Feminism motivate immortality in marriage

Feminism motivate immortality in marriage

Iko hivi
Utii wa mwanamke unaletwa na mambo mengi sana.
Feminism mnailaumu tu bure.

Baba zenu hawakuwa nyie wa leo.
Mnatarajia wake zenu wawe kama walivyokuwa mama zenu.

Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuwa na balls!
Muoneshe mwanamke wako WEWE NDIYE BABA MWENYE BOMA!
Kuitwa tu Daudi, Solomon, Mohamed hakukupi UKUU WA BOMA!
BE THAT MKUU WA BOMA UNAPASWA KUWA!!
Uone vile mwanamke hata mwenye kipato kukuzidi mwenye uwezo wa kumudu kila kitu chake BADO AKUTII KAMA MUME KAMA MKUU WA BOMA YAKO!!!

Mkiendelea
-kuvaa vaa vikaptura vyenu vya pinki hv
-kupaka paka poda za wake zenu,
-kulia lia mke hajalipa kodi sijui ada amejenga kwao,
-kulala mpk saa 8 mchana kwa kuwa jana ulikuwa kwenye mipombe ,
- kuhairisha hairisha tendo la ndoa in the name of kazi sijui nn kumbe tu ulikuwa happy hour kwenye house party mnafanya mitungo huko mnageuzana geuzana.
-kutokuwa na sauti ya baba hasa mbele ya watoto
-kuwa nahodha wa jahazi la familia yako, kwao mkeo na ya kwenu
-kushtaki shtaki wake zenu kwa mama zenu sijui dada zenu
-kuhofia mazungumzo na kutoa way foward na tamko la familia yako wewe kama baba

MTAENDELEA KUDHARAULIKA KILA SIKU
NA KUPEWA TAARIFA NA KWANZA HATA MNAOPEWA TAARIFA MKE ALIPO, MSHUKURU.

KUWENI WANAUME ILE HASA WANAUME!
Huu uanaume mnaoutaka kwenye kuagwa tu MUUDAI PIA KWENYE YAWAPASAYO KUENENDA KAMA WAKUU WA BOMA!
Vinginevyo Dunia haina Tena hao wanawake wa kutizama tu kende na kuzihofia!

KASIRIKA ILA FANYIA KAZI!
Noted
 
Kuna dada mmoja wa hao dadaz huwa nikimwona namcheka tu. Anatoka na jamaa mmoja hivi ni jamaa yangu. Uyo dada amekolea kaoza jamaa anamfanya anavyotaka dem kakolea. Hao madem wako kazini ndo wanaambiwa waseme hivo na maboss wao ila kiuhalisia hawako hivo. Sasa wewe dada jichanganye ndo utajua hujui.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Methali 14
1 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
2 Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu,
lakini mpotovu humdharau Mungu.
3 Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake.


ANAYEWASIKILIZA HAO ATAJUTA. KIONGOZI WA NYUMBA YAANI MUME NA BABA MWENYE NYUMBA LAZIMA AHUSISHWE KWENYE MIPANGO NA MAAMUZI YA MAMBO YOTE
Asantee kwa Reference
 
Iko hivi
Utii wa mwanamke unaletwa na mambo mengi sana.
Feminism mnailaumu tu bure.

Baba zenu hawakuwa nyie wa leo.
Mnatarajia wake zenu wawe kama walivyokuwa mama zenu.

Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuwa na balls!
Muoneshe mwanamke wako WEWE NDIYE BABA MWENYE BOMA!
Kuitwa tu Daudi, Solomon, Mohamed hakukupi UKUU WA BOMA!
BE THAT MKUU WA BOMA UNAPASWA KUWA!!
Uone vile mwanamke hata mwenye kipato kukuzidi mwenye uwezo wa kumudu kila kitu chake BADO AKUTII KAMA MUME KAMA MKUU WA BOMA YAKO!!!

Mkiendelea
-kuvaa vaa vikaptura vyenu vya pinki hv
-kupaka paka poda za wake zenu,
-kulia lia mke hajalipa kodi sijui ada amejenga kwao,
-kulala mpk saa 8 mchana kwa kuwa jana ulikuwa kwenye mipombe ,
- kuhairisha hairisha tendo la ndoa in the name of kazi sijui nn kumbe tu ulikuwa happy hour kwenye house party mnafanya mitungo huko mnageuzana geuzana.
-kutokuwa na sauti ya baba hasa mbele ya watoto
-kuwa nahodha wa jahazi la familia yako, kwao mkeo na ya kwenu
-kushtaki shtaki wake zenu kwa mama zenu sijui dada zenu
-kuhofia mazungumzo na kutoa way foward na tamko la familia yako wewe kama baba

MTAENDELEA KUDHARAULIKA KILA SIKU
NA KUPEWA TAARIFA NA KWANZA HATA MNAOPEWA TAARIFA MKE ALIPO, MSHUKURU.

KUWENI WANAUME ILE HASA WANAUME!
Huu uanaume mnaoutaka kwenye kuagwa tu MUUDAI PIA KWENYE YAWAPASAYO KUENENDA KAMA WAKUU WA BOMA!
Vinginevyo Dunia haina Tena hao wanawake wa kutizama tu kende na kuzihofia!

KASIRIKA ILA FANYIA KAZI!
Unatumiaga kinywaji gani?
 
ah wanalalamika lalamika hapa.
Mi mwanaume asiyeweza kunifanya nimuone MKUU WA BOMA, hakiiii namdharau!
Na ntakusumbua tu!.
Kuna namna A woman anakuwa tu wa kike yani mwanaume akiwa mwanaume.

Shida wanadhani ni swala tu la default setting!.
mxxxxxiiiiieee!
AU BASI😀🐒
 
Back
Top Bottom