaya ila kuna watu wabaya na hao watu wabaya ndo wanafanya CCM hionekane mbaya na hao watu wabaya wameshindwa kuwatoa sasa ubaya unazidi, na wabaya wanazidi jaman KUFUGA MARADHI NI VIBAYA SANA MAANA YAKISHAKUWA MAKUBWA YANAKUGHARIMU ZAIDI.
Mkakati wao huo mpya ulikuwa unapwaya sana humu kwenye mitandao. WJM amepewa( amejipa?) kazi hiyo. Inaelekea ataimudu kwa kuwa mara zote hakimbii mashambulizi kama akina Nape. Nawaomba akina Kinana wamuwezeshe kwa sana tu. Nimesikia wanaanzisha upya chuo cha makada wao. Wasimsahau WJM. Wampeleke huko. Wampike aive vizuri zaidi kisiasa na kiitikadi.
 
-Mbaya zaidi anayeongea Udini ni TUNTEMEKE ambaye nimekua nikiambatana nae kwenye kitimoto

Ukabila ni state of mind na mara nyingi watu ambao ni short sighted ndiyo huutumia.

Kwa maana hiyo hapo Chadema mpo wengi sana short sighted na ndio sababu wananchi wanawaogopa kuwapa uraisi!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kwa story za kutunga ndio mwenyewe. Siku moja tulikuwa tunaongea kupitia PM basi acha anishupalie ananijua hivyo nimpe namba yangu anipigie simu au nimpigie mimi na namba yake akanipa. Alikolalia yeye Le Mutuz mimi ndiko nilikoamkia. Nikamuuliza kama unanifahamu mimi ni nani? akaanza kung'aa macho na kisha akaingia mitini. Hanijui hata chembe ila ni mzuri kwa kutunga story akienda kule Hollywood anaweza kutengeneza mchuzi mzuri sana.

Le Mutuz mbona anasema anakujua mpaka mdingi wako!
 
Mkuu Ritz, nimefuatilia hii thread toka mwanzo. Nimeshindwa kuchangia cuz nimeona ni kama watu wameanza kushambuliana badala ya kubaki kwenye mada husika. Kwa kiasi kikubwa naona William amekosea sana, kuna mambo hakupaswa kuandika, though tumeshamzoea!! Kwa nafasi tuliyompa hakutakiwa aonyeshe this kind of behavior. Anyway, chama kinafahamu zaidi na haya tunayaona. Kwa maoni yangu hii siyo njia sahihi, na kiongozi mzuri atakiwi awe hivi.

When its out of nobility, credibility, maturity and wisdom? ... I Salute your OBSERVATION!!!!
 
Ndio maana nikapoint out umri, na ndivyo ilivyotokea...........Mawazo yako yoote unadhani mimi CDM. Si mwanachama wala shabiki wa chama chochote.

Na bado narudia nilichoandika: "Honestly kuna tofauti kubwa sana kati ya umri na uelewa"
Tafakari.
Jaribu kutafakari kabla ya kuandika

Malipo yanatokana na idadi ya post zinazobandikwa JF, na hapa Jukwaani ni rahisi kuwatambua mashabiki wanaofaidika na malipo haya na wale ambao hawamo katika kadhia hii. Mfano mzuri kutambua hili kagua post za W. J. Malecela na Mchambuzi juu ya habari zinazohusu CCM.
 
Last edited by a moderator:
Ahaaaa lol! Elungata na Chama kumbe ni mtu yule yule!!!! umechanganya madawa 🙂🙂...

kwani wewe ni nani nduguyangu?..MODERATOR au?maana naona umeshikilia hapohapo kwenye kukujua au kutokukujua.
AU WEWE NI MTOTO WA MBOWE NINI?.
Aaah,whatever,kukujua au kutokukujua hakuniongezei wala kunipunguzia vitamin yeyote aisee.
 
Comrade.....

