Fid Q, How do you explain this brother?

Fid Q, How do you explain this brother?

mwaka fulani aliwahi sema kama kunamtu ameona anapokopy apeleke ampezawadi mil5
 
kiungwana anatakiwa kuapologize na kuomba mods waufute tu huu uzi!umempunguzia 'nyota!'
cc: Paulo Sergio De Souz kwa utekelezaji

Unatakiwa ujue chanzo cha hii mada,mashabiki wengi wa FID Q wanamponda Joh Makini na weusi kuwa sio wasanii wa Hip Hop na nyimbo zao wanacopy but hakuna hata mmoja aliyekuja na source kama alivyoleta Paulo Sergio De Souz,at least jamaa ameleta hoja akaleta na huo ushahidi
 
Last edited by a moderator:
Unless sielewi lugha au concept ya a friend in Need alikuja nayo KRS One ebu niambie kuna usawa upi katika hizi verse mbili....


  • True friends are quick to sit
    in the beginning of all trouble, and when your bankroll doubles/ - Teacha
    Vs
    Kupata washkaji ukiwa na pesa ni rahisi, Kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi/ -
    Fid



By the way ingawa haijafanyika hapa nadhani nyie wadau hamjui kitu kinaitwa Sampling (done all over the world) na hapa cha maana ni mtu kutoa kazi inayoendana na concept ikapendeza ikaeleweka na ika-flow, ukizingatia hawa Artist wote ma Role Models wao ni hao hao hardcore rappers wa enzi hizo..,

Umeeleweka mkuu:
 
Unatakiwa ujue chanzo cha hii mada,mashabiki wengi wa FID Q wanamponda Joh Makini na weusi kuwa sio wasanii wa Hip Hop na nyimbo zao wanacopy but hakuna hata mmoja aliyekuja na source kama alivyoleta Paulo Sergio De Souz,at least jamaa ameleta hoja akaleta na huo ushahidi

teh teh teh teh...hicho 'chanzo' na hiyo reference ya 'mashabiki wengi' wa Fid Q umevitoa wapi?...onesha nani miongoni mwa wanaopinga hii thread aliemponda Joh na Weusi?.
Usibadili uelekeo wa mada iliyopo hapa!
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukatutajia baadhi ya wasanii wa Hip Hop hapa bongo ambao wanacopy

du!huku ni kutapatapa sasa!..si kashatajwa hapa Fid?!..tunachojadili ni ushahidi ulioletwa!
Usitake kubadili uelekeo wa mada,miluzi mingi humpoteza mbwa muelekeo!
 
teh teh teh teh...hicho 'chanzo' na hiyo reference ya 'mashabiki wengi' wa Fid Q umevitoa wapi?...onesha nani miongoni mwa wanaopinga hii thread aliemponda Joh na Weusi?.
Usibadili uelekeo wa mada iliyopo hapa!
Chanzo cha hii mada ilianza baada wa fans wa FID kulalamika why hakupata tuzo za Kili
 
Wala mimi simshangai na simlaumu Fid Q kwasababu ndivyo alivyolelewa na kuelimishwa kama watanzania wengine tu Na Africa kwa ujumla.

Eg:-
1. wanafunzi wa vyuo wana-copy & paste kazi zilizofanywa na watangulizi wao miaka ya nyuma.

2. Walimu siku hizi hawatungi mitihani wana-copy & paste kilichotungwa na wenzao miaka ya nyuma na kufanyia marekebisho kidogo.

3. Wanafunzi wa Master & PHD most of them wana-copy copy thesis au dissertation kutoka abroad na kuinyumbulisha ili ifanane na mazingira ya case study yake.

4. Policy, sheria na priorities tunaiga kutoka nje, so why not Fid Q? Eg sheria ya ugaidi, sheria ya money laundering n.k, CDM & Lowasa wanasema priority no 1,2 & 3 ni Education, kitu ambacho wamecopy from Tony Blair's idea, and the list goes on

5. Utendaji kazi maofisini umekuwa wa ku-copy na ku-paste. Report ni zile zile, kinachobadilishwa ni tarehe tu. Hakuna creativity.

6. Finally tulaumu mfumo, watu siku hizi hawafundishwi ubunifu. Ubunifu uliopo ni wa kucheza na Google, over.

CC Paulo Sergio De Souz
 
Chanzo cha hii mada ilianza baada wa fans wa FID kulalamika why hakupata tuzo za Kili

teh teh teh teh...kwahiyo hili ndio jibu why Fid hakupata tuzo?Sihitaji Marafiki ilikuwa kwenye category gani vile nkumbushe!
 
1. Fid Q does not impress me. One the Incredible on the other hand is a lyrical Ninja.

2. As Guru said in " Don't take it personal", rap is an art you can't own no loop.
3. Unless one plagiarize verbatim like Kigwangallah, I see no biggie.
4. In hip hop there is such a thing as paying homage by quoting a great line. Jigga has done this plenty of times with Biggies lyrics.
 
Mkuu ukuta2013 una hoja nzuri sana,ila bahati mbaya upo nje kidogo ya mada!hoja zako zingekuwa na mashiko zaidi kama tungekuwa tunajadili kama kweli wasanii wanakopi,na nini chanzo cha hilo!ILA,
kusema humlaumu Fid impliedly unamaanisha wakubali kuwa huu wimbo kakopi kwa KRS One,kitu ambacho SI KWELI!
 
Last edited by a moderator:
1. Fid Q does not impress me. One the Incredible on the other hand is a lyrical Ninja.

2. As Guru said in " Don't take it personal", rap is an art you can't own no loop.
3. Unless one plagiarize verbatim like Kigwangallah, I see no biggie.
4. In hip hop there is such a thing as paying homage by quaoting a great line. Jigga has done this plenty of times with Biggies lyrics.


hoja zako 3 za mwisho zimesimama!...pointi ya kwanza nayo pia ni maamuzi binafsi,yanaheshimika sana!
 
Unatakiwa ujue chanzo cha hii mada,mashabiki wengi wa FID Q wanamponda Joh Makini na weusi kuwa sio wasanii wa Hip Hop na nyimbo zao wanacojpy but hakuna hata mmoja aliyekuja na source kama alivyoleta Paulo Sergio De Souz,at least jamaa ameleta hoja akaleta na huo ushahidi

Kwa ushahidi gani hapo??.

Walipinga(Tulipinga) ushindi wa Joh ule wa maandishi bora wa hip hop .

Kwani Joh hawezi kuandika ila anaunha unga vina visivyo Na maana.

Niki wa pili ni mkali wa kuandika kuliko Joh.

Paulo kaweka hizo lines ambazao zingine hata haziendani Na maana ya FidQ.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rubber legs uko nje ya mada,mazima!!!..kutajataja wasanii unaodai wamekopi ngoma,tena bila ushahidi anuwai hakusupport claim iliyopo kwamba Fid kakopi ngoma ya KRS!
afu sidhani kama waweza itetea hiyo 90% yako,SIDHANI!..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom