Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Alichanganya mitungi sana jana ndo kaamka leo saa nane mchana akapepesuka toka kitandani akaangukia keyboard afu aka press submit. Matokeo ndo haya
Upo Mkuu? Jana sijakuona!
hah hah hah hah! Waajabu mimi au wewe? Niteme bana!
Wewe ndio wa ajabu,yaani ikiwezekana leo usiku wa manane nakuzukia kwenye ndoto!
UTAKOMAJE!!!!!!
Makubwa!! Unataka kumuota Mume Wangu? Akifanyeje?
Makubwa!! Unataka kumuota Mume Wangu? Akifanyeje?
sijui ndiye aliyerithi mikoba ya Yahya! Au ndiye izirael mtoa roho?
Chagua wewe,unataka nimuotaje?