Feminism motivate immortality in marriage

Feminism motivate immortality in marriage

Kwa mtizamo huo Samia anapaswa amtii mume wake kwa KILA jambo? Ina maana Rais wa nchi hii ni mume wake Samia na Samia ni kipaza sauti tu? Ni kuwa Samia hawezi kutoka bila kibali cha mume wake? Hauoni itakuwa shida maana unachosema ni kuwa mwanamke aliyeolewa hastahili kushika nafasi ya uongozi kwa sababu atakuwa anawajibika zaidi kwa mume wake kuliko nchi yake?

Mimi hilo la kumtii Kristo hata silielewi. Ina maana mpaka sasa hivi anatoa maelekezo kwa kila kanisa? Hauoni kuwa tukifanya hivyo ndio tunawapa mwanya matapeli wanaojiita manabii kutulaghai kuwa wanawasiliana na Kristo moja kwa moja?

Amandla...
Its ok..do what you want. Kila mtu na choice zake mwsho wa siku mimi ni imani yangu na tamaduni zinazonibana kufanya haya niliyoandika. Peace and love...
 
Kwa mtizamo huo Samia anapaswa amtii mume wake kwa KILA jambo? Ina maana Rais wa nchi hii ni mume wake Samia na Samia ni kipaza sauti tu? Ni kuwa Samia hawezi kutoka bila kibali cha mume wake? Hauoni itakuwa shida maana unachosema ni kuwa mwanamke aliyeolewa hastahili kushika nafasi ya uongozi kwa sababu atakuwa anawajibika zaidi kwa mume wake kuliko nchi yake?

Mimi hilo la kumtii Kristo hata silielewi. Ina maana mpaka sasa hivi anatoa maelekezo kwa kila kanisa? Hauoni kuwa tukifanya hivyo ndio tunawapa mwanya matapeli wanaojiita manabii kutulaghai kuwa wanawasiliana na Kristo moja kwa moja?

Amandla...
Niliwahi kusikiliza hotuba moja ya Samia, Ila sikumbuki ni wapi alisema "Japo yeye n raisi, ni mama, pia ni mke wa mtu na bado anamtii mume wako Kama kawaida" japo kuwa ana cheo kikubwa kuliko mume wake. Heshima iwe pale pale
 
Wala hajafanya lolote. Ameahirisha tu matatizo na inawezekana ikawa amejiongezea. Ni wazi kuwa PSG ilikuwa inamlipa yeye mshahara na sio mama yake ( labda mama yake pia ni mchezaji). Kwa kufanya alivyofanya kunaweza kumsabibishia kesi nyingine ya kutaka kukwepa kulipa kodi. Na vile vile ni kosa la jinai kuficha mapato yako ili mwenzako asiweze kuyafikia. Mahakama itauliza kuhusu mapato yake na ameyafanyia nini. Hili linaweza kumlipukia usoni.
Na tukumbuke kuwa anatakiwa kulipa alimony kwa mke wake ili aweze kuendelea na quality maisha aliyomzoesha. Na hiyo alimony itapangwa kulingana na mshahara anaolipwa na sio kiasi kilicho benki.

Amandla...
Kumbe?? Apo tuwaachie wanasheria ndo mnajua ayo mambo
 
Huyo mtangazaji ( Bhokhe) ana mume? Si ndio huyo huyo alit*mbwa kwenye swimming pool wakati ule ameenda kushiriki big brother?

Kauli inakuwa na uzito kulingana na mtoa kauli.

BTW sio kila mwanamke ni wa kuolewa, wengine ni wa kupitiwa tu na kuachwa hapo hapo
 
Wanawake nao wawe wanaoa ili 50 kwa 50 itimie. Hivi! Ubavu uliotumika kumuumba mwanamke ni sawa na mwili wa mwanaume? Mungu alianza kumuumba Adam, ni kwa nini asiwaumbe wote kwa pamoja?
 
Huwa namdharau na kumtoa thamani mwanaume au mwanamke yoyote ambaye anasapoti au kuitambua movement ya feminism kama movement muhimu ya kijamii. Sababu ndani ya feminism agendas ndipo kulipo sababu za kufeli kwa jamii ya sasa na kuibuka kwa mambo ya hovyo.

Ni sawa na mtu kupinga ufisadi na wizi serikalini halafu kuunga mkono upigaji wa madili na yeye akishiriki.
 
It's true mkuu
 
Niliwahi kusikiliza hotuba moja ya Samia, Ila sikumbuki ni wapi alisema "Japo yeye n raisi, ni mama, pia ni mke wa mtu na bado anamtii mume wako Kama kawaida" japo kuwa ana cheo kikubwa kuliko mume wake. Heshima iwe pale pale
Na iko nyingine ambapo kuna Mheshimiwa alisemwa kuwa anamsikiliza mno mke wake. Sidhani kama Samia ( kama ilivyo kwa wanawake wengi wa kitanzania) anaweza kusimama hadharani na kutamka wazi kuwa yeye ni Boss wa mume wake kitaifa ingawa huo ndio ukweli wenyewe. Rais wa Tanzania ni yeye na hakuna mtanzania yeyote anayeweza kumuamrisha afanye kitu asichotaka hata kama ni mume au hata baba yake. Kama watakuwa pamoja hadharani kwenye dhifa mke ndie atakayepewa kiti cha heshima na sio mume wake. Ndivyo ilivyo.

Amandla...
 
Tatizo ni nyie wanaume, baba yenu nilikuwa namplekea hadi viatu shoe shine, mwisho wa siku nikakuta tayari ana mke na mtoto mtaa wa pili.

Hamuheshimiki yaani
 
Back
Top Bottom