FILIPOoooo!!!

FILIPOoooo!!!

Achana nae huyo majungu maker, anantaka simtaki, ananiundia zengwe! Baba V shindwa kama John Elias, tena unikome

Haka ka style mlikojigundulia ninyi? Yeyote atakayewachana live basi anawataka, nikutake napenda presha mie!?
 
Last edited by a moderator:
Haka ka style mlikojigundulia ninyi? Yeyote atakayewachana live basi anawataka, nikutake napenda presha mie!?
Sasa kumbe pilipili usiyoila yakuwashia nini? Wewe ni nitonye?
 
Last edited by a moderator:
Acha wafike mia, hayakuhusu baba

Inafikia hatua yananihusu nikiwa mwenyekiti wa tume ya mahusiano na ndoa, tena hivi karibuni nakuja na azimio jipya la namna ya kuwasaidia watu wa type yako na Madame B msioweza kutulia na mume mmoja,natumai utaipenda mama tuombe uzima
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom