Wala mimi simshangai na simlaumu Fid Q kwasababu ndivyo alivyolelewa na kuelimishwa kama watanzania wengine tu Na Africa kwa ujumla.
Eg:-
1. wanafunzi wa vyuo wana-copy & paste kazi zilizofanywa na watangulizi wao miaka ya nyuma.
2. Walimu siku hizi hawatungi mitihani wana-copy & paste kilichotungwa na wenzao miaka ya nyuma na kufanyia marekebisho kidogo.
3. Wanafunzi wa Master & PHD most of them wana-copy copy thesis au dissertation kutoka abroad na kuinyumbulisha ili ifanane na mazingira ya case study yake.
4. Policy, sheria na priorities tunaiga kutoka nje, so why not Fid Q? Eg sheria ya ugaidi, sheria ya money laundering n.k, CDM & Lowasa wanasema priority no 1,2 & 3 ni Education, kitu ambacho wamecopy from Tony Blair's idea, and the list goes on
5. Utendaji kazi maofisini umekuwa wa ku-copy na ku-paste. Report ni zile zile, kinachobadilishwa ni tarehe tu. Hakuna creativity.
6. Finally tulaumu mfumo, watu siku hizi hawafundishwi ubunifu. Ubunifu uliopo ni wa kucheza na Google, over.
CC Paulo Sergio De Souz