Fikra za Mwalimu: Hizi hapa.. mzikubali au mzipinge!

Fikra za Mwalimu: Hizi hapa.. mzikubali au mzipinge!

....watakuita wewe chizi, hujui, una jazba na huna dataz!!!
.....ndio maana mie nahisi ktk Tanzania yetu, kuna vitanzania vingine viiiiiingi ambavyo watu wanaishi humo na kutokujua yepi yanatokea ktk vitanzania vingine!!!

ukiongelea Marekani ya JFK, mahusiano yake na Nyerere/Nyerere na watu kama Bob McNamara(defense secretary JFK admin, later IMF chief) na mahusiano yao na Cuba kabla ya missile crisis....lazima uweke ndani hapo Ukatoliki, ama sivyo unakuwa umebugi!!

Najaribu sana kuelewa ukatoliki unahusiana nini na kinachoengelewa hapa.... kwa mbali nimeanza kupata sababu ya haya yote!!!!!!
 
].....na ninyi mnajifanya "nyerere lovers" halafu mpo upinzani, mnajiharibia tu chances zenu za kushinda!!! [/B]na ndio maana wananchi/CCM wanasema hamna sera, kwasababu bado mnakumbatia nyerereism na kwabahati mbaya ina work to your disadvantages!! mpaka pale mbowe sijui nani watakaposimama majukwaani na kupinga sera mbovu za nyerere, kuzi-connect moja kwa moja na CCM kama ilivyosasa, utendaji wetu wa serikali na miseries zote za TZ...kwa maneno mengine, kumtrash nyerere, basi upinzani utashindwa chaguzi baada ya chaguzi!!!.

Hivi kuna kujifanya hapa tena mkuu, kama ni hivyo vipi wale wanaojifanya kuwa wanamchukia Nyerere na bado wako ccm wakila pesa za kifisadi nak kunywa maji ya sera za Nyerere?

Naomba ieleweke kuwa hakuna chuki hapa au pendo dhidi ya mtu binafsi bali tu maelekezo ya mafanikio au mashindikano ya sera na fikra zake.
 
Mwafrika, achana naye huyu kwa sababu ameshindwa kwenye uwanja wa hoja na sasa analeta vioja. Nimeshaamua kupuuza maandishi yake kwa sababu hayatokani na ukweli wa fikra au kuundwa kutokana na nguvu za hoja. Anajaribu kulazimisha watu wamsikilize kwa kutumia maneno ya vihoja.

Tuendelee kutafakari fikra za muasisi wetu. Na leo tutaenda kuangalia mojawapo ya fikra zake ambazo zinadaiwa kuwa na utata sana; zila zinazohusu vijiji vya ujamaa. Tuone yeye aliwaza nini na kulikuwa na makosa gani katika fikra hizo na kama hazikuwa na makosa, tulienda wapi kombo?
 
Kuhani Mkuu,
Duh mbona hizo data zako mkuu hazieleweki zaidi ya kutuonyesha mikopo toka wakati wa Nyerere na matokeo ya mikopo hiyo revenues ktk IMPORT na sio EXPORTS!..

FIKRA mkuu. fikra ndio kichwa cha mada hii..
 
Mkandara,

Data zime detail uchumi wa Tanzania kuanzia 1970 mpaka 1984 (page 11)

Real GDP Decline %
1970 tulikuwa na growth 6% kwenye 1983 tuka dip mpaka -2% halafu by 1984 tukarudi 4%

Inflation %
1970 tulikuwa around 0.25% by 1984 tulifikia 35%

Fiscal Deficit % of GDP

1970 tulikuwa 2%, by 1980 tukawa 12% 1984 tukawa kwenye 5%

External Debt % GDP
1970 tulikuwa 20% by 1984 tukawa 70%

Foreign Reserves wks of Imports
1970 tulikuwa na reservers zilizoweza kutu sustain kwa wiki 10, by 1982 tukadrop mpaka wiki 0, 1984 wiki 1

External Arrears US millions
By 1980 around 0 by 1985 400 million US $

Hizi figures zinaweza kuelezea chochote zaidi ya economic collapse?
 
