Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Hiyo kitu imea aim kubomoa msingi wa familia wa mtu mweusi ili iwe rais kutawalika.
Its similar thing walichofanya na black america kule Us, kubomoa msingi wa familia, familia ikishabomoka, prisons zitapata wateja. Itachukua time tena mtu mweusi kurudi kwenye hali yake
Kabisa bro unanielewa vema kabisa. As we speak mwanamke mweusi wa kimarekani hakuna mtu anataka kuishi nae kama mke. Ni wanawake reject Duniani hakuna mtu anaweza settle nao.

Wanachoweza ni kuigiza na fake romance wakiwa wanataka kutumia pesa za mwanaume nje ya hapo hawana cha kuoffer zaidi ya maviburi.

Walinza kuja Tanzania miaka ya 2019 kipindi cha Corona plandemic (sio pandemic) wakiwa na malengo ya kujenga life upya afrika. Aisee unaambiwa marioo walikuwa wanakunguta sana hawa wanawake sababu ya kukosa adabu anamjibu mwanaume kama mwanamke mwenzake kwa dharau kisa anatoa pesa.

Wakaenda Ghana, Cameroon, Nigeria kote wakakuta mziki ni ule ule wanachezea mkong'oto wakileta jeuri za kimarekani na akili za kifeminist. Walidhani hapa ni Los Angeles kwamba unamtukana mwanaume akikumind unamuitia police unasema domestic violence,huku ukienda polisi unaulizwa shida nini hadi amekupiga, askari walikuwa wanawakataa na mashtaka yao wengi sababu wanaleta akili za kimarekani.

Marekani kwasasa jamii ya mtu mweusi inateketea kwanza kwa wanawake kushindwa kujenga familia,wanaume kukimbia child support so wanakwepa mahusiano ya kuzaa,tabia za wanawake wa marekani weusi kuwa na viburi, Ushoga unaotokana na malezi ya single mothers umekithiri sana so hakuna wanaume strong, magonjwa (Atlanta pale ni capital ya STDs kuna magonjwa ya zinaa mengine hata hayajulikani huku kwetu sababu ya watu kufanya sodomy, kunyonyana K na kulambana njia za haja kubwa)ya zinaa etc.

MUNGU asaidie tusifike huko.
 
Kinacho nishangaza hizo haki wanazo dai ni kwenye haki za kupokea tu lakini haki za kuwajibika hizo huwezi kusikia wakuzidai.
Mfano utasikia wanadai haki za kufanya kazi na kupokea mishahara kama wanaume lakini huwezi kusikia wanadai haki ya kubeba majukumu ya kifamilia kama mwanaume.
My point mzee. Kimsingi ni ideology ya kitapeli ambayo imetengenezwa kuwapumbaza wanawake na kuwatoa kwenye reli. Wanaume wengi wanaishabikia but hawajui ni utapeli. Wanawake wenye hiki kirusi vya Feminism (Fevidi) wanajua kuhusu huu ujumu na ndio maana wanachukia sana wakikuta mtu kama mimi au wewe tuna waexpose sababu tunawaamsha na kuwaelimisha wanaume wenzetu wastukie gemu walikatae.
 
Wee ndo tayari ushakua mwehu, unahangaika na mambo yaliyo nje ya uwezo wako.
Poleee 😂😂😂😂😂😂😂
Nje ya uwezo kivipi tena. Wewe unajua kataa ndoa imeanzaje? Sasa subirini endeleeni kuona hatujui tunachofanya,mtaomba maji huko mbeleni hadi mtaita Vatican waingilie.

Sisi tuliwasikia mama zetu kuwa wanawake walinyanyasika miaka ya nyuma,oooh mfume dume this mfumo dume that. Tukaamua kuwa bora zaidi ya mababu na baba zetu.

Tukataka kuwawezesha wanawake zetu ili tujenge jamii bora,nyie watoto wa kike wa miaka ya 1990's mlivyo mafala mkaanza kuleta umakalio na itikadi za kimagharibi kwa wanaume ambao tumejitoa kwenu kubabake zenu.

Sasa kama alivyo sema Rambo,"whomever draws the first blood must pay".

1. Tumeanza na kukataa ndoa na wanawake ambao sio bikra.

2. Hatutoi pesa kwenye request za kipumbavu sijui kioo cha simu,gesi imeisha sijui nywele, hiyo mkachukue mlipofunzwa viburi, sisi tutachangia ukiumwa mahututi, tutakulipia chakula ili usife kwa njaa uendelee kuteseka ukituonyesha usupawoman.

3. Hatufanyi mahusiano na wadangaji au malaya kuwatuliza wawe wake hiyo ni hapana utatulizwa na baba yako.

4. Hela zetu tutapeleka kwa mama zetu,wake zetu wa ndoa na yatima,mambo ya chukua milioni hii ni ya kwako weka mfukoni mtayaona kwenye movie za akina Ray tu huko.

5. Ukipigwa na mwanaume m'malizane ukiomba msaada wa mwanaume mwingine au mimi nikiingilia lazima unipe mchezo huwezi na mimi nakupiga kama ulivyopigwa.

Kwa kifupi mtakoma.
 
Kinacho nishangaza hizo haki wanazo dai ni kwenye haki za kupokea tu lakini haki za kuwajibika hizo huwezi kusikia wakuzidai.
Mfano utasikia wanadai haki za kufanya kazi na kupokea mishahara kama wanaume lakini huwezi kusikia wanadai haki ya kubeba majukumu ya kifamilia kama mwanaume.
Hapo wanasema “imeandikwa, ni jukumu la mwanaume kuhudumia”
 
Unapozungunzia masuala ya feminism, na drama zingine zihusuzo, acha kuingiza ushoga au mashoga, hawahusiki na hilo kabisaa.
Ndio maana nikasema kwenye moja ya reply zangu hapa kuwa shida kubwa ni elimu.

Wewe unajua ushoga chanzo chake?

Au unataka nishuke magazeti hapa? Una hata idea kwann ushoga una exist?

Feminism ilianza lini na LGBTQ agenda ilinza lini?🤔

Unafahamu nini kuhusu gender dysphoria?

Upo tayari tujadili impact za single mother households nikikupa na study cases zake?

Unajua kwamba feminism ni stage ya ngapi katika ile new world order agenda?

Usinichokoze hapa ntakudhalilisha.
Kwani lazima kuoa au kuolewa? Au lazima unachotaka wee ndo na wengine wafanye? Em stick na life lako bhana, kutwaa kujaza server na hizo essay zako, na bado hao unao wapigania hawakuelewi.
Nitakuuliza swali hilo hilo kwani ni lazima kuishi mwenyewe kwenye jamii ambayo kila mtu anatakiwa kuwa kwenye ndoa na familia yake? Kama haujui maana ya jambo usifosi mjadala na hakuna unachofahamu.

I am sticking to my life that's why am not faking with feminism because it is my business, ukivuruga jamii yangu na mimi nakugeuza topic, so back to you,wewe ni advocate wa feminism maana umekuja very personal na hoja zako za lawama. Anyways, bring it on am ready for you.

Usiseme "unaowapigania hawakuelewi" sema " i have no idea nini kinaendelea. Haufahamu tu kinachoendelea kwa sasa. Its global thing. Na siwezi kukuelimisha au kukuelekeza wakati umeshapick your team kwamba wewe ni team LGBTQ nd the rest so i don't think we have anything in common to share here
Wee si utafute mwanamke unayeona anakufaa ishi nae, hawa wengine waache wajipambanie wenyewe, wee vipi?
Zungumzia masuala uyatakayo, ila usihusishee ushoga kabisaa, khaaaaah.
Niane ,so u think i am here for attention and find a lover, seriously?🤔

Who are you to choose who i fight with? I can fight you,your boyfriend, your brother,the president, Osama bin laden, damn i can fight whomever i feel like should be my target.

Ushoga is one of my topic please sit back and relax while i bore you with more incoming topics about ushoga.
 
Pesa imehubiriwa kama bidhaa inayomkamilisha jisia ya kike dhidi ya kiume!!

Pesa inahubiriwa kwamba ndio mbadala wa wanaume kwenye jamii!na mwanamke asie na pesa ni mdhaifu lazima aongozwe na mwanamme na mwanamke Alie na pesa lazima ajiongoze ikiwezekana amuoe na kumuongoza mwanamme!!

Elimu ya pesa kwa wanawake itolewe kwamba pesa sio substitute ya uanaume!!

Sisi ambao tulianza maisha na WA awake wasio na KAZI au pesa baadae wakazipata tukiwa nao tuna meeengi ya kusimulia!

Kwamfano"!NAJUA NI AKAUNTI YANGU NDIO INAKUCHANGANYA COZ ULIZOEA KUISHIKA AKAUNTI YANGU!!!

Mwanamke anakutamkia hayo mbele ya watoto na jamii!unaweza kupata nguvu ya kumtomba na kumuongoza mwanamke wa hivyo!!!?

Pesa pesa pesa sio feminine no elimu mbovu kuhusu pesa!!na wengi wao hawajui pesa ni matokeo tu zinaweza zikajaa pia zinaweza kupeperushwa na upepo pia!!
 
Kwa hiyo kumbe wanawake wa siku hizi wana akili ndo maana wamekuwa wazinzi, masingo mother na wamekuwa na viburi ,hizo ndo akili unazo ziongelea?

Kama una watoto wa kiume subiri wakue wakutane na mijambazi iliyo lishwa mawazo ya kifenist iwapige matukio ndo utaelewa ubaya wa hawa wapuuzi.
😂😂😂😂Hivi umeona mawazo yake sasa,huwa anapenda kujipiga risasi za mguu mwenyewe halafu ukimuuliza kwann kajilenga mwenyewe anakulazimisha kuwa risasi amekulenga wewe na imekupata wakati yeye ndie anavuja damu kwenye jeraha alilojilipua mwenyewe 😂😂😂
 
Pesa imehubiriwa kama bidhaa inayomkamilisha jisia ya kike dhidi ya kiume!!

Pesa inahubiriwa kwamba ndio mbadala wa wanaume kwenye jamii!na mwanamke asie na pesa ni mdhaifu lazima aongozwe na mwanamme na mwanamke Alie na pesa lazima ajiongoze ikiwezekana amuoe na kumuongoza mwanamme!!

Elimu ya pesa kwa wanawake itolewe kwamba pesa sio substitute ya uanaume!!

Sisi ambao tulianza maisha na WA awake wasio na KAZI au pesa baadae wakazipata tukiwa nao tuna meeengi ya kusimulia!

Kwamfano"!NAJUA NI AKAUNTI YANGU NDIO INAKUCHANGANYA COZ ULIZOEA KUISHIKA AKAUNTI YANGU!!!

Mwanamke anakutamkia hayo mbele ya watoto na jamii!unaweza kupata nguvu ya kumtomba na kumuongoza mwanamke wa hivyo!!!?

Pesa pesa pesa sio feminine no elimu mbovu kuhusu pesa!!na wengi wao hawajui pesa ni matokeo tu zinaweza zikajaa pia zinaweza kupeperushwa na upepo pia!!
Mama zetu walishika hela miaka ya nyuma na kuhudumia familia pale baba alipokwama. Si kwamba baba zetu hawakuwa wakifeli kiuchumi ila ni kwasababu mama zetu walisimama na wanaume zao wakiwajibika kama mama wa familia sio supawoman.

Hawa wasasa wanatafuta social validation ya kuwa wao ni bora kuliko wanaume. Ndio maana kila wanachofanya kinachukua sura ya mashindano na wanaume.

Hata maeneo ya kazi akija wanawake kwenye team wanaanza kutengeneza migawanyiko bila sababu yoyote wanataka attention iwaelekee. Yaani unakuta mtu anakomaa kuonekana mshindi badala ya kusimamia nafasi yake mambo yaende.

Hivi wangefanya bidii za mama zetu hawa si wangetaka walipwe mafao na wizara kwa kuwa mama bora wa familia.

Feminism imewa brainwash kuamini kuwa wapo kwenye mashindano na wanaume badala ya kuwajibika na majukumu ya akina mama kwenye jamii.
 
Je, mwaka 1947 jamii ya mtanzania ilikuwa hovyo ukilinganisha na ya sasa ya 2024, hivi unaweza ukasimama kabisa mbele ya umati wa watu useme kuwa jamii ya mtanzania ya sasa ime improve eneo la ustawi wa jamii?

1. Ushoga na wasagaji
2. Masingle mothers
3. Marioo na wadangaji
4. Watoto wenye baba watatu kwa wakati m'moja
5. Kutawanyika kwa familia ya baba mama na watoto.
6. Watoto wasiojua ibada ya msikiti wala kanisa
7. Wanawake wasiojua majukumu yao hadi wakiolewa wanakuwa viwete wa majukumu bila msaada wa House girl.

Hivi wewe unajua hata unachokisema wewe?

Unajua utakuja kuugua wehu wewe mtoto wa mzee fulani wewe.
Ulifanya utafiti au unakurupuka kiandika tu
 
Ulifanya utafiti au unakurupuka kiandika tu
Ulichosoma kama haujakielewa it means haupo kwenye ardhi ya dunia hii pengine mwenzetu ni alien wa kutoka Uranus.

Ila kama umesoma umeelewa hili swali lako limekaa kimtego sana as if unataka kunipima nitasemaje ukinitingisha.

Anyways,jielimishe kama haujaelewa nilichoandika.
 
Ukiwa na kazi ya kufanya huwezi kuandika upuuzi humu mtandaoni
Mzee nimekuomba hela,au kuna bills zangu unanilipia halafu sijajua kama hela unatoa wewe mzee?😂😂😂 Kuwa na heshima basi japo hata kwa wanaume wenzako tukiacha matajiri na mabosi zako.
 
Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a woman” na pia utaweza kukutana na maana ikisema “describes qualities, appearances, or behaviours typically associated with women or girls”. Katika hizi maana mbili utaona kwamba neno feminine (adjective) ambalo linatokana na jina (noun) Female limelenga kumtambulisha mwanamke kwa sifa zake za kike kinyume na shughuli za mafeminists wengi wa hovyo kama Jadda et al ambao humtambulisha mwanamke kwa sifa za kiume.

Ukiingia mtandaoni ukatazama maana ya neno “feminist’ na “Feminism” utakutana na maneno kama haya: “a feminist is someone who supports equal rights for women” au “a feminist is a socio-political movement advocating for the equality of the sexes, believing modern societies are patriarchal and unjustly treat women.

Kwa mtu mwenye utimamu wa akili akitazama tu hizi maana yaani maana ya neno jina na neno kitendo haviendani hata kidogo. Yaani kwa asili neno female lina maana ya “wa kike” au “ya kike” lakini iweje tena movement yake yaani feminism iseme ni harakati za kumfanya mwanamke alingane na mwanaume na kuacha asili yake kudai haki za kiume, sawa na mwanaume bila kutumikia au kuwa na wajibu sawa na mwanaume? Make this make sense ndugu zanguni. Ni kichaa tu ambaye ataona hili jambo limekaa sawa sawa na hallina dosari yoyote ya kimantiki.

Hivi kama wanajamii tumeshawahi kujiuliza maswali magumu kama ni haki zipi ni za mwanamke? Au tuhoji hivi, mwanaume ana haki zipi za kimsingi na mwanamke ana haki zipi za kimsingi?

Je, kama mwanaume anapendelewa kihaki je, anapendelewa katika maudhui yapi ambayo mwanamke anaminywa?
Hivi tumeshawasikiliza kwa umakini wanawake wanacholalamika na matakwa yao (sio mahitaji) then kuwatazama wanachokifanya katika uhalisia wakishapewa fursa wanazotaka?

Mimi siungani na hii movement na nina ipinga kama movent haramu kwenye jamii na yeyote anayeisapoti pia anakuwa ni haramu katika hii jamii kushinda hