Fid Q, How do you explain this brother?

Fid Q, How do you explain this brother?

Jay Z "just died in your arms" ame copy chorus yooote hajaacha hata neno moja na ilikkuwa the biggest hit.

sasa wewe fid Q kuchuua idea tu unaleta porojo kibao.

Hii mistari alikuwa anakujibu wewe bila shaka
Wajinga ndio hufa kwa wivu sababu hawapo real - by Fid Q
kuna wengine huchukia tu kwa hata vilivyo sawa - fid q
 
Una safari ndefu sana bado mpaka kuuelewa muziki wa rap, boss. Kwa sasa jifunze kwanza sampling, ujuaji uache vijiweni.
 
Back
Top Bottom