andythelast
Member
- Mar 22, 2014
- 65
- 22
Duh,kwa hiyo hapo hamna namna nyingine ya ku-trick enhee? mi kuna site nimeona wanalipa kila unapo-download na ku-install toolbar yao sasa nikaona kama ni hivyo siwezi kuwa na-download alafu na unistall kisha nabadili IP adress then na-download hivyo hivyo mara kadhaa kwa siku alafu naingiza mkwanja wangu hapo (Bado nasisitiza mi sio mkali wa IT kama nakosea nirekebishwe)At one point in time Google watakukamata na utajutia account yako yako ya adsense!
Kipindi ukiwa na mawazo kama haya kuna wanadamu wengine mamillion wanajaribu kufanya huo uhuni tena unfortunately kwa kutumia zile zile VPN common hivo hata google inawawia rahisi kujua uhuni huu!