Ukweli ni kwamba siasa za Tanzania sasa hivi zimeingiliwa na hazina maana yoyote......Vyama (ikiwa ni pamoja na chama tawala, CDM na vingine) vimekuwa vikundi vya mipasho, havina tofauti na enzi zile za TOT Taarab (Khadija Kopa) na Muungano Cultural Troupe(Bi Nasma Khamis Kidogo - RIP)......Siku hizi vyama badala ya kueleza nini watawafanyia watanzania, vyenyewe ni kutupiana maneno ya kejeli, kutukanana na kila aina ya upuuzi.....Ni ajabu kuona CCM badala ya kueleza ni wamewafanyia watanzania katika miaka 50 ya Uhuru (ambavyo vipo na vinaonekana) wao wanakaa na kuisakama CHADEMA na viongozi wake......

Inashangaza pia kuona CHADEMA kama chama mbadala katika siasa za Tanzania badala ya kuutumia muda huu wa kuelekea mwaka 2015 badala ya kuwaeleza watanzania nini watawafanyia mara watakapochaguliwa wao nao kila uchao wamekuwa wakiisakama CCM na viongozi wao kila uchao.....Imekuwa ni mipasho tu kila kukicha.....

Ni ajabu kuona viongozi wa vyama vya kisiasa (hasa wa CCM na CHADEMA) wakitumia muda mwingi kukashifiana na kukashifu vyama vyao badala ya kuwaeleza wananchi sera na nini wamewafanyia/watawafanyia wananchi hao wa taifa hili maskini.....Hu si wakati wa viongozi wa CHADEMA kutumia muda mwingi kuelezea udhaifu wa sekretarieti mpya ya CCM, huu ni muda wa wao kujipanga na kwenda kwa wananchi na kuwaeleza nini watawafanyia mara watakapowachagua(kumwaga sera), huu ni wakati wa kwenda kuwatongoza wananchi, huu ni wakati wa kuwashawishi wananchi kujenga imani na chama hicho, kuisakama sekretarieti ya CCM na agenda isiyochuja ya ufisadi hakutakisaidia CHADEMA kuingia madarakani, CCM imekuwa dhaifu tangu mwaka 2005 baada ya mgawanyiko uliotokana na mtandao lakini bado imeendelea kushinda uchaguzi( wa Urais, wabunge na madiwani) na kuendelea kushika dola... Agenda ya ufisadi imeanza kuzungumzwa majukwaani tangu mwaka 2006 pamoja na kuwaingia watanzania bado haijawasaidia CHADEMA kisiasa......CHADEMA wanapaswa kuutumia muda huu(ambao kimsingi ilitakiwa ianze tangu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010) kujiimarisha kisiasa na kujenga imani kwa watanzania kwa kuwaeleza nini watawafanyia pamoja na kujenga mtandano ulio imara kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa badala ya kutegemea ofisi na viongozi wa kujitolea kama ilivyo sasa......CHADEMA wanapaswa kutafuta ofisi na viongozi katika kila eneo la nchi hii (bara na visiwani) kuanzia katika ngazi ya Tawi mpaka mikoani na si kutegemea Operesheni Sangara, M4C n.k.....Kwa kufanya hivyo watakuwa karibu zaidi na wananchi......Kutumia muda mwingi kuelezea ufisadi wa viongozi wa CCM na serikali na kuiponda sekretarieti mpya ya CCM hakutakisaidia CHADEMA....Kama sekretarieti hiyo ni dhaifu ni bora CHADEMA wakatumia mbinu za kisiasa kuutumia udhaifu huo kujinufaisha kisiasa, kuisakama na kuiponda majukwaani ni dalili za KUIOGOPA..

Kwa chama changu CCM, kwa kweli sitofautiani na ndugu yangu Comrade Mchambuzi .....Niko naye ukurasa mmoja kabisa, chama chetu kina matatizo mengi sana kiasi kwamba kwa walio karibu na siasa za ndani za CCM wanaweza kudhani kuna vyama zaidi ya vinne ndani ya CCM, kinachosababisha hali hii si kingine, ni makundi ya waroho wa madaraka (wanaoutaka urais) , rushwa pamoja na kulindana ndani ya chama... Makundi ndani ya chama ndiyo imekuwa kansa inayokitafuna chama kuanzia mwaka 2005 na kadri siku zinavyokwenda kansa hii imezidi kuwa sugu na sasa makundi zaidi yanaundwa kwa ajili ya kujipanga kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hii ni hatari sana, haya tunayoyasikia ya Membe na Bashe ni manynyu tu, mvua kamili itaanza kuonekana/kunyesha mwaka 2014....Makundi haya yasipodhibitiwa(japo ni too late) yatakifanya chama kiwe na hali mbaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015...Hali hii ya makundi ipo hata katika ngazi ya Ubunge na Udiwani......

