Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

Sasa wewe unajua Si useme.... Daah uswahili bna ...funguka mawazo yako tujue mkuu
Yan nakereka sana na watu wanaojibu kwa staili hizi, unaweza sema mtu hana akili timamu vile.

Sent from my SM-A700K using JamiiForums mobile app
 
Mimi natumia VPN kila siku. Primarily kwa ajili ya data encryption ya internet connection yangu (my own subscribed VPN) au nikiwa nafanya kazi kutoka nyumbani (my office VPN).

Ninachotaka kujua huyu anayesema anapata free internet kwa VPN, ana connect kwenye VPN kwa kutumia nini?

Mimi nahitaji internet connection kwanza ili kuconnect kwenye VPN.

Sasa kwa maelezo ya mtoa mada ninkama anatuambia anatumia VPN ku connect kwenye network? How dies he cinnect to the VPN without having an internet connection?

That does not make sense.
Unaweza kutusaidia maelezo jinsi ya ku set vpn km unavyotumia ww kwa ajili ya encryption acha iyo ya office

Sent from my SM-A700K using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kutusaidia maelezo jinsi ya ku set vpn km unavyotumia ww kwa ajili ya encryption acha iyo ya office

Sent from my SM-A700K using JamiiForums mobile app
Habari zote zipo www.hide.me ukitembelea hapo kuna software unaweza ku download kwa trial, uka install kwenye computer yako.

Once uki install, unachagua nchi yoyote unayotaka, unapata IP Address ya kutoka nchi hiyo.

Habari zako zote za mtandaoni zinakuwa encrypted, watu wakijaribu ku snoop wanaona garbage tu, hawaoni umetembelea mtandao gani na umefanya nini.
 
Habari zote zipo www.hide.me ukitembelea hapo kuna software unaweza ku download kwa trial, uka install kwenye computer yako.

Once uki install, unachagua nchi yoyote unayotaka, unapata IP Address ya kutoka nchi hiyo.

Habari zako zote za mtandaoni zinakuwa encrypted, watu wakijaribu ku snoop wanaona garbage tu, hawaoni umetembelea mtandao gani na umefanya nini.
Ok ok thnx sana. Na kwa upande wa kisheria hakuna shida yoyote? Like ukifanya ivo is illegal?

Sent from my SM-A700K using JamiiForums mobile app
 
Vpn ni ina unblock site ambazo zimezuiliwa mfano niko uk labda huwezi kutumia whataaps wameifunga kupiga simu ukidownlord vpn unaweza kupiga na inabidi kila unapotaka kupiga au kufungua site iliyokuwa block unafungua vpn ni ku unblock sidhani kama inatumia ku unblock wifi ninavyojua mimi
 
Ok ok thnx sana. Na kwa upande wa kisheria hakuna shida yoyote? Like ukifanya ivo is illegal?

Sent from my SM-A700K using JamiiForums mobile app
Kwa nchi kama Marekani sio illegal kwa sababu ni sawa na wewe kuweka password kwenye email yako, unavyoweka password kwenye email yako au unavyofunga barua yako ndani ya bahasha unavunja sheria?

Tanzania sina hakika hata kamakuna sheria za mambo haya, ila iwe illegal kwa sababu gani?

Kwani kufunga madirisha nyumbani kwako mbu wasiingie ni illegal?

Au kufunga mlango wezi wasiingie ni illegal?

Kama encryption inanisaidia ninaponunua vitu mtandaoni hackers wasiweze kudaka habari zangu na kuchukua hela zangu kutokabenki yangu, nikijikinga ili hilo lisitokee nitakuwa navunja sheria kivipi?
 
Vpn ni ina unblock site ambazo zimezuiliwa mfano niko uk labda huwezi kutumia whataaps wameifunga kupiga simu ukidownlord vpn unaweza kupiga na inabidi kila unapotaka kupiga au kufungua site iliyokuwa block unafungua vpn ni ku unblock sidhani kama inatumia ku unblock wifi ninavyojua mimi
 
What is VPN?VPN is a virtual private network...ni point to point or point to multipoint encrypted tunnel..ikimananisha mtu mwingine asiekua na decryption key Hawezi ona data zinachokua transmitted ila ataona volume aka MB unazotumia in case data zako zinapitia kwake e.g Internet service provider au administrator wa router/firewall ya ofcn or home....Unaponunua VPN software kifupi unanunua point to point link kutoka device yako mpaka kwenye server/router au firewall ya aliekuuzia hapo isp/admin watakua haoni kitu ila watajua kuna VPN tunnel inamekua established ht km utatumia dynamic ports na atajua MB ambazo unatumia...zamani walikua wana identify traffic e.g http(web browsing) ndo wanaipa MB flani n zile ambazo wameshindwa kuzi identify zinakua na default config zinazoruhusu traffic burst so VPN inatumia mwanya uo uo coz traffic zake huwezi zitambua bt now days ht zile default wana zi police (qos) pia so no more MB...u can also by pass blocked contents kwa kutumia VPN coz traffic zinazopita kwenye VPN tunnel zinakua encrypted so firewalls zinablock contents or ports zinaona maluwe luwe tu....sorry wakuu km ntakua nimeboronga ktk uandishi
 
Kwa mtoa mada km ISP wako yupo vzuri huwezi pata free internet ila unaweza pata blocked contents mfano sie wa Hulu au regional contents mfano ile video ya Chura ilivyopigwa marufuku Bongo ukitumia VPN unaiona mubashara...kitu kingine vpn itakusaidia kuwahadaa hackers coz they won't see ur truly location...wataona ya VPN provider wako ila hii haiwahusu wale wazembe wanaotembelea website hatarishi na ku click click kila kitu..Unaweza click rootkit iliyokua imbeded kwenye video au picha ikaji install bila ww kujua...hii ht km unatumia VPN won't help to prevent a hacker ku gain access ya pc au cm yako...ukijiunga tu na internet kitu kuna kina establish connection na pc ya jamaa so atajua kua now u r online...so kuweni makini na site mnazotembelea...hasa porn site coz kule unakua excited una click click tu coz unaona km unachelewa kuona mikito kumbe una install malware or rootkits
 
JF ya leo imekimbiwa na watu wengi ambao ndio walikuwa wanachangia vitu vya msingi kwenye jamii.nadhani siasa na ukuaji wa utandawazi umekuwa ni sababu kubwa.na vitisho pia.sasa sikuhizi hakuna cha maana zaidi ya kutukanana na habari za uongo
 
fbd33d694aa8439a9415fe01f8b35198_18.jpg

Apple Inc has announced that it is removing virtual private network (VPN) services from its app store in China, drawing criticism from VPN service providers, who accuse the US tech giant of bowing to pressure from Beijing.

VPNs allow users to bypass China's so-called "Great Firewall" aimed at restricting access to overseas sites.

In January, Beijing passed laws seeking to ban all VPNs that are not approved by state regulators. Approved VPNs must use state network infrastructure.

In a statement on Sunday, an Apple spokeswoman confirmed it will remove apps that do not comply with the law from its China App Store, including services based outside the country.

Beijing has shut down dozens of China-based providers and it has been targeting overseas services as it bids to tighten its control over the internet, especially ahead of the Communist Party congress in August.

While personal VPN providers have been the subject of state-led attacks in the past, this marks the first time Apple has complied with requests to scrub overseas providers from its store, a move that VPN providers say is unnecessarily supportive of China's heightened censorship.

"Apple has done much good for privacy and security in recent years, but actively assisting censorship crosses the red line of human rights," Edward Snowden, the American whistle-blower now residing in Russia, said in a tweet.

Apple sends notices to providers

VPN provider ExpressVPN said on Saturday that it had received a notice from Apple that its software would be removed from the China App Store "because it includes content that is illegal in China".

"We're disappointed in this development, as it represents the most drastic measure the Chinese government has taken to block the use of VPNs to date, and we are troubled to see Apple aiding China's censorship efforts," ExpressVPN said in a statement.

Other major providers, including VyprVPN and StarVPN, confirmed they also received the notice on Saturday from Apple.

China cyber-security law worries foreign firms

"We view access to Internet in China as a human rights issue and I would expect Apple to value human rights over profit," Sunday Yokubaitis, president of Golden Frog, which oversees VyprVPN told the Reuters news agency on Sunday.

Yokubaitis said Golden Frog will file an appeal to Apple over the ban.

China users with billing addresses in other countries will still be able to access VPN apps from other branches of the App Store.

A number of VPN apps were still accessible on the China App store on Saturday, according to Reuters.

Source: Al Jazeera
 
VPN inatumika kuficha mawasiliano yako kwa watu wa kati. Unakuwa kama vile(Virtual) upo kwenye private network wakati upo kwenye public internet.

So kwa mfano kama hautumii VPN unapoandika www.facebook.com kwenye browser yako third party zote kati PC yako na server za facebook zilizopo marekani zinajua kwamba wewe unawasiliana na facebook, lakini hazijui mawasiliano hayo ni yapi kwa vile facebook wanatumia https (encryption). Third party hizo ni pamoja na ISP wako, ISP wa ISP wako, network yoyote iliyopo katikati ambapo mawasiliano yatapita, ISP wa facebook, vyombo mbali mbali vya usalama etc etc.
Hii ni hatari zaidi kama unaenda site ambayo haitumii https (JF miezi kadhaa iliyopita) third party hizo zinaweza kusoma kila kitu kwa vile mawasiliano hayapo encrypted.

Kama unatumia VPN watakachoona third party ni kwamba wewe unawasiliana na server za VPN provider wako tu.
Hawawezi kujua kama unawasiliana na facebook, jf au site yoyote nyingine, wanaona tu kuwa kuna data zinapita ila hawana uwezo wa kuona hayo mawasiliano yanaenda wapi zaidi ya VPN provider.

Ila VPN provider huyo anajua kila kitu kwa vile sasa mawasiliano yako yote yanapita kwake na wengine wanahifadhi kumbukumbu kwa sababu za kisheria nchi wanazooperate, so wakipewa court order halali wanaweza kukuchoma vile vile. Wapo wanaodai hawahifadhi chochote ila ni ngumu kujua.
 
duh! aksante sana Kang kwa maelezo yako mazur, sasa ni kwa namna gan na mm naweza kutumia iyo VPN? maana nataman sana kutumia iyo kitu sema tatizo sijafaham xo kama kuna uwezekano naomba unielekeze ili na mm niingie kwenye huo mfumo, cm yangu inatumia android na sio ios

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh! aksante sana Kang kwa maelezo yako mazur, sasa ni kwa namna gan na mm naweza kutumia iyo VPN? maana nataman sana kutumia iyo kitu sema tatizo sijafaham xo kama kuna uwezekano naomba unielekeze ili na mm niingie kwenye huo mfumo, cm yangu inatumia android na sio ios

Sent using Jamii Forums mobile app

Inabidi ufikirie unajaribu kuficha nini na kutoka kwa nani?

Unaweza kujaribu App ya Opera VPN ambayo ni bure, lakini lazima ujiulize kwanini kampuni inatoa huduma bure ambayo inawagharimu hela nyingi kuiendesha? Bila shaka kuna data ambazo wanakusanya kuhusu matumizi yako ya internet. Pia kuna baadhi ya matumizi hayawezekani kama torrents.

Zipo app kibao za "VPN" ya bure ila utafiti unaonyesha nyingi hazifanyi kitu kabisa au zinaleak data zako kutokana na makosa ya kiufundi, pia wengine wanachomekea matangazo yao wenyewe ili kuendesha biashara. Ni vigumu kujua yupi wa kumwamini.

F-Secure Freedome VPN ndo VPN ambayo inasemekana iko vizuri ila ni ya kulipia baada ya muda fulani.
 
duh! apo kweli kazi ipo ndugu Kang! sema nilitaka nijaribu tu ku apply nione inafanyeje kazi maana naiona tu umu kwenye cm yangu lakin sijui matumiz yake , i mean kwamba hata mtu akiniuliza mtakosa cha kumjibu japo kuwa umeshanielewesha kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom