Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,615
- 17,607
Si ndio maana kasema huo ni uelewa wake? Kama kuna mapungufu basi asaidiwe? Kawasaidia waliokuwa hawajui VPN ni nini.Kama hujui kitu kaa kimya
Si ndio maana kasema huo ni uelewa wake? Kama kuna mapungufu basi asaidiwe? Kawasaidia waliokuwa hawajui VPN ni nini.Kama hujui kitu kaa kimya
Mi nataka kwa pcUnataka kwa simu au kompyuta
Hii kitu ipo mpaka sasa
Mimi natumia VPN kila siku. Primarily kwa ajili ya data encryption ya internet connection yangu (my own subscribed VPN) au nikiwa nafanya kazi kutoka nyumbani (my office VPN).Hapana.!
VPN ni kifupi cha maneno haya...Virtual Private Network.
Hii ina maana, ukishajiunga na internet yako (yaani ukiwa online katika kifaa chako eiza simu au kompyuta) unapata kitu kinachoitwa IP Address ambayo kimsingi inaonesha wapi kifaa chako kimeunganishwa na internet iyo (yaani ina ku'pin point)
Sasa kwa kuweka VPN inakupa address nyingine tofauti yaan kwa mfano VPN yako ni ya USA basi automatically mtu akiangalia upo wapi kwenye kifaa chako ndio itaonesha upo uko USA na si iyo excatly location uliyopo.
Nimefafanua kidogo kwa uelewa wangu, wengine wanakuja watajazia pale nilipoacha na kunikosoa pia inaruhusiwa.
Melvine.!
Wewe ndio hujui kitu, VPN hutumiwa sana na watu wanaotumia wireless za kijamii ambazo nyingi hufungia baadhi ya websites ambazo zipo nje ya maadili ya kijamii au nje wa protocol zao, sasa ikiwa wewe unatumia hizo wireless na unahitaji ku access hizo websites zilizofungiwa utahitajika u download VPN ili uweze kutumia bila shida, pia kwa wale wanaokosoa kupitia mitandao kwa kutumia fake identities ili wasigundulike walipo huwa wanatumia VPN ili kufake IP adress zao
Wengine wanadai kuwa VPN inaficha uhalisia wa idadi ya MB unazotumia kwa maana inakata mawasiliano kati ya subscribers wa mtandao na watoa huduma za mtandao either through wireless au broadbands lakini hii kitu ishapatiwa ufumbuzi muda tu
Kwa hyo ndg zangu tunaweza kupata huduma ya internet kwa free au hata gharama nafuu. Maana naona mimi natumia gb mpka 3 kwa siku na gharama kiuhalisia ni kubwa sana kama mnavyojua mitandao ya kitanzania ilivyo
Mimi natumia VPN kila siku. Primarily kwa ajili ya data encryption ya internet connection yangu (my own subscribed VPN) au nikiwa nafanya kazi kutoka nyumbani (my office VPN).
Ninachotaka kujua huyu anayesema anapata free internet kwa VPN, ana connect kwenye VPN kwa kutumia nini?
Mimi nahitaji internet connection kwanza ili kuconnect kwenye VPN.
Sasa kwa maelezo ya mtoa mada ninkama anatuambia anatumia VPN ku connect kwenye network? How dies he cinnect to the VPN without having an internet connection?
That does not make sense.
WAKUU kwa heshima na taadhima, nawaomba kidogo mpitie hizi threads za miaka ya nyuma za hapa JF ili mueweze kuelewa, japokuwa hizi tricks kwa sasa hazifanyi kaziVpn haihusiani na free Internet mbona
Swali langu dogo tu.WAKUU kwa heshima na taadhima, nawaomba kidogo mpitie hizi threads za miaka ya nyuma za hapa JF ili mueweze kuelewa, japokuwa hizi tricks kwa sasa hazifanyi kazi
Kuifanya cproxy kuwa kama pd-proxy
Kuifanya cproxy kuwa kama pd-proxy
Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn
pd proxy na tunnel guru ipi bora
Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT
VPN gani nzuri niweze tumia net bure
PD-Proxy VPN Service
How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet
Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)
halafu kingine wakongwe na wataalamu wengi wamelikimbia hili jukwaa sio kama zamani
pitia hizo link,utaelewa.Swali langu dogo tu.
Halijajibiwa.
Una connect vipi kwenye VPN bila internet?
VPN inakuunganisha na IP fulani. Wewe uko IP fulani.
Unafikaje kuunganishwa na hiyo IP? Kuna mtandao unatoa free access hapo kati?
Au watu wanasema kwa kawaida yetu ya wabongo wengi ya kutokuwa na nidhamu ya maneno?
Kaka mimi niliambiwa nikae kimya kama sijui kitu. Yaani mtu anawapotosha wenzake bila sababu ya msingi. Nani aliyesema na tangu lini VPN iwe free internet.??Mimi natumia VPN kila siku. Primarily kwa ajili ya data encryption ya internet connection yangu (my own subscribed VPN) au nikiwa nafanya kazi kutoka nyumbani (my office VPN).
Ninachotaka kujua huyu anayesema anapata free internet kwa VPN, ana connect kwenye VPN kwa kutumia nini?
Mimi nahitaji internet connection kwanza ili kuconnect kwenye VPN.
Sasa kwa maelezo ya mtoa mada ninkama anatuambia anatumia VPN ku connect kwenye network? How dies he cinnect to the VPN without having an internet connection?
That does not make sense.
Nataka kwa simu hata kwa pc itakuwa co mbaya. Help plz mkuuyou are about to spoil it mkuu
Nisaidie mkuu huduma hiyo plzSiwezi kuweka hapa hata kidogo
So they are connecting to an ISP for free internet then.pitia hizo link,utaelewa.
How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet
How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet
MKubwa nadhani hatuwelewani, kipindi hiko unaconnect na internet lakini kwenye laini inakuwa na 0 balance ikisha connect pd proxy ilikuwa inaanza kutafuta UDP open port kwa ajili ya kupitishia data kisha ikishaipata inakuunganisha server zao na hapo ndipo unabypass ISP na kuanza kutumia unlimited. unlimited ipo mpaka sasa ila kwa tricks nyingine tofauti na hizi.So they are connecting to an ISP for free internet then.
That explains.
Hao watu wa security wa ISP wanatakiwa kufukuzwa kazi. That is a gaping security risk that was the missing link in the logic of the thread.
But then how do you scan an ISP without internet connection?
Kwa hiyo haiwezekani kabsa kupata huduma ya internet kwa free au kwa gharama nafuuSo they are connecting to an ISP for free internet then.
That explains.
Hao watu wa security wa ISP wanatakiwa kufukuzwa kazi. That is a gaping security risk that was the missing link in the logic of the thread.
But then how do you scan an ISP without internet connection?
You need internet connection to begin with in order to do port scanning.
Hawa watu walioingia jf juzijuzi hawawezi kukuelewa enzi hizo kina mwl.RCT shy sharobaro n.kWAKUU kwa heshima na taadhima, nawaomba kidogo mpitie hizi threads za miaka ya nyuma za hapa JF ili mueweze kuelewa, japokuwa hizi tricks kwa sasa hazifanyi kazi
Kuifanya cproxy kuwa kama pd-proxy
Kuifanya cproxy kuwa kama pd-proxy
Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn
pd proxy na tunnel guru ipi bora
Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT
VPN gani nzuri niweze tumia net bure
PD-Proxy VPN Service
How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet
Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)
halafu kingine wakongwe na wataalamu wengi wamelikimbia hili jukwaa sio kama zamani
Nimependa hako kaneno ....."eiza"Hapana.!
VPN ni kifupi cha maneno haya...Virtual Private Network.
Hii ina maana, ukishajiunga na internet yako (yaani ukiwa online katika kifaa chako eiza simu au kompyuta) unapata kitu kinachoitwa IP Address ambayo kimsingi inaonesha wapi kifaa chako kimeunganishwa na internet iyo (yaani ina ku'pin point)
Sasa kwa kuweka VPN inakupa address nyingine tofauti yaan kwa mfano VPN yako ni ya USA basi automatically mtu akiangalia upo wapi kwenye kifaa chako ndio itaonesha upo uko USA na si iyo excatly location uliyopo.
Nimefafanua kidogo kwa uelewa wangu, wengine wanakuja watajazia pale nilipoacha na kunikosoa pia inaruhusiwa.
Melvine.!
Hahaha.Nimependa hako kaneno ....."eiza"
Kiswahili kinakua
Unaweza kuconnect WiFi router ya jirani ambayo haina password ukapata internet free.Kwa hiyo haiwezekani kabsa kupata huduma ya internet kwa free au kwa gharama nafuu