Bila shaka kuwepo collapse hiyo... lakini inaendelea hata baada ya hapo..Kifupi kama ukiyaweka madeni ndani ya hesabu collapse inarudi pale pale..
Mkuu ni sawa na Mwajuma mwenye kilo moja ya mchele nyumbani (mlo wa siku) na MwanaHamisi aliye na kilo 5 (mlo wa siku 5)alizokopa kwa jirani!...
By the end of the day, lazima utarudisha mchele wa watu kwa ziada ya kilo nzima ambayo wewe MwanaHamisi huna hata shamba wala pato la kutosha kulipa mchele wa watu. Kiuchumi Tanzania tunakula hadi mbegu iwe tunalima wenyewe ama mpunga wa kukopeshwa!..Fikra za mwalimu ilikuwa tutunze mbegu zetu kiasi hata kama chakuila hakitoshi...
Tatizo lenu mnatazama mchele uliopo ndani ya ghala kwa leo lakini bila kufikiria kesho!.. besides hizi ni mbinu tu za kupata shibe kulisha familia..Kukopa against kujitahidi mwenyewe!
matokeo ya yote haya, hakuna mwanga kwa Tanzania kesho kwa sababu idea na vision ni kitu ambacho hakipo ktk viongozi wetu wa leo tofauti na Nyerere isipokuwa tunategemea uwezo wa mzungu ama Mungu!
 
Bila shaka kuwa collapse hiyo basi inaendelea hata baada ya hapo..Kifupi kama ukiyaweka madeni ndani ya hesabu colapse inarudi pale pale..
Mkuu ni sawa na Mwajuma mwenye kilo moja ya mchele nyumbani (mlo wa siku) na MwanaHamisi aliye na kilo 5 (mlo wa siku 5)alizokopa kwa jirani!...
By the end of the day, lazima utarudisha mchele wa watu kwa ziada ya kilo nzima ambayo wewe MwanaHamisi huna hata shamba wala kitu cha kingiza fedha..
Tatizo lenu mnatazam mchele uliopo ndani ya ghala kwa leo lakini bila kufikiria kesho!

Sasa unabisha kwamba uchumi wa 1970 haukuwa mzuri zaidi ya wa 1980-84?

Watu wote wanaomtetea Nyerere wanamtetea kwa mengine, uchumi was one of his weakest points.
 
Sasa unabisha kwamba uchumi wa 1970 haukuwa mzuri zaidi ya wa 1980-84?

Watu wote wanaomtetea Nyerere wanamtetea kwa mengine, uchumi was one of his weakest points.

Hivi mbona hizi data zinaanzia mwaka 1970 (hata kama ni za kweli maana hii report imekaa very shaky), vipi kuhusu za mwaka 1961 hadi 1970?

What happened mwaka 1980, mbona uchumi uliyumba sana mwaka 1980 (baada ya vita ya Kagera) lakini ukaonekana kurudi mwaka 1984? Je kuna maelezo hapa toka kwako mkuu?
 
Mwafrika,

Tumetafuta sample space ya period ya miaka 15 ya mwisho aliyotawala Nyerere.Mtu anayeperform gradually kiuchumi ana chance kubwa ya kuchukua nchi yenye uchumi mdogo na kuukuza, tulitaka kuona katika kipindi hiki cha mwisho Nyerere aliukuza au kuudumaza uchumi wetu?

Kama unazo za 1960-65 largely zitakuwa za uchumi ulioachwa na mkoloni. Kama unaweza kupanua wigo kwa kuleta za 65-70 karibu, lakini hazita prove chochote as far as hiyo economic collapse ya 1970-1985 ilivyotokea.In other words hiyo sample space is conclusive enough kwa sababu imechukua miaka 15 ya mwisho ya Nyerere, kwamba baada ya hapo hamna chochote ambacho Nyerere anaweza kusema alifanya directly kama CEO wa nchi.

Halafu uanshangilia bounce back ya kutoka 6% kwenda -2% na ku "bounce back" kwenye 4%?

Habari za hatua nne nyuma na tatu mbele? Overall progress negative? Not even breaking even in 15 years? Hii nayo ni bounce back kweli?

Ukiingiza mahesabu ya muda na opportunity cost utaona alikuwa big failure economically.Hata yeye mwenyewe kakubali zealotry yake kwenye mambo ya kubinafsisha mashamba hususan ya mkonge, due to poor economic bearings, halafu watu wanataka kumtetea hapa.
 
Pundit,
Sasa unabisha kwamba uchumi wa 1970 haukuwa mzuri zaidi ya wa 1980-84?
Watu wote wanaomtetea Nyerere wanamtetea kwa mengine, uchumi was one of his weakest points.
...
Mkuu hatuzungumzii Uchumi tunazungmzia Fikra!
hata hivyo, tofauti na maelezo yako kama unavyopenda niseme nitakwambai kwamba awamu zote zilikuwa na malengo tofauti na sababu za kuwepo mapungufu fulani.. Unapotazama mwaka 1970 budi utazame kabla ya hapo kuweza kusema uchumi ulipanda na sababu gani zilizokuwepo..
Kabla ya mwaka 1970 hatukuwa na kitu chochote zaidi ya kutegemea wazungu kuuza mali zetu.. gari lolote linaloanza mwendo huanza na mwendo mdogo kwa gear kubwa kisha linaposhika mwendo ndipo gear hushuka na kasi kuzidi lakini huwezi pima kasi ya gari pale linapoondoka ukalinganisha na lile linalilokerea ..
Sio kwamba namtetea mwalimu na mapungufu yake lakini kilichowekwa hapa mwaka 1970 ni wakati ambao Tanzania haikuwa na mwelekeo, vision zaidi ya kuwa huru kutoka kwa mkoloni..tulikuwa bado taifa tegemezi bila dira.
Hata ktk maisha yetu wenyewe, mtu anaweza anaweza kuwa na mtaji mkubwa benki lakini siku atakapo panga malengo yake na kuanza kutumia mtaji huo ktk biashara ni lazima hesabu zake za akiba yake zitashuka..Ujenzi wa vitu vyote alivyotuachia Nyerere mwaka 1984 havihesabiki tena isipokuwa Mwinyi aliyaamua kuvipangisha!.. Mkapa aliyeamua kuviuza. Hiki ndicho kinachonisumbua mimi kwani bila Nyerere kuweka msingi wa vitu hivyo sidhani kama tungeweza hata kuiweka hesabu hizi hapa. Nyerere alijenga miundo mbinu ya nchi kwa uchache wake lakini ndio unaendesha uchumi wa leo, havikuwepo wakati wa mkoloni na havipatikani bure.
Na ajabu zaidi ni kwamba mwaka 1970 miaka 9 baada ya Uhuru mnapima vipi maendeleo mkiruka miaka 14 kuja 1984 wakati kuna hali nzuri za kiuchumi zilizotokea katikati bora kuliko mwaka 1970.
Yes, mwisho wa yote Nyerere alifail sawa na reagan aliye fail Marekani kiuchumi wakti huo huo! Sawa na nchi kibao acha mbali makampuni yaliyoanguka kiuchumi kufikia mwaka 1984..
Nachojaribu mimi kusema kuanguka kwa mtu kibiashara haina maana Uamuzi wa kuanzisha biashara yako binafsi ni fikra mbovu bora kuajiriwa siku zote hata kama ipo nafasi ya kujitegemea!..
Wale wote walioendelea leo hii wanajitegemea kwa mengi na ndilo lilikuwa wazo la Nyerere kwetu sisi, haikuwezekana tumerudi ktk mikopo kwa sababu hatuna jinsi lakini usije nambia hii ni vision nzuri kiuchumi!
 
Mwafrika,

Tumetafuta sample space ya period ya miaka 15 ya mwisho aliyotawala Nyerere.Mtu anayeperform gradually kiuchumi ana chance kubwa ya kuchukua nchi yenye uchumi mdogo na kuukuza, tulitaka kuona katika kipindi hiki cha mwisho Nyerere aliukuza au kuudumaza uchumi wetu?

Mmetafuta na nani mkuu, au wewe ndiye kuhani mkuu kwi kwi kwi..

Hapa bado hakuna logic ya argument ingawa sio mimi nilianzisha huu mjadala. Kwa nini uchukue miaka 15 ya mwisho na sio miaka yote? katika hili tafuta sababu nyingine.

Kama unazo za 1960-65 largely zitakuwa za uchumi ulioachwa na mkoloni. Kama unaweza kupanua wigo kwa kuleta za 65-70 karibu, lakini hazita prove chochote as far as hiyo economic collapse ya 1970-1985 ilivyotokea.In other words hiyo sample space is conclusive enough kwa sababu imechukua miaka 15 ya mwisho ya Nyerere, kwamba baada ya hapo hamna chochote ambacho Nyerere anaweza kusema alifanya directly kama CEO wa nchi.

Mimi sina data so nadhani swali linarudi kwenu mliotafuta hizo data kuweka za 1960 mpaka 1970. Nimecheka sana kuona ukisema kuwa hiyo sample space ni conclusive as if hiyo authority umeipata leo rasmi hapa JF.

Nikijaribu kuangalia hizi graph, naona zikipanda kabla ya kushuka sana mwaka 1980 na baadaye kupanda kidogo mwaka 1984. Je sababu ni nini? Report ya uchumi wa Marekani inaonyesha almost the same trend wakati wa utawala wa Jimy Carter (1976-1980). Je kunaweza kuwa na sababu hapa?

Nimeuliza maswali rahisi ambayo ukijibu then unaweza kufanya hiyo conclusion kuwa hizi data ni conclusive!
 
Mwafrika wa Kike,
Hapa bibie umeangusha bomu!.. nitashukuru sana kama watarudisha mapigo..
Mimi nadhani niwaonyeshe kipande hiki chenye UKWELI unaouma ili tupate mwanga zaidi jinsi Tanzania inakoelekea rather than tulikotoka kwani kamba za lawama toka magharibi ni nyingi sana..someni report hii hapa:-
http://www.africa.ufl.edu/asq/v8/v8i3a3.htm
 
Mmetafuta na nani mkuu, au wewe ndiye kuhani mkuu kwi kwi kwi..
Hapa bado hakuna logic ya argument ingawa sio mimi nilianzisha huu mjadala. Kwa nini uchukue miaka 15 ya mwisho na sio miaka yote? katika hili tafuta sababu nyingine.

Kuhani is too arrogant and obnoxious to be on my level, mtu ndiyo kwanza kaingia anakataa culture yetu...kwikwikwi

Mimi sina data so nadhani swali linarudi kwenu mliotafuta hizo data kuweka za 1960 mpaka 1970. Nimecheka sana kuona ukisema kuwa hiyo sample space ni conclusive as if hiyo authority umeipata leo rasmi hapa JF.

No data no right to speak.Sample space inatosha kutoa argument kuwa Nyerere alitupeleka kwenye collapse.Kama una zako tofauti toa.

Nikijaribu kuangalia hizi graph, naona zikipanda kabla ya kushuka sana mwaka 1980 na baadaye kupanda kidogo mwaka 1984. Je sababu ni nini? Report ya uchumi wa Marekani inaonyesha almost the same trend wakati wa utawala wa Jimy Carter (1976-1980). Je kunaweza kuwa na sababu hapa?

Nimeuliza maswali rahisi ambayo ukijibu then unaweza kufanya hiyo conclusion kuwa hizi data ni conclusive!

Wewe unataka kumu excuse Nyerere na oil crisis ya seventies bila kujua kuwa hata kama TZ ingepewa mafuta ya bure bado tungekuwa kwenye doldrums.Tulishindwa ku manage chakula tu kutoa mikoani kuleta Dar na hivyo kusababisha an artificial famine mpaka Reagan akatupa unga wa Yanga.Nchi ya maziwa na mito na ardhi tele.

Halafu unataka kumtetea Nyerere kwenye uchumi? Sema kingine.
 
Ha a ha aha ha hahah haha,

Kubali tu kuwa umeshindwa kuleta data hapa, Hiki ulichoweka hapa ni nini sasa? ha ha ha ha hah haha

Data zime detail uchumi wa Tanzania kuanzia 1970 mpaka 1984 (page 11)

Real GDP Decline %
1970 tulikuwa na growth 6% kwenye 1983 tuka dip mpaka -2% halafu by 1984 tukarudi 4%

Inflation %
1970 tulikuwa around 0.25% by 1984 tulifikia 35%

Fiscal Deficit % of GDP

1970 tulikuwa 2%, by 1980 tukawa 12% 1984 tukawa kwenye 5%

External Debt % GDP
1970 tulikuwa 20% by 1984 tukawa 70%

Foreign Reserves wks of Imports
1970 tulikuwa na reservers zilizoweza kutu sustain kwa wiki 10, by 1982 tukadrop mpaka wiki 0, 1984 wiki 1

External Arrears US millions
By 1980 around 0 by 1985 400 million US $

Hizi figures zinaweza kuelezea chochote zaidi ya economic collapse?

