FILIPOoooo!!!

FILIPOoooo!!!

Nipo Mkuu! Wife marejesho hahitaji faraja maana tupo wazima with good terms and conditions!


Bora umekuja kutupa uhakika mwenyewe, tena bila kukuja mkono kama yule jirani yenu mwenye mamvi ya kuua mtu...

Huku kwetu Pwani, nilikuwa naanza kutafuta ndizi za kutafunia kipunga!!

Babu DC!!
 
habari ya siku nyingi kaka,najua utajiuliza mimi ni nani sababu ninaonekana mpya kabisahapa natumia philipokidwangalakininimuda mrefu nkijaribu kulog in nakawa nashindwa sijui niushamba,ikabidi niingie upya kivingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom