ah wanalalamika lalamika hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchunguu huu
Uwiiiiih
Mwanamke ataondoka nyumbani bila kuniomba ruksa Kama atakuwa amenioa yeye, tofauti na hapo kitakachomkuta ataenda kusimuliana na wazazi wake nyumbani kwao.
Viongozi wa dini na serikali wanapaswa kulaani na kukemea mimama kama Bhoke wa dadaz Eatv na Joyce Kiria wanaharibu maadili ktk jamii na kuleta uasi na ukorofi wa kuvunja family unit, ni wapotoshaji wa kiwango cha LuciferHabari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni sawa lakini hatuwezi kuacha utamaduni we2 wa babu zetu. Wanawake walikua wanafundwa wakifundishwa Mambo mbalimbali ikiwemo kuwaheshimu waume zao.
Na kutokana na tunavyoona ndoa zao zilidumu kwa kweli japo changamoto zilikuwepo. Ila kizazi hiki kinachotaka wanawake wawe sawa na mwanaume, Ndoa nyingi hazidumu sababu Mwanume anahitaji Kuheshimiwa, Kutimiza Vitu anavyovitaka na vingine vingi ikiwepo Upendo ambao haiwezekani Bila Heshima.
From Dadaz (EATV). Mtangazaji Bhoke Leo katika kipindi Cha Dadaz alikua anasema hawezi kua anaomba ruhusa kwa Mume wake anapotaka kutoka kwenda sehemu. Bali yeye amesema atakua anatoa taarifa ( Mume akatae au akubali lazma ataindoka). Kwangu sio Sawa sababu Mwanaume anapaswa Kuheshimiwa na yeye ndyo Kichwa Cha Familia.
Unapotaka kutoka kwenda sehemu wewe Kama Mwanamke lazma uombe ruhusa kwa Mume wako ili kuonyesha Utii. Ata vitabu vinasisitiza wanawake kuwaheshimu waume zao. Kwahyo Wanawake na Wanaume tuna Haki sawa Ila tusiache utamaduni we2 hasa waliyotufundisha wazee wetu:
SWALI: Je wewe unazani ni sawa mwanamke kuondoka Nyumbani bila kuomba ruksa kwa mumewe?
NB: Kwa walio katika Ndoa lakini sio Walio kwenye Mahusiano.
By AmArtist
Hahahahah nacheka kama mazuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanamke ataondoka nyumbani bila kuniomba ruksa Kama atakuwa amenioa yeye, tofauti na hapo kitakachomkuta ataenda kusimuliana na wazazi wake nyumbani kwao.
Samahani unajua maana ya Feminist Mkuu?Ngoja mafeminist waje. Usiukimbie uzi wako tu.
Me naona hii thread ifungwe umemaliza kila Point’s muhimu🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🔨🔨🔨Iko hivi
Utii wa mwanamke unaletwa na mambo mengi sana.
Feminism mnailaumu tu bure.
Baba zenu hawakuwa nyie wa leo.
Mnatarajia wake zenu wawe kama walivyokuwa mama zenu.
Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuwa na balls!
Muoneshe mwanamke wako WEWE NDIYE BABA MWENYE BOMA!
Kuitwa tu Daudi, Solomon, Mohamed hakukupi UKUU WA BOMA!
BE THAT MKUU WA BOMA UNAPASWA KUWA!!
Uone vile mwanamke hata mwenye kipato kukuzidi mwenye uwezo wa kumudu kila kitu chake BADO AKUTII KAMA MUME KAMA MKUU WA BOMA YAKO!!!
Mkiendelea
-kuvaa vaa vikaptura vyenu vya pinki hv
-kupaka paka poda za wake zenu,
-kulia lia mke hajalipa kodi sijui ada amejenga kwao,
-kulala mpk saa 8 mchana kwa kuwa jana ulikuwa kwenye mipombe ,
- kuhairisha hairisha tendo la ndoa in the name of kazi sijui nn kumbe tu ulikuwa happy hour kwenye house party mnafanya mitungo huko mnageuzana geuzana.
-kutokuwa na sauti ya baba hasa mbele ya watoto
-kuwa nahodha wa jahazi la familia yako, kwao mkeo na ya kwenu
-kushtaki shtaki wake zenu kwa mama zenu sijui dada zenu
-kuhofia mazungumzo na kutoa way foward na tamko la familia yako wewe kama baba
MTAENDELEA KUDHARAULIKA KILA SIKU
NA KUPEWA TAARIFA NA KWANZA HATA MNAOPEWA TAARIFA MKE ALIPO, MSHUKURU.
KUWENI WANAUME ILE HASA WANAUME!
Huu uanaume mnaoutaka kwenye kuagwa tu MUUDAI PIA KWENYE YAWAPASAYO KUENENDA KAMA WAKUU WA BOMA!
Vinginevyo Dunia haina Tena hao wanawake wa kutizama tu kende na kuzihofia!
KASIRIKA ILA FANYIA KAZI!
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨Ukijipima wewe ni sawa na Babu yako alivyokuwa kwa Bibi yako?
🔨🔨🔨🔨🔨🔨Kama huna utii achana na kitu kinaitwa ndoa kuwa single mama.
🔧🔧🔧🔧🔧🔧🔧Ndoa ni ibada iiliyjengwa na vitu vitatu vinavyotegemeana Ili idumu.
Heshima, upendo na utii. Huna hivi achana na kuharibu vyeti vya ndoa vya mwenzio
Ndoa sio KWA KILA mtu.
Huwezi ukaoa au olewa then uishi kama bachelor.
🔨🔨🔨🔨🔨Mnayo kazi moja tu. Kuweni WANAUME.
Immortality au immorality?Habari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni sawa lakini hatuwezi kuacha utamaduni we2 wa babu zetu. Wanawake walikua wanafundwa wakifundishwa Mambo mbalimbali ikiwemo kuwaheshimu waume zao.
Na kutokana na tunavyoona ndoa zao zilidumu kwa kweli japo changamoto zilikuwepo. Ila kizazi hiki kinachotaka wanawake wawe sawa na mwanaume, Ndoa nyingi hazidumu sababu Mwanume anahitaji Kuheshimiwa, Kutimiza Vitu anavyovitaka na vingine vingi ikiwepo Upendo ambao haiwezekani Bila Heshima.
From Dadaz (EATV). Mtangazaji Bhoke Leo katika kipindi Cha Dadaz alikua anasema hawezi kua anaomba ruhusa kwa Mume wake anapotaka kutoka kwenda sehemu. Bali yeye amesema atakua anatoa taarifa ( Mume akatae au akubali lazma ataindoka). Kwangu sio Sawa sababu Mwanaume anapaswa Kuheshimiwa na yeye ndyo Kichwa Cha Familia.
Unapotaka kutoka kwenda sehemu wewe Kama Mwanamke lazma uombe ruhusa kwa Mume wako ili kuonyesha Utii. Ata vitabu vinasisitiza wanawake kuwaheshimu waume zao. Kwahyo Wanawake na Wanaume tuna Haki sawa Ila tusiache utamaduni we2 hasa waliyotufundisha wazee wetu:
SWALI: Je wewe unazani ni sawa mwanamke kuondoka Nyumbani bila kuomba ruksa kwa mumewe?
NB: Kwa walio katika Ndoa lakini sio Walio kwenye Mahusiano.
By AmArtist
Hujui utamu wa ndoa[emoji28][emoji135]Bora kutokuoana tu[emoji849]