FILIPOoooo!!!

FILIPOoooo!!!

Hakyamungu huu upepo sijui ulikoanzia! Filipo njoo tuambie isijekuwa mlianzia PM mkaamua kuja hadharani.

Hakuna PM wala nini! Ni pepo tu natakawa nimkabili! Kemea mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna PM wala nini! Ni pepo tu natakawa nimkabili! Kemea mkuu!

Alichanganya mitungi sana jana ndo kaamka leo saa nane mchana akapepesuka toka kitandani akaangukia keyboard afu aka press submit. Matokeo ndo haya
 
Umesahau eeh!!
Jana uliniambia nini kwenye ule uzi wa mzee wa Gombe?

Uuuuuhu!? Umenishtua hivyo!? Nikazama kwenye maombi muda wote nikimkemea shetani, kuyashinda majaribu, kuikimbia zinaa na kuilinda ndoa kumbe ni mambo ya Gombe? Amen, asante Baba kwa kunilinda. Hata hivyo umenichosha!
 
Alichanganya mitungi sana jana ndo kaamka leo saa nane mchana akapepesuka toka kitandani akaangukia keyboard afu aka press submit. Matokeo ndo haya

Hahahahaaaaa...
Khaa!!
Baba V,kweli akutukanae hakuchagulii tusi!!
Filipo anaujua ugomvi wetu,sema basi tu!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa...
Khaa!!
Baba V,kweli akutukanae hakuchagulii tusi!!
Filipo anaujua ugomvi wetu,sema basi tu!!

ugomvi gani bana! Usinichanganye kwenye njia yako ya kupewa ban. Mi sijawahi onja ban tangu nimezaliwa!? Shindwaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Uuuuuhu!? Umenishtua hivyo!? Nikazama kwenye maombi muda wote nikimkemea shetani, kuyashinda majaribu, kuikimbia zinaa na kuilinda ndoa kumbe ni mambo ya Gombe? Amen, asante Baba kwa kunilinda. Hata hivyo umenichosha!

Hahahaaa!!
Maombi ni akiba,kwa hiyo utakuwa umejiwekea akiba kwa mambo yajayo.
Hujaniombea?
 
Nilikuwa napambana na nguvu zako za giza. Bahati yako sio zinaa, ningekukimbia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom