PART ASIFIWE MALILA
Member
- Mar 21, 2024
- 36
- 73
Maamuzi ni moja ya funguo za msingi sana katika maisha. Kama mtu akiniuliza swali juu ya kutafuta mabadiliko nitamwambia kwamba ni kheri akatafuta njia ya kufanya maamuzi.....
Matokeo yako ya sasa yanatokana na aina ya maamuzi ambayo uliyafanya jana.....
Jumatatu ya leo nipo kukumbusha kufanya maamuzi sahihi yanayoweza kukusaidia na kukujenga kwenye maisha.....
Tafakari na chukua hatua.....👊