Mzungu_bahili
Senior Member
- Oct 24, 2019
- 174
- 420
Habari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni sawa lakini hatuwezi kuacha utamaduni we2 wa babu zetu. Wanawake walikua wanafundwa wakifundishwa Mambo mbalimbali ikiwemo kuwaheshimu waume zao.
Na kutokana na tunavyoona ndoa zao zilidumu kwa kweli japo changamoto zilikuwepo. Ila kizazi hiki kinachotaka wanawake wawe sawa na mwanaume, Ndoa nyingi hazidumu sababu Mwanume anahitaji Kuheshimiwa, Kutimiza Vitu anavyovitaka na vingine vingi ikiwepo Upendo ambao haiwezekani Bila Heshima.
From Dadaz (EATV). Mtangazaji Bhoke Leo katika kipindi Cha Dadaz alikua anasema hawezi kua anaomba ruhusa kwa Mume wake anapotaka kutoka kwenda sehemu. Bali yeye amesema atakua anatoa taarifa ( Mume akatae au akubali lazma ataindoka). Kwangu sio Sawa sababu Mwanaume anapaswa Kuheshimiwa na yeye ndyo Kichwa Cha Familia.
Unapotaka kutoka kwenda sehemu wewe Kama Mwanamke lazma uombe ruhusa kwa Mume wako ili kuonyesha Utii. Ata vitabu vinasisitiza wanawake kuwaheshimu waume zao. Kwahyo Wanawake na Wanaume tuna Haki sawa Ila tusiache utamaduni we2 hasa waliyotufundisha wazee wetu:
SWALI: Je wewe unazani ni sawa mwanamke kuondoka Nyumbani bila kuomba ruksa kwa mumewe?
NB: Kwa walio katika Ndoa lakini sio Walio kwenye Mahusiano.
P.S: IMMORALITY Sio IMMORTALITY Kwenye Heading
By AmArtist