Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,101
- 127,847
Mambo ya kukimbilia kupost [emoji1787][emoji1787] utadhani anakimbizwaAf tunakujibu Tu hii post Ila hiyo heading Mzee Baba! sijui ulikusudia kusema nn!

Pambana utapata,ila kanisani sio salama sana kutafuta mke wengi pale wamefata ndoa na sio Mungu wakipata ndoa na ibada wanaacha mlango wa kanisa ugeuka kituo cha police.Nilikua na mtazamo hasi sana ila naamini wanawake wema bado wapo ,ngoja nisake pesa tu
Sisi kabila letu tuna methali inasema: Mwanaume anasomwa.Habari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni sawa lakini hatuwezi kuacha utamaduni we2 wa babu zetu. Wanawake walikua wanafundwa wakifundishwa Mambo mbalimbali ikiwemo kuwaheshimu waume zao.
Na kutokana na tunavyoona ndoa zao zilidumu kwa kweli japo changamoto zilikuwepo. Ila kizazi hiki kinachotaka wanawake wawe sawa na mwanaume, Ndoa nyingi hazidumu sababu Mwanume anahitaji Kuheshimiwa, Kutimiza Vitu anavyovitaka na vingine vingi ikiwepo Upendo ambao haiwezekani Bila Heshima.
From Dadaz (EATV). Mtangazaji Bhoke Leo katika kipindi Cha Dadaz alikua anasema hawezi kua anaomba ruhusa kwa Mume wake anapotaka kutoka kwenda sehemu. Bali yeye amesema atakua anatoa taarifa ( Mume akatae au akubali lazma ataindoka). Kwangu sio Sawa sababu Mwanaume anapaswa Kuheshimiwa na yeye ndyo Kichwa Cha Familia.
Unapotaka kutoka kwenda sehemu wewe Kama Mwanamke lazma uombe ruhusa kwa Mume wako ili kuonyesha Utii. Ata vitabu vinasisitiza wanawake kuwaheshimu waume zao. Kwahyo Wanawake na Wanaume tuna Haki sawa Ila tusiache utamaduni we2 hasa waliyotufundisha wazee wetu:
SWALI: Je wewe unazani ni sawa mwanamke kuondoka Nyumbani bila kuomba ruksa kwa mumewe?
NB: Kwa walio katika Ndoa lakini sio Walio kwenye Mahusiano.
P.S: IMMORALITY Sio IMMORTALITY Kwenye Heading
By AmArtist
No sijawah kwenda kanisan mkuu.Pambana utapata,ila kanisani sio salama sana kutafuta mke wengi pale wamefata ndoa na sio Mungu wakipata ndoa na ibada wanaacha mlango wa kanisa ugeuka kituo cha police.
Ndyo nduguNaona wengi wetu humu hatujui maana ya Feminism kabisa [emoji20][emoji20][emoji20]
Samahan Kiongozi unajua maana ya FEMINISM?
FEMINISM is a social theory or political movement which argues that legal and social restrictions on women must be removed in order to bring about equality of the sexes in all aspects of public and private life.Naona wengi wetu humu hatujui maana ya Feminism kabisa [emoji20][emoji20][emoji20]
Samahan Kiongozi unajua maana ya FEMINISM?
Ni kweli Mkuu, inamaana anayepasa Kuheshimiwa ni mwenyekipato tu. Kama huna kipato Heshima kando ndo nilivyomuelewaHakuna watu wanaweza fanya kazi pamoja bila kuwa na mawasliano yaani taarifa, makubaliano na mrejesho.
Hakuna wanandoa wanaweza ku survive kwenye ndoa kama hawana hayo mawasliano.
Ikiwa uwezo wa mtu kiuchumi ndio unasababisha aage au asiage ni basi haina maana ya kuishi pamoja
AMOS 3:3
"Je! Watu wawili waweza kutembea pamoja, wasipokuwa wamepatana?"
Heading niliandika kwa capital letter mkuu aliye moderate ndo kajichanganya mkuu [emoji16]Af tunakujibu Tu hii post Ila hiyo heading Mzee Baba! sijui ulikusudia kusema nn!
Hapana. Mchango sio kipato tuu. Mama wa nyumbani anaelea watoto wa familia na kuihudumia ana mchango mkubwa ingawa anadharauliwa kwa sababu hachangii fedha. Mtu kama kwa namna moja au nyingine hauna kipato lakini unajitahidi kuchangia familia kwa namna moja au nyingine utaheshimiwa.Ni kweli Mkuu, inamaana anayepasa Kuheshimiwa ni mwenyekipato tu. Kama huna kipato Heshima kando ndo nilivyomuelewa
Wala hatuna kazi dada ,tupo macho sna kuwapembua mpka kupata wale cream.Very sad stuff niliona jana. Mpaka nikasema Bhoke na Husna wamepatwa na nini kuongea that shit kwenye media ambapo dunia nzima inaona. Kwenye mada tajwa hapo juu ni kwamba misingi ya tamaduni za kiAfrika pamoja na misingi ya imani kote kunasoma 0 0.
Heshima na utii ni vazi la urembo kwa mwanamke. Lakini kuona watu wanadiriki kutamka yale maneno waziwazi nikajiuliza na kujijibu the intetion behind ile mada. Biblia inanionya mapema kabisa kwamba mke na amtii mume wake katika KILA jambo kama kanisa limtiivyo KRISTO. Kanisa lisipomtii Kristo halitafika popote, vivyo hvyo na sisi.
Nimejifunza kuwa nizidishe umakini sana na mambo ninayokutana nayo kwenye TV na social mediaz. Kuna uovu mkubwa sana unasambazwa huku and mabinti wengi wanaharibikiwa. Wanaume kazi mnayo.
Achraf Hakimi njoo tafadhali, role model wa MasculinityHabari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni sawa lakini hatuwezi kuacha utamaduni we2 wa babu zetu. Wanawake walikua wanafundwa wakifundishwa Mambo mbalimbali ikiwemo kuwaheshimu waume zao.
Na kutokana na tunavyoona ndoa zao zilidumu kwa kweli japo changamoto zilikuwepo. Ila kizazi hiki kinachotaka wanawake wawe sawa na mwanaume, Ndoa nyingi hazidumu sababu Mwanume anahitaji Kuheshimiwa, Kutimiza Vitu anavyovitaka na vingine vingi ikiwepo Upendo ambao haiwezekani Bila Heshima.
From Dadaz (EATV). Mtangazaji Bhoke Leo katika kipindi Cha Dadaz alikua anasema hawezi kua anaomba ruhusa kwa Mume wake anapotaka kutoka kwenda sehemu. Bali yeye amesema atakua anatoa taarifa ( Mume akatae au akubali lazma ataindoka). Kwangu sio Sawa sababu Mwanaume anapaswa Kuheshimiwa na yeye ndyo Kichwa Cha Familia.
Unapotaka kutoka kwenda sehemu wewe Kama Mwanamke lazma uombe ruhusa kwa Mume wako ili kuonyesha Utii. Ata vitabu vinasisitiza wanawake kuwaheshimu waume zao. Kwahyo Wanawake na Wanaume tuna Haki sawa Ila tusiache utamaduni we2 hasa waliyotufundisha wazee wetu:
SWALI: Je wewe unazani ni sawa mwanamke kuondoka Nyumbani bila kuomba ruksa kwa mumewe?
NB: Kwa walio katika Ndoa lakini sio Walio kwenye Mahusiano.
P.S: IMMORALITY Sio IMMORTALITY Kwenye Heading
By AmArtist
Ni kweli sometimes Hawa watangazaji wanapotosha jamii. Mfano Kuna mwingine Clouds alikua andendesha kipindi Cha mahusiano huku yupo single. Can you imagine hiyo pumba anayoongea utafikiri yupo kwenye Mahusiano kumbe ni imagination tu zinazoleta upotoshaji.Very sad stuff niliona jana. Mpaka nikasema Bhoke na Husna wamepatwa na nini kuongea that shit kwenye media ambapo dunia nzima inaona. Kwenye mada tajwa hapo juu ni kwamba misingi ya tamaduni za kiAfrika pamoja na misingi ya imani kote kunasoma 0 0.
Heshima na utii ni vazi la urembo kwa mwanamke. Lakini kuona watu wanadiriki kutamka yale maneno waziwazi nikajiuliza na kujijibu the intetion behind ile mada. Biblia inanionya mapema kabisa kwamba mke na amtii mume wake katika KILA jambo kama kanisa limtiivyo KRISTO. Kanisa lisipomtii Kristo halitafika popote, vivyo hvyo na sisi.
Nimejifunza kuwa nizidishe umakini sana na mambo ninayokutana nayo kwenye TV na social mediaz. Kuna uovu mkubwa sana unasambazwa huku and mabinti wengi wanaharibikiwa. Wanaume kazi mnayo.
Mwamba kacheza Kama Pele[emoji16][emoji28]Achraf Hakimi njoo tafadhali, role model wa Masculinity
Kwa mtizamo huo Samia anapaswa amtii mume wake kwa KILA jambo? Ina maana Rais wa nchi hii ni mume wake Samia na Samia ni kipaza sauti tu? Ni kuwa Samia hawezi kutoka bila kibali cha mume wake? Hauoni itakuwa shida maana unachosema ni kuwa mwanamke aliyeolewa hastahili kushika nafasi ya uongozi kwa sababu atakuwa anawajibika zaidi kwa mume wake kuliko nchi yake?Very sad stuff niliona jana. Mpaka nikasema Bhoke na Husna wamepatwa na nini kuongea that shit kwenye media ambapo dunia nzima inaona. Kwenye mada tajwa hapo juu ni kwamba misingi ya tamaduni za kiAfrika pamoja na misingi ya imani kote kunasoma 0 0.
Heshima na utii ni vazi la urembo kwa mwanamke. Lakini kuona watu wanadiriki kutamka yale maneno waziwazi nikajiuliza na kujijibu the intetion behind ile mada. Biblia inanionya mapema kabisa kwamba mke na amtii mume wake katika KILA jambo kama kanisa limtiivyo KRISTO. Kanisa lisipomtii Kristo halitafika popote, vivyo hvyo na sisi.
Nimejifunza kuwa nizidishe umakini sana na mambo ninayokutana nayo kwenye TV na social mediaz. Kuna uovu mkubwa sana unasambazwa huku and mabinti wengi wanaharibikiwa. Wanaume kazi mnayo.
Wala hajafanya lolote. Ameahirisha tu matatizo na inawezekana ikawa amejiongezea. Ni wazi kuwa PSG ilikuwa inamlipa yeye mshahara na sio mama yake ( labda mama yake pia ni mchezaji). Kwa kufanya alivyofanya kunaweza kumsabibishia kesi nyingine ya kutaka kukwepa kulipa kodi. Na vile vile ni kosa la jinai kuficha mapato yako ili mwenzako asiweze kuyafikia. Mahakama itauliza kuhusu mapato yake na ameyafanyia nini. Hili linaweza kumlipukia usoni.Mwamba kacheza Kama Pele[emoji16][emoji28]
Hicho kipindi kimejaa wasimbe suguHabari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni sawa lakini hatuwezi kuacha utamaduni we2 wa babu zetu. Wanawake walikua wanafundwa wakifundishwa Mambo mbalimbali ikiwemo kuwaheshimu waume zao.