Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

Nitumie vpn ya nini? Huyo unayemuhofia kuijua IP Adress yako ana jinsia gani?
Kuna services zinatolewa kwa nchi fulani tu, mfano Netflix, hata aliye UK atalazimika kutumia vpn ili aonekane yupo USA aweze kuaccess Netflix. Hata aliye Tanzania itabidi awe na vpn ili host wa Netflix aone huyu yupo nchi ambayo huduma inatolewa.

Mkuu unapokuja na maswali kama haya naona unataka kupindisha lengo la huu uzi, usome tena.

Hata hivyo kwanini unakereka na uwepo wa vpn?
 
Nashindwa kufungua picha uliyoiattach hapa.
c71db4a5ab20b3e71dc9c31d90b5f338.jpg
 
Natumai ulianza kwa kuifanya vpn isome USA kwa kua ndipo huduma hii inapatikana.

Kama ulifanya na bado ikakusumbua fanya hivi:
Fuata hii link na download youtube music
YouTube Music 1.03.12 (arm) APK Download by Google Inc. - APKMirror

Kisha install, hapa utatakiwa kudisable security ili uinstall app kutoka third party.

Huna haja ya kuilaunch bado kwa kua tupo na mtihani wa kuidanganya youtube host, rudi tena kwenye vpn app yako iseti ikuoneshe upo Marekani.

Ikikataa iuninstall hiyo kisha download flash vpn au droid vpn. Utainstall kisha utachagua nchi ya Marekani.
Furahia youtube music.

Natumaini utakua umetatua tatizo.
 
Kuna services zinatolewa kwa nchi fulani tu, mfano Netflix, hata aliye UK atalazimika kutumia vpn ili aonekane yupo USA aweze kuaccess Netflix. Hata aliye Tanzania itabidi awe na vpn ili host wa Netflix aone huyu yupo nchi ambayo huduma inatolewa.

Mkuu unapokuja na maswali kama haya naona unataka kupindisha lengo la huu uzi, usome tena.

Hata hivyo kwanini unakereka na uwepo wa vpn?
This is OLD Stuff Mkuu!

Netflix iko available in almost all countries including Tanzania,moreover Netflix wako Strict baada ya kuifanya available karibu kwa nchi zote VPN inabidi iwe tweaked kuweza kuwa undetected vinginevyo Ukijaribu ku stream wanakwambia Unatumia Proxy Servers hivo wanaku Block usi stream...Currently naona hii Security wameiondoa maana naweza access Netflix kwa Proxy/VPN.

Utaitaji kutumia VPN kwa netflix iwapo unataka Check movies ambazo zimekua restricted kwa nchi yako kwa sababu za ki maadili! Na hapo ndo walipokaza sana wanaweza ku detect unatumia VPN/Proxy servers
 
3cb0c27a638bb791bc28252453fd397c.jpg

Natumai hapa sijakosea
 
Ni kweli, kutumia vpn hakumaanishi host naye amelala anakungoja umpite so wana filters za kufanya uliyoyachambua.
 
Kuna services zinatolewa kwa nchi fulani tu, mfano Netflix, hata aliye UK atalazimika kutumia vpn ili aonekane yupo USA aweze kuaccess Netflix. Hata aliye Tanzania itabidi awe na vpn ili host wa Netflix aone huyu yupo nchi ambayo huduma inatolewa.

Mkuu unapokuja na maswali kama haya naona unataka kupindisha lengo la huu uzi, usome tena.

Hata hivyo kwanini unakereka na uwepo wa vpn?
Acha kuwaogopa ccm wewe.
 
Ndio unaweza kutaka kuwa na total privacy lakni bado una responsibility ya kile utakacho ongea hata kama you have a right to your own opinion.
Lengo ya kuficha IP sio kuficha dhambi au uhalifu na uchochezi.
 
Uzi huu ni kwa ajili ya kumuwezesha mtu kuaccess huduma ambayo imebanwa sehemu husika, atakayetumia kwa mengine atakua hajautendea haki huu uzi.
 
Back
Top Bottom