Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 596
Tuanze na kumshukuru mungu kwa kutufanya sisi sote tuwazima, habari mabibi na mabwana, wanawake wa zamani; ukimtongoza basi hua alikua hakuangalii usoni na kama kucha mikononi zitaisha, na kama ni majani yatachumwa na kung'olewa huku anacheka cheka kwa aibu na hawana mambo mengi mana hua unachotaka wewe ndo wanacho kitii.
ILA hawa wa TEKINOLOJIA ni balaa wanawake wa sasa; ukimsimamisha tu anakua anajua utanza na nini, alafu sasa uwe ndo unamtongozaa, anakutazama maeneo ya usoni, na jinsi anavyo kusikiliza ukiwa unamwaga sera zako anakua kama mtu anaepewa maagizo yani umalize kuongea yeye aondoke. Na likija swala la appointment ya kuja getto, nauli utampa ila akifika tu, utasikia "ila leo nipo kwenye siku zangu"