Feminism motivate immortality in marriage

Feminism motivate immortality in marriage

Wapuuzi ni wengi, maana ya ndoa anaijua huyo mtangazaji? anadhani kuolewa ni boma la
Mbuzi unaweza kujitokea kwenye nyumba na kurudi utakavyo?
 
Hakuna watu wanaweza fanya kazi pamoja bila kuwa na mawasliano yaani taarifa, makubaliano na mrejesho.
Hakuna wanandoa wanaweza ku survive kwenye ndoa kama hawana hayo mawasliano.
Ikiwa uwezo wa mtu kiuchumi ndio unasababisha aage au asiage ni basi haina maana ya kuishi pamoja

AMOS 3:3
"Je! Watu wawili waweza kutembea pamoja, wasipokuwa wamepatana?"
Hongera...you are in real situation
 
Poleni jamani.
Mambo hayatarudi nyuma either mzoee au mjinyonge.
Hakuna kujinyonga. Ni kendeleza utamaduni wa Babu zetu tu. Na now tutaweka Mama zetu wamiliki Mali zetu tuone Kama mtavunja ndoa Sasa[emoji28][emoji28]. Mmezoea kufanya ndoa Kama sehemu ya kupata mtaji
 
Tatizo ni nyie wanaume, baba yenu nilikuwa namplekea hadi viatu shoe shine, mwisho wa siku nikakuta tayari ana mke na mtoto mtaa wa pili.

Hamuheshimiki yaani
[emoji28][emoji28]. Duuh yaani wanawake wa Sasa hiv wavivu Sana. Hadi Chakula ulikua unanunua ukute
 
Kwa upande wetu sisi Waislamu tunaona kwamba matatizo mengi yanayokabili familia nyingi utaona kuwa matatizo yanatokana na sababu ya mke kumuasi mume wake, kutokuwa na utii kwa mumewe na kumkhalifu kwa lile lenye kuchukiza, haya yote yanatokana na sababu ya ujinga wa mwanamke huyo na kutokujua haki za mumewe juu yake au inawezekana kutokana na kiburi alichonacho, wasiwasi wa Shaytwaan na kushawishiwa vibaya ili awafarikishe baina ya mume na mkewe. Yapasa mwanamke kufahamu ya kuwa haki ya mumewe kwake na fadhila zake juu yake ni kubwa mno, kwa dalili ya Hadiyth ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam),
“Lau ingefaa kwa mwanaadamu kumsujudia mwanaadamu mwenzake basi ningeliamrisha kwa mwanamke kumsujudia mumewe kwa ukubwa wa haki yake kwake".
 
Noted
 
Hakuna kujinyonga. Ni kendeleza utamaduni wa Babu zetu tu. Na now tutaweka Mama zetu wamiliki Mali zetu tuone Kama mtavunja ndoa Sasa[emoji28][emoji28]. Mmezoea kufanya ndoa Kama sehemu ya kupata mtaji
Unaendeleza tamaduni mwenzako hataki na huwezi kumlazimisha.

Ni muda sasa umefika mkaoe wanawake wa vijijini wasio fahamu nini maana ya 50/50. viherehere vyenu kuoa wanawake wasomi wa mjini halafu mnalalamika🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kazi mnayo.
 
Unaendeleza tamaduni mwenzako hataki na huwezi kumlazimisha.

Ni muda sasa umefika mkaoe wanawake wa vijijini wasio fahamu nini maana ya 50/50. viherehere vyenu kuoa wanawake wasomi wa mjini halafu mnalalamika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi mnayo.
Na Tutawaoa hao Sasa Tuone Nani atawaoa Sasa. Yaan nilipe mahar alafu unataka 50/50 aisee hii kalii
 
Na Tutawaoa hao Sasa Tuone Nani atawaoa Sasa. Yaan nilipe mahar alafu unataka 50/50 aisee hii kalii
Tatizo hamna ubavu wa kuoa wa kijijini. mtaoa wa mjini na mtapelekeshwa hadi kieleweke🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
The future is female 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Tatizo hamna ubavu wa kuoa wa kijijini. mtaoa wa mjini na mtapelekeshwa hadi kieleweke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
The future is female [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Cku izi wanaoolewa wengi ni wakijijini, wa mjini kazi kutengeneza kucha na kutumia muda mwingi kujiremba. Tunaoa wa kijijini tu[emoji135][emoji135][emoji135]
 
Cku izi wanaoolewa wengi ni wakijijini, wa mjini kazi kutengeneza kucha na kutumia muda mwingi kujiremba. Tunaoa wa kijijini tu[emoji135][emoji135][emoji135]
Kama mnaoa wa kijijini lakini bado mnalalamika. I basi nyie ndo mna matatizo
 
Nyoka hawezi kuji bite mkia, mbwa pia hawezi kujirarua ubavu, ikitokea basi tutasema kuna dosari kwa kiumbe.

a) Kuna dosari kwa mwanamme anayedharauliwa, heshima is 'earned' mtu hana quality na value za "mwanamme" anaheshimiwaje kwa mfano.
b)Mwanamke amdharau mwanamme mwenye value na quality za kiume, basi huyu mwanamke ana shida ya malfunctioning.

Jamii zetu zinaharibiwa na mambo mengi sana ila bahati mbaya tunayatupia kwenye kapu moja na kutaka kuyasuluhisha kwa njia moja,haiwezekani.
 
Back
Top Bottom