Fid Q, How do you explain this brother?

Fid Q, How do you explain this brother?

Hip hop ya Langa alicopy kwa juel ortiz
Ingekua vp ya mwanaFA alicopy kwa Fredro Star what if
Weusi watoto wa Mungu walicopy children of God ya heavy metal king
Wasanii wengi wa bongo almost 90 # wanacopy

Asante mkuu,nimepitia What if na Ingekuwa vipi .MwanaFa alicopy na kupaste kabisa,Huu mjadala tukienda nao vizuri utatusaidia kuwafahamu wote wanaocopy binafsi nilimweka MwanaFa kama mmoja ya waandishi bora hapa Tanzania l
 
Kwa ushahidi gani hapo??.

Walipinga(Tulipinga) ushindi wa Joh ule wa maandishi bora wa hip hop .

Kwani Joh hawezi kuandika ila anaunha unga vina visivyo Na maana.

Niki wa pili ni mkali wa kuandika kuliko Joh.

Paulo kaweka hizo lines ambazao zingine hata haziendani Na maana ya FidQ.

Nakubaliana nawe kuhusu Nikki kumzidi kakake kwenye mashairi,wewe ulikuwa unasema MwanaFa ndio anastahili hiyo tuzo na nilikwambia kuwa tuzo za KTMA ziliharibiwa na team Kiba Vs team Diamond
 
Asante mkuu,nimepitia What if na Ingekuwa vipi .MwanaFa alicopy na kupaste kabisa,Huu mjadala tukienda nao vizuri utatusaidia kuwafahamu wote wanaocopy binafsi nilimweka MwanaFa kama mmoja ya waandishi bora hapa Tanzania l

Nakubaliana nawe kuhusu Nikki kumzidi kakake kwenye mashairi,wewe ulikuwa unasema MwanaFa ndio anastahili hiyo tuzo na nilikwambia kuwa tuzo za KTMA ziliharibiwa na team Kiba Vs team Diamond

Khamis is still a best song writer of its own kind.. Namkubali Jamaa.
 
Asante mkuu,nimepitia What if na Ingekuwa vipi .MwanaFa alicopy na kupaste kabisa,Huu mjadala tukienda nao vizuri utatusaidia kuwafahamu wote wanaocopy binafsi nilimweka MwanaFa kama mmoja ya waandishi bora hapa Tanzania l

mkuu mbona kama napata hisia uko nyuma kidogo na 'wakati!'.anyway,FA bado ni mmoja wa waandishi bora,zama za Ingekuwa Vipi ni zama za 'nitoke vipi' kwake,hivyo tusimdiscredit tukamvua nyota!
Asante!
 
Asante mkuu,nimepitia What if na Ingekuwa vipi .MwanaFa alicopy na kupaste kabisa,Huu mjadala tukienda nao vizuri utatusaidia kuwafahamu wote wanaocopy binafsi nilimweka MwanaFa kama mmoja ya waandishi bora hapa Tanzania l

Yap kuhusu hiyo ingekuwa vipi ni kweli Na 90% ,hata verse ya Juma mchopanga.

Hiyo ilikua ni kiu ya kutoka.

Ukisikiliza ile mwanafalsafa,haturap,nikiamka utajua Jamaa ni pure talent

Hata hiyo ingekua vipi hata sio aina ya nyimbo zake hasa kwenye album ya kwanza.

Jamaa ni moja kati ya wachache wanaweza andika verse tatu zilizoshiba bila kiswanglish
 
Mwambie asikilize track ya uncle murder inayoitwa big vs jay atasikia nas amezungumziwa vp
 
jaman sisi wasanii tmeshaacha mziki tumehamia kwenye politics
 
Ni kweli kabisa....watu wanalazimisha tu vitu. Toka lini mwanamuziki anatembea na begi lililojaa CDs za Karaoke? Tuweni wakweli jamani, kwanini media haswa Clouds FM wanaforce kuua muziki wetu wa asili? Mbona kama unga walishauza sana kutumia hawa wasanii wa fleva, yaani bado hawajatosheka tu mpaka wakamatwe?

Unachanganya madesa
 
Nilichoahidi jana sitaweza kukitekeleza leo kwa sababu kadhaa. Ila kesho kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi....ndie yeye!...A-towner mwanaAppolo!

How come unafahamu hata ambavyo mimi sivijui na umri wako humu ni mdogo tu? Id yako nyingine or whatever ni ipi? na kwanini huitumii mzee?
 
Back
Top Bottom