Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Yule kuolewa ni ngumu sanaApo ndo Sina uhakika mkuu. Ila nahisi hajaolewa ndo maana anaongea hayo.
Mwanamke anayejielewa hawezi akakaa atazame kipindi kama kile
Yule kuolewa ni ngumu sanaApo ndo Sina uhakika mkuu. Ila nahisi hajaolewa ndo maana anaongea hayo.
Kama unawaongelea the likes of akina ^Mama Dangote^ na Khadija Koppa, mmmmh, hapana kwa kweli. Heri kufunzwa na ulimwengu mwingine, kuliko kufundwa na hao vibapara wa jiji.Bibi Zetu mkuu
[emoji28][emoji28]Ni kweli kabisaKama unawaongelea akina ^Mama Dangote^ na Khadija Koppa, mmmmh, hapana kwa kweli. Heri kufunzwa na ulimwengu mwingine, kuliko kufundwa na hao vibapara wa jiji.
Nikwambie sasa.Apo ndo Sina uhakika mkuu. Ila nahisi hajaolewa ndo maana anaongea hayo.
Kuna tofauti kati ya kuheshimiwa na kuabudiwa. Wavulana wengi wanataka kuabudiwa.Habari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni sawa lakini hatuwezi kuacha utamaduni we2 wa babu zetu. Wanawake walikua wanafundwa wakifundishwa Mambo mbalimbali ikiwemo
Na mwanamke? Baba mwenye nyumba ( hata kama imejengwa na mke wake) hawajibiki kumhusisha mwenzake kwenye mipango na maamuzi yote yahusuyo familia? Imani zenu ndio zinafanya wajane wengi kupata shida wenzao wakitangulia maana walikuwa wanawategemea kwa kila kitu na hata uwezo wa kufanya maamuzi wanakuwa hawana. Ndio mwanzo wa kukimbilia kuolewa ili mradi wawe na mtu wa kuwaamuliwa hata kama maamuzi yenyewe ni ya ovyo. Eva hakuumbwa kuwa mtumwa wa Adam bali mshiriki ( companion) wake.Methali 14
1 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
2 Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu,
lakini mpotovu humdharau Mungu.
3 Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake.
ANAYEWASIKILIZA HAO ATAJUTA. KIONGOZI WA NYUMBA YAANI MUME NA BABA MWENYE NYUMBA LAZIMA AHUSISHWE KWENYE MIPANGO NA MAAMUZI YA MAMBO YOTE
Ongezaa sautiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ah wanalalamika lalamika hapa.
Mi mwanaume asiyeweza kunifanya nimuone MKUU WA BOMA, hakiiii namdharau!
Na ntakusumbua tu!.
Kuna namna A woman anakuwa tu wa kike yani mwanaume akiwa mwanaume.
Shida wanadhani ni swala tu la default setting!.
mxxxxxiiiiieee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikwambie sasa.
Ile ndo sampuli ya mabinti wengi ambao wanawasubiri.
Trust me.
Dunia ya wanawake mnaowatamani haipo tena.
UKISOMA COMMENTS ZANGU BILA MHEMKO UTAELEWA NA UTAJIFUNZA NA UTAFANYIA KAZI.
Mimi wala si muumini wa Feminisms Theory.
I loooove my Man being One.
Na akiwa nashusha mabega chini vizuri kabisa.
Ila kinyume chake, aaah ameumia!!!
na trust me, sio issue ya FEDHA WALA ELIMU!!
NI namna gani WEWE MWANAUME UNAKUWA MWANAUME MTAWALA NA MMILIKI!!
Kinyume na hapo mtaendelea Sana kuambiwa
" Sipo , nimetoka"
Naona wengi wetu humu hatujui maana ya Feminism kabisa 😞😞😞Nona unakazia Feminism
Na mwanamke? Baba mwenye nyumba ( hata kama imejengwa na mke wake) hawajibiki kumhusisha mwenzake kwenye mipango na maamuzi yote yahusuyo familia? Imani zenu ndio zinafanya wajane wengi kupata shida wenzao wakitangulia maana walikuwa wanawategemea kwa kila kitu na hata uwezo wa kufanya maamuzi wanakuwa hawana. Ndio mwanzo wa kukimbilia kuolewa ili mradi wawe na mtu wa kuwaamuliwa hata kama maamuzi yenyewe ni ya ovyo. Eva hakuumbwa kuwa mtumwa wa Adam bali mshiriki ( companion) wake.
Amandla....
NakaziaHakuna watu wanaweza fanya kazi pamoja bila kuwa na mawasliano yaani taarifa, makubaliano na mrejesho.
Hakuna wanandoa wanaweza ku survive kwenye ndoa kama hawana hayo mawasliano.
Ikiwa uwezo wa mtu kiuchumi ndio unasababisha aage au asiage ni basi haina maana ya kuishi pamoja
AMOS 3:3
"Je! Watu wawili waweza kutembea pamoja, wasipokuwa wamepatana?"
hicho kipindi cha dadaz kinatakiwa kipigwe stop hapo EATv hao wahuni akina bhoke wanatuharibia familiaHabari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni sawa lakini hatuwezi kuacha utamaduni we2 wa babu zetu. Wanawake walikua wanafundwa wakifundishwa Mambo mbalimbali ikiwemo kuwaheshimu waume zao.
Na kutokana na tunavyoona ndoa zao zilidumu kwa kweli japo changamoto zilikuwepo. Ila kizazi hiki kinachotaka wanawake wawe sawa na mwanaume, Ndoa nyingi hazidumu sababu Mwanume anahitaji Kuheshimiwa, Kutimiza Vitu anavyovitaka na vingine vingi ikiwepo Upendo ambao haiwezekani Bila Heshima.
From Dadaz (EATV). Mtangazaji Bhoke Leo katika kipindi Cha Dadaz alikua anasema hawezi kua anaomba ruhusa kwa Mume wake anapotaka kutoka kwenda sehemu. Bali yeye amesema atakua anatoa taarifa ( Mume akatae au akubali lazma ataindoka). Kwangu sio Sawa sababu Mwanaume anapaswa Kuheshimiwa na yeye ndyo Kichwa Cha Familia.
Unapotaka kutoka kwenda sehemu wewe Kama Mwanamke lazma uombe ruhusa kwa Mume wako ili kuonyesha Utii. Ata vitabu vinasisitiza wanawake kuwaheshimu waume zao. Kwahyo Wanawake na Wanaume tuna Haki sawa Ila tusiache utamaduni we2 hasa waliyotufundisha wazee wetu:
SWALI: Je wewe unazani ni sawa mwanamke kuondoka Nyumbani bila kuomba ruksa kwa mumewe?
NB: Kwa walio katika Ndoa lakini sio Walio kwenye Mahusiano.
P.S: IMMORALITY Sio IMMORTALITY Kwenye Heading
By AmArtist
📌🔨Nakazia
Nilikua na mtazamo hasi sana ila naamini wanawake wema bado wapo ,ngoja nisake pesa tuFeminist ni wanawake waliovurugwa yaani bora tukose wote ili wapate faraja ya kilio cha wengi.
Mke mwema aachiki na hakosi mume
Wanaume wengi hawaoni umuhimu wa hayo mawasiliano. Wengi wanaona sifa kusema kuwa hawawezi kushauriwa na mwanamke. Na wengi wao yanapowakuta ya kuwakuta wanaokolewa na wake zao ambao walikuwa wanawadharau. Ndoa hizi zina survive kwa sababu wote wamekubali ndivyo Mungu alivyopanga kwa kumfanya mwanaume kichwa kisicho shaurika.Hakuna watu wanaweza fanya kazi pamoja bila kuwa na mawasliano yaani taarifa, makubaliano na mrejesho.
Hakuna wanandoa wanaweza ku survive kwenye ndoa kama hawana hayo mawasliano.
Ikiwa uwezo wa mtu kiuchumi ndio unasababisha aage au asiage ni basi haina maana ya kuishi pamoja
AMOS 3:3
"Je! Watu wawili waweza kutembea pamoja, wasipokuwa wamepatana?"
Hawajui.Naona wengi wetu humu hatujui maana ya Feminism kabisa 😞😞😞
Samahan Kiongozi unajua maana ya FEMINISM?