Kuhusu Rushwa ndani ya chama kwa sasa; ni miujiza pekee ndiyo inayoweza kutenganisha rushwa na uongozi ndani ya chama chetu hiki....Rushwa nayo imekuwa kansa ambayo tiba yake ni ngumu kupatikana......Sijajua ni mbinu zipi hasa mzee wangu mpiganaji na muadilifu Philip Mangula atazitumia katika kupambana na rushwa na wala rushwa ndani ya chama maana karibu asilimia 90 ya viongozi wa chama na wawakilishi(wabunge,wjumbe wa baraza la wawakilishi,madiwani,masheha n.k) wameingia madarakani kwa rushwa.....Nasubiria hiyo miujiza ya kuwaondoa waliopata uongozi kwa rushwa ndani ya miezi 6......Ila kiukweli nina imani sana na sekretarieti mpya ya CCM na nimefurahishwa na utaratibu unaotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM Kanali(mstaafu) Abdulrahman Kinana kuzunguka na viongozi wa serikali katika mikutano yake na kuwabana mbele ya wananchi.....Hii inadhihirisha kwamba sekretarieti hiyo imekuja kikazi zaidi na si porojo.....

Ni matumaini yangu kwamba mzee Mangula kama Kiongozi wa maadili ndani ya chama atasaidia katika kuondoa tatizo la kulindana na kuwashughulikia viongozi na wanachama wasio waadilifu ndani ya CCM, na kwa kuanzia waanze na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa na baadae kwa wale wote wenye uroho wa madaraka ambao wanatumia muda mwingi kukidhoofisha chama kwa kuendekeza makundi ndani ya chama na kuzua mpasuko ambao unakigharimu chama na utazidi kukigharimu siku za usoni.......

Siasa si uadui.......Japo ni mchezo mchafu

Tutabanana humuhumu ndani ya CCM.....

Bala.

Comrade Bala,

Wewe ni Miongoni mwa wanachama wachache wa CCM wenye ukomavu wa hali ya juu kwenye mijadala.

Michango yako inatupeleka enzi za akina DrWho,Dua,FikiraDuni,Mkandara,Waberoya,WoS,Kiranga, na wengineo wengi

-Ni fedheha sana kuona baadhi ya viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa tena wasomi wakiachana na hoja na kwenda personal vendatta

-Ni dalili za fikra finyu.Political Maturity imekua anasa ya mbali.

-Hatujadili itikadi wala zofauti za kisera na kutetea hoja yako au kupinga hoja ya mwingine kwa misingi hiyo

-Jenerali Ulimwengu alituambia siku moja tumekua taifa dogo la watu wadogo.Hapa ni kwa kuwa tumepunguza mno kufikiri,trivialization ndiyo easy Exit

-Ukisoma mitandao ya nchi nyingine utaona tofauti.CHADEMA na CCM tunatakiwa tufanye better than this.Tunatia aibu.

Bala karibu kule jukwaa la Great thinkers maanake kule hawa waimbaji wa muziki wa mwambao hawathubutu kule.Hapa naona mapigano ya koo tu
 
Last edited by a moderator:
Kwa story za kutunga ndio mwenyewe. Siku moja tulikuwa tunaongea kupitia PM basi acha anishupalie ananijua hivyo nimpe namba yangu anipigie simu au nimpigie mimi na namba yake akanipa. Alikolalia yeye Le Mutuz mimi ndiko nilikoamkia. Nikamuuliza kama unanifahamu mimi ni nani? akaanza kung'aa macho na kisha akaingia mitini. Hanijui hata chembe ila ni mzuri kwa kutunga story akienda kule Hollywood anaweza kutengeneza mchuzi mzuri sana.
Kama WJM ndie FMES unalolisema hapa ni kweli kabisa. Ukimbana kikamilifu kwa hoja anakimbilia kutangaza kukujua sana tu.
 
Kwa story za kutunga ndio mwenyewe. Siku moja tulikuwa tunaongea kupitia PM basi acha anishupalie ananijua hivyo nimpe namba yangu anipigie simu au nimpigie mimi na namba yake akanipa. Alikolalia yeye Le Mutuz mimi ndiko nilikoamkia. Nikamuuliza kama unanifahamu mimi ni nani? akaanza kung'aa macho na kisha akaingia mitini. Hanijui hata chembe ila ni mzuri kwa kutunga story akienda kule Hollywood anaweza kutengeneza mchuzi mzuri sana.

- Kijana mdogo hapa hakuna kujuana hapa wewe nenda kauze mbao za baba yako fisadi!!

Le Mutuz!!
 
That is your opinion, but I beg to differ with your opinion. Maisha yake hayana siri na sioni cha ajabu yoyote kumwambia mtu aache utoto na kubadilika ili aanze kusimamia responsibilities zake kama Baba na pia mume badala ya kufanya vitu vya ajabu ajabu. Huo ni ushauri ambao ningempa hata ndugu yangu wa kutoka nitoke. Akitaka anaweza kuufuata au la na kuendelea na utoto wake.

sasa si ungemfata ukampe ushauri wako huo.au unge mPM.
Wewe umeona hapa jf ndo pa kupeana ushauri wa mambo binafsi?tena kwenye jukwaa la siasa.?
Ungemwambia,''bro Le mutuz twenzetu PM kuna ushauri nataka kukupa ''.SIMPLE..
 
hahahahah lol! nimuonee wivu kwa lipi? la mtu mzima kufanya mambo ya kitoto na kukimbia responsibilities zake kama Mume na Baba? sasa tangu lini pimbi akajibizana na binadamu? We unachekesha sana!!!! lol! huna nguvu ya hoja banaaa kama ilivyo kawaida ya magamba. Mkishindwa hoja mnakimbilia maneno machafu kama yule Mwigulu.

Sioni unachokifanya zaidi ya kumuonea wivu mwanaume mwenzako; yaani kama mambo fulani ya kidemu umeingia nahoja zako kike mpaka umeatuaharibia mjadala wetu; mapimbi kama wewe niwajue ili iweje?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
That is your opinion, but I beg to differ with your opinion. Maisha yake hayana siri na sioni cha ajabu yoyote kumwambia mtu aache utoto na kubadilika ili aanze kusimamia responsibilities zake kama Baba na pia mume badala ya kufanya vitu vya ajabu ajabu. Huo ni ushauri ambao ningempa hata ndugu yangu wa kutoka nitoke. Akitaka anaweza kuufuata au la na kuendelea na utoto wake.

- Utoto ni mtu mzima kama wew na mke na watoto wako kuishi kwa baba, na kufanya kazi kwa baba1 ha1 ha! ha1 yes mimi ni big Celeb na Big Public figure so lazima unijue kwa nje, ulipokuja New York umenikuta so is hapa bongo muziki wangu mzito huuwezi kijana mdogo suibiri kupea amri na mke, halafu next time mfundishe Slaa amrudie mkewe kwanza
halafu punguza kulewa mpaka hujielewi maan huku bongo hiyo ni hatari sana kule New York watu walikuwa wastaarabu sana sio huku!!

Kidumu CCM!!

Le Mutuz!!
 
Comrade.....

Ukweli ni kwamba siasa za Tanzania sasa hivi zimeingiliwa na hazina maana yoyote......Vyama (ikiwa ni pamoja na chama tawala, CDM na vingine) vimekuwa vikundi vya mipasho, havina tofauti na enzi zile za TOT Taarab (Khadija Kopa) na Muungano Cultural Troupe(Bi Nasma Khamis Kidogo - RIP)......Siku hizi vyama badala ya kueleza nini watawafanyia watanzania, vyenyewe ni kutupiana maneno ya kejeli, kutukanana na kila aina ya upuuzi.....Ni ajabu kuona CCM badala ya kueleza ni wamewafanyia watanzania katika miaka 50 ya Uhuru (ambavyo vipo na vinaonekana) wao wanakaa na kuisakama CHADEMA na viongozi wake......

Inashangaza pia kuona CHADEMA kama chama mbadala katika siasa za Tanzania badala ya kuutumia muda huu wa kuelekea mwaka 2015 badala ya kuwaeleza watanzania nini watawafanyia mara watakapochaguliwa wao nao kila uchao wamekuwa wakiisakama CCM na viongozi wao kila uchao.....Imekuwa ni mipasho tu kila kukicha.....

Ni ajabu kuona viongozi wa vyama vya kisiasa (hasa wa CCM na CHADEMA) wakitumia muda mwingi kukashifiana na kukashifu vyama vyao badala ya kuwaeleza wananchi sera na nini wamewafanyia/watawafanyia wananchi hao wa taifa hili maskini.....Hu si wakati wa viongozi wa CHADEMA kutumia muda mwingi kuelezea udhaifu wa sekretarieti mpya ya CCM, huu ni muda wa wao kujipanga na kwenda kwa wananchi na kuwaeleza nini watawafanyia mara watakapowachagua(kumwaga sera), huu ni wakati wa kwenda kuwatongoza wananchi, huu ni wakati wa kuwashawishi wananchi kujenga imani na chama hicho, kuisakama sekretarieti ya CCM na agenda isiyochuja ya ufisadi hakutakisaidia CHADEMA kuingia madarakani, CCM imekuwa dhaifu tangu mwaka 2005 baada ya mgawanyiko uliotokana na mtandao lakini bado imeendelea kushinda uchaguzi( wa Urais, wabunge na madiwani) na kuendelea kushika dola... Agenda ya ufisadi imeanza kuzungumzwa majukwaani tangu mwaka 2006 pamoja na kuwaingia watanzania bado haijawasaidia CHADEMA kisiasa......CHADEMA wanapaswa kuutumia muda huu(ambao kimsingi ilitakiwa ianze tangu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010) kujiimarisha kisiasa na kujenga imani kwa watanzania kwa kuwaeleza nini watawafanyia pamoja na kujenga mtandano ulio imara kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa badala ya kutegemea ofisi na viongozi wa kujitolea kama ilivyo sasa......CHADEMA wanapaswa kutafuta ofisi na viongozi katika kila eneo la nchi hii (bara na visiwani) kuanzia katika ngazi ya Tawi mpaka mikoani na si kutegemea Operesheni Sangara, M4C n.k.....Kwa kufanya hivyo watakuwa karibu zaidi na wananchi......Kutumia muda mwingi kuelezea ufisadi wa viongozi wa CCM na serikali na kuiponda sekretarieti mpya ya CCM hakutakisaidia CHADEMA....Kama sekretarieti hiyo ni dhaifu ni bora CHADEMA wakatumia mbinu za kisiasa kuutumia udhaifu huo kujinufaisha kisiasa, kuisakama na kuiponda majukwaani ni dalili za KUIOGOPA..

Kwa chama changu CCM, kwa kweli sitofautiani na ndugu yangu Comrade Mchambuzi .....Niko naye ukurasa mmoja kabisa, chama chetu kina matatizo mengi sana kiasi kwamba kwa walio karibu na siasa za ndani za CCM wanaweza kudhani kuna vyama zaidi ya vinne ndani ya CCM, kinachosababisha hali hii si kingine, ni makundi ya waroho wa madaraka (wanaoutaka urais) , rushwa pamoja na kulindana ndani ya chama... Makundi ndani ya chama ndiyo imekuwa kansa inayokitafuna chama kuanzia mwaka 2005 na kadri siku zinavyokwenda kansa hii imezidi kuwa sugu na sasa makundi zaidi yanaundwa kwa ajili ya kujipanga kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hii ni hatari sana, haya tunayoyasikia ya Membe na Bashe ni manynyu tu, mvua kamili itaanza kuonekana/kunyesha mwaka 2014....Makundi haya yasipodhibitiwa(japo ni too late) yatakifanya chama kiwe na hali mbaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015...Hali hii ya makundi ipo hata katika ngazi ya Ubunge na Udiwani......

Kuhusu Rushwa ndani ya chama kwa sasa; ni miujiza pekee ndiyo inayoweza kutenganisha rushwa na uongozi ndani ya chama chetu hiki....Rushwa nayo imekuwa kansa ambayo tiba yake ni ngumu kupatikana......Sijajua ni mbinu zipi hasa mzee wangu mpiganaji na muadilifu Philip Mangula atazitumia katika kupambana na rushwa na wala rushwa ndani ya chama maana karibu asilimia 90 ya viongozi wa chama na wawakilishi(wabunge,wjumbe wa baraza la wawakilishi,madiwani,masheha n.k) wameingia madarakani kwa rushwa.....Nasubiria hiyo miujiza ya kuwaondoa waliopata uongozi kwa rushwa ndani ya miezi 6......Ila kiukweli nina imani sana na sekretarieti mpya ya CCM na nimefurahishwa na utaratibu unaotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM Kanali(mstaafu) Abdulrahman Kinana kuzunguka na viongozi wa serikali katika mikutano yake na kuwabana mbele ya wananchi.....Hii inadhihirisha kwamba sekretarieti hiyo imekuja kikazi zaidi na si porojo.....

Ni matumaini yangu kwamba mzee Mangula kama Kiongozi wa maadili ndani ya chama atasaidia katika kuondoa tatizo la kulindana na kuwashughulikia viongozi na wanachama wasio waadilifu ndani ya CCM, na kwa kuanzia waanze na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa na baadae kwa wale wote wenye uroho wa madaraka ambao wanatumia muda mwingi kukidhoofisha chama kwa kuendekeza makundi ndani ya chama na kuzua mpasuko ambao unakigharimu chama na utazidi kukigharimu siku za usoni.......

Siasa si uadui.......Japo ni mchezo mchafu

Tutabanana humuhumu ndani ya CCM.....

Bala.

Comrade Bala,

Wewe ni Miongoni mwa wanachama wachache wa CCM wenye ukomavu wa hali ya juu kwenye mijadala.

Michango yako inatupeleka enzi za akina DrWho,Dua,FikiraDuni,Mkandara,Waberoya,WoS,Kiranga, na wengineo wengi

-Ni fedheha sana kuona baadhi ya viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa tena wasomi wakiachana na hoja na kwenda personal vendatta

-Ni dalili za fikra finyu.Political Maturity imekua anasa ya mbali.

-Hatujadili itikadi wala zofauti za kisera na kutetea hoja yako au kupinga hoja ya mwingine kwa misingi hiyo

-Jenerali Ulimwengu alituambia siku moja tumekua taifa dogo la watu wadogo.Hapa ni kwa kuwa tumepunguza mno kufikiri,trivialization ndiyo easy Exit

-Ukisoma mitandao ya nchi nyingine utaona tofauti.CHADEMA na CCM tunatakiwa tufanye better than this.Tunatia aibu.

Bala karibu kule jukwaa la Great thinkers maanake kule hawa waimbaji wa muziki wa mwambao hawathubutu kule.Hapa naona mapigano ya koo tu
 
Last edited by a moderator:
Mbona unajidhalilisha kweli? Kurudi nchini unavamia vyeo left and right? Kama kweli unaipenda ccm, si tungekuona kabla. Just like all of them! Ni mahali pa kufanya ufisadi. Subiri Mtera ukapambane na Livingtone! Lugha zenu zitafanana

- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za
uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!

- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!

- KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!

Le Mutuz!! THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA!!
 
Usisahau kama hii ni JF where we dare to talk openly...kwanini nifanye siri? labda ushauri kama huu unaweza kumsadia mtu mwingine pia.

Back
Top Bottom