Mwafrika,

Chini kulikuwa na PDF document, uliifungua? Kama Komputa yako haiwezi kufungua PDF basi kuna muungwana mmoja hapo, nadhani yule Pundet, kaitafsiri, huna haja kuumia kichwa kusoma michati.

Mwanakijiji, upo?

Umemaliza kusema na mi-takwimu ya uchumi? Kuna mi-data mingine nimekuletea hapa chini ambayo ulisema unayo, ukakataa kugawana nasi. Sema nayo, usipoikubali - au kuielewa - nifahamishe, nitakutumia vidhibiti vinavyo fafanua hivyo vidhibiti.

(Kuna wana historia wanasema moja ya sababu kubwa Afrika iliachwa nyuma kimaendeleo wakati walikuwa wa kwanza kujifunza vitu kama elimu ya anga ni kwa vile walikuwa wanafichana habari. Wazungu waligawana. (Ukibisha hili nifahamishe tu). Kwa hiyo, MWKJJ acha hizo mwanangu.)
 
Kuhani is too arrogant and obnoxious to be on my level, mtu ndiyo kwanza kaingia anakataa culture yetu...kwikwikwi

Wewe unatafuta ugomvi kwi kwi kwiw wakati ni wewe ndiye umetumia neno tume kwenye post yako

No data no right to speak.Sample space inatosha kutoa argument kuwa Nyerere alitupeleka kwenye collapse.

Sio mimi niliyeadvance idea hapa so bado sijadai right to speak. Wewe (na wenzako) ndio mmekuja na data mnazodai kuwa ziko conclusive so inabidi muwe tayari kujibu maswali.

Narudia, data za 1960 mpaka 1970 ziko wapi?

Wewe unataka kumu excuse Nyerere na oil crisis ya seventies bila kujua kuwa hata kama TZ ingepewa mafuta ya bure bado tungekuwa kwenye doldrums.Tulishindwa ku manage chakula tu kutoa mikoani kuleta Dar na hivyo kusababisha an artificial famine mpaka Reagan akatupa unga wa Yanga.Nchi ya maziwa na mito na ardhi tele.

Halafu unataka kumtetea Nyerere kwenye uchumi? Sema kingine.

Kama hujasoma posting zangu hapa, for a while simtetei Nyerere kwa lolote zaidi ya kukuuliza maswali kutokana kile mlichoweka hapa.

Narudia:

Ni nini tafsiri yako kuhusu kushuka kwa kasi uchumi wa Tz mwaka 1980? Ni sababu gani inayopelekea uchumi wa Tanzania kuanguka katika kipindi ambacho hata uchumi wa Marekani ulianguka vibaya wakati wa utawala wa Carter (1976-1980)?
 
Mwafrika,

Chini kulikuwa na PDF document, uliifungua? Kama Komputa yako haiwezi kufungua PDF basi kuna muungwana mmoja hapo, nadhani yule Pundet, kaitafsiri, huna haja kuumia kichwa kusoma michati.

Mwanakijiji, upo?

Umemaliza kusema na mi-takwimu ya uchumi? Kuna mi-data mingine nimekuletea hapa chini ambayo ulisema unayo, ukakataa kugawana nasi. Sema nayo, usipoikubali - au kuielewa - nifahamishe, nitakutumia vidhibiti vinavyo fafanua hivyo vidhibiti.

(Kuna wana historia wanasema moja ya sababu kubwa Afrika iliachwa nyuma kimaendeleo wakati walikuwa wa kwanza kujifunza vitu kama elimu ya anga ni kwa vile walikuwa wanafichana habari. Wazungu waligawana. (Ukibisha hili nifahamishe tu). Kwa hiyo, MWKJJ acha hizo mwanangu.)

Ha nilikimbilia kuona kama zimewekwa data za uchumi wa Tanzania mwaka 1961 - 1970 nikakuta kumbe bado ni yale ya sheria ya 62 na 85! Basi bado nasubiria hizo za 1960 hadi 1970 kwa hamu ili nifanye uchambuzi wa kina!
 
Pundit,
Wewe unataka kumu excuse Nyerere na oil crisis ya seventies bila kujua kuwa hata kama TZ ingepewa mafuta ya bure bado tungekuwa kwenye doldrums.Tulishindwa ku manage chakula tu kutoa mikoani kuleta Dar na hivyo kusababisha an artificial famine mpaka Reagan akatupa unga wa Yanga.Nchi ya maziwa na mito na ardhi tele.
Yote unayosema hakuna aliyekataa isipokuwa hakuna tofauti KIUCHUMI kati ya yule aliyepelekewa unga wa Yanga, na mwingine aliyepewa fedha akale!...
isipokuwa utaiona tofauti kuwa ule Unga wa Yanga pamoja na kwamba wote hatukuupenda, tulikula wengi na tukashiba, hii misaada ya fedha tukale hotelini iko wapi?...Wanaokwenda kula ni kina Mkapa, wewe na mimi njaa tu mkubwa tena bado ni deni la Taifa wakati hatukula kitu.
 
Pundit,

Yote unayosema hakuna aliyekataa isipokuwa hakuna tofauti KIUCHUMI kati ya yule aliyepelekewa unga wa Yanga, na mwingine aliyepewa fedha akale!...
isipokuwa utaiona tofauti kuwa ule Unga wa Yanga pamoja na kwamba wote hatuupenda tulikula wengi na tukashiba, hii misaada ya fedha tukale hotelini lakini wanaokwenda kula ni kina Mkapa, wewe na mimi njaa tu mkubwa tena bado ni deni la Taifa wakati hatukula kitu.

Mkandara,

Kinachoshangaza hapa ni kuwa mtu unapewa msaada na bado unataka aina fulani ya msaada. Juzi hapa nilikwenda duka la msomali mmoja anayeuza vyakula vya kiafrika kununua unga wa ugali (si unajua tena Mwanakijiji na Lydia walikuwa wanavisit....lol) nikakuta anauza huo unga wa yanga, niliposita kununua akaniambia kuwa huo ndio unga amekuwa anauza kwa miaka mitano iliyopita kwa waafrika wa hapa.

Huu uchaguzi na upondeaji wa unga waliokula watu wakati wakiwa na ukame na upungufu wa chakula sijui unakuwa justified vipi. No wonder mimi sio big fun wa hii misaada hata inayotolewa hapa Marekani. Christmas moja nilifanya kazi ya kujitolea kwenye food bank ya state ninayoishi. Kwa kweli ukiona chakula kile (ambacho ni chini hata ya huo unga wa yanga) wanachopewa wale homeless au wale wasio na chakula hapa, utagundua kuwa ukiwa na njaa basi utapata chochote.

Swali kubwa ni kuwa, kwanini miaka yote hii tangu kifo cha Nyerere bado Tanzania inapokea yanga zake wakati ndio madini na gasi zinavyumbuliwa every other day?
 
fikra za maduka ya kaya na chama kushika hatamu...seems humu kuna watu bado wanaishi 100 yrs ago!
 
Pundit,

Yote unayosema hakuna aliyekataa isipokuwa hakuna tofauti KIUCHUMI kati ya yule aliyepelekewa unga wa Yanga, na mwingine aliyepewa fedha akale!...
isipokuwa utaiona tofauti kuwa ule Unga wa Yanga pamoja na kwamba wote hatukuupenda, tulikula wengi na tukashiba, hii misaada ya fedha tukale hotelini iko wapi?...Wanaokwenda kula ni kina Mkapa, wewe na mimi njaa tu mkubwa tena bado ni deni la Taifa wakati hatukula kitu.

Mkandara,

Mimi niko focused na Nyerere, zamu ya wengine kwenye thread yao tutawabalasa sawa sawa.

Ninapombondea Nyerere kwamba ali mismanage uchumi I am saying just that, sijaongea chochote kuhusu Mwinyi Mkapa na Kikwete.Kwa hiyo usisome kumsema Nyerere kama alikuwa weak katika uchumi ni ku-vindicate Mwinyi, Mkapa au Kikwete.

I do not believe in two wrongs making a right.Read just what I write and nothing more, nothing less.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom