Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
Ukibishana na MJINGA.....!!!?
Don't take it personal.
hahahaha..hapa hubishiwi,unaelimishwa ujinga ukutoke!
Ukibishana na MJINGA.....!!!?
Don't take it personal.
hahahaha..hapa hubishiwi,unaelimishwa ujinga ukutoke!
Kijana sio kila kitu unataka upewe ushaidi ata akili yako ukitumia vizuri itakupa ushaidi kamili punguwani wewe
sasa hapo umeanza kujichanganya,mwanzo kabisa pale juu umesema fiq q ka-copy concept,ambapo kwangu mimi naamini huwezi uka-copy concept ya mtu bila kwanza kuwa inspired na kazi za huyo mtu uliye-copy concept yake,sioni ubaya ktk hilo.na ndio hicho alicho fanya pac kwa shakespeare.vyanzo mbalimbali vinadai pac alikuwa anasoma sana kazi za shakespeare.Rap ina kanuni na misingi yake Boss, mojawapo ni kutotumia kazi za rapa mwenzio bila ruhusa yake. Alichofanya hapa Fid ni wizi, katafsiri yaliyoimbwa na KRS One na kujifanya ni ya kwake. Kachukua idea, concept, mistari, mpaka maneno, sanaa aliyoongeza ni finyu mno. Unaweza kuchukua Idea na ku-develop concept yako mwenyewe (kwa ruhusa ofcourse), ila sio kutafsiri. Mfano mzuri ni alichofanya Ngwair kwenye 'Napokea Simu' kutoka kwenye track ya Jay, ile ndio sanaa. Au alichofanya Jay-Z kwenye '99 problems' kutoka kwenye track ya Ice T.
Alichosema Tupac hakiingii hapa kabisa, alimaanisha unajifunza kupitia kazi zilizotangulia, unatengeneza zako.
So huyo copy cat aliyekubuhu hadi Leo mmeleta hiyo mistari michache tu!!!
Leteni mimngine basi !!
Hahahahah.. Njooni tu na ID mpya Ku msapoti Fareed Kubanda.. Nawaona tu mnavopinga kwa ID mbili mbili.
Whack rapper Zimaaa..
sasa hapo umeanza kujichanganya,mwanzo kabisa pale juu umesema fiq q ka-copy concept,ambapo kwangu mimi naamini huwezi uka-copy concept ya mtu bila kwanza kuwa inspired na kazi za huyo mtu uliye-copy concept yake,sioni ubaya ktk hilo.na ndio hicho alicho fanya pac kwa shakespeare.vyanzo mbalimbali vinadai pac alikuwa anasoma sana kazi za shakespeare.
sasa basi tukisema fid ali copy concept/mistari ya KRS ONE kwa kuwa alikuwa inspired naye,tunakosea?.
All GOT kuanzia Big, Pac, Nas, 3k and the likes, wanasoma Sana vitabu, na through reading ndo wanapata knowledge ya kuandika.
Sasa mtu anakuja anasema eti Ngosha mistari yake anatoa kwenye vitabu as a discredit wakati hii ni sifa ya GOT yeyote.
Kucopy ni huyu aliyecopy hii intro ya Jigga "Kanyeez you did it again, you are a genius" .. Anasema "Nahreal you did it, you are a genius" lakini bado siwezi mwita Whack!
Enways GOT = Greatest of all time.
Asante.
Break kidogo.
Orodha ya wasanii bora wa HipHop Africa imetoka Leo Na Fid q yupo kwenye 18 kati ya 20.
Haya tuendelee
thubuuuutu!,hata hiyo waliyoleta wanalazimishia!.huwezi sema 'Mchizi wangu' wa N2N unafanana concept na 'Sihitaji Marafiki'....jamaa hana hoja kabisa,ubishi tu wa asili nadhani,au anaona noma kusanda!
Shida ni moja hapa, sidhani kama tunaelewana. Nachozungumzia hapa ni kuiba kazi za watu na kujifanya zako, pitia comments zangu zote humu vizuri. Na sio tu kaiba concept, kabeba idea, baadhi ya mistari mpaka maneno pia. Na nina wasiwasi hamjafuatilia hata hiyo track ya KRS One ili mpime na nyie wenyewe.
Unatakiwa kuelewa kitu kimoja, hii issue ilianza baada ya watu humu kukataa katakata kwamba Fid huwa ha-copy kazi za watu na kudai ushahidi. Mi nilichofanya ni kutoa ushahidi baada ya kuona ya kuona walioleta hizo tuhuma wanashambuliwa kwa kushindwa kuthibitisha.
Unasema vyanzo mbalimbali vinasema Pac ali-copy concepts za Shakespeare, toa ushahidi. Usiamini kila unachoambiwa au kusikia bila kufanya uchunguzi wako mwenyewe mtu mzima. Hii ndio sababu Fid anawapeleka peleka wengi.
Inspired or not, alichofanya Jamaa yenu hapa ni sawa na kutumia ghost-writters, yet kelele za minions kwamba Jamaa ndio the best Rapper.
Tupe hyo List humu au link tuone
Wacha mboyoyo eroo, Wewe na wenzio wote mnaobisha hizo tracks sio kitu kimoja bali lugha tofauti, i dare you mnichambulie alichoimba KRS One then tulinganishe na Fid Q's. Tatizo mnalalamika yet hamsemi ni wapi pamepotoshwa, ili watu wajue.
And I bet you can't crack even a single line from tha Teacha's, yet you out here whining son. Smh!
wapi nimesema pac ka-copy concept za shakespeare?.usikurupuke tu kujibu,uwe unasoma post zangu kwa umakini.
kuwa inspired kuna husiana vipi na ku-copy?.cant you see the big difference?,are you blind or what?.
Is you slow or what brother? there. Nani kasema haya?
"uka-copy concept ya mtu bila kwanza kuwa inspired na kazi za huyo mtu uliye-copy concept yake,sioni ubaya ktk hilo.na ndio hicho alicho fanya pac kwa shakespeare.vyanzo mbalimbali vinadai pac alikuwa anasoma sana kazi za shakespeare."
teh teh teh teh teh....nilishakwambia summary ya ngoma inakuwaga kwenye chorus,ziweke zote mbili hapa tuone kama concept/idea zinafanana!
Kule 'love connect' ulipoweka chorus ya 'A Friend' ungeweza kuweka ya 'Sihitaji Marafiki?'
Nilikuuliza Fid kakopi hata maneno 'yes-man?'....mbona huweki line nzima ya 'whether at the bar' ijulikane KRS alikuwa anamaanisha nini?
Acha kuungaunga!
kuwa inspired kuna husiana vipi na ku-copy?.cant you see the big difference?,are you blind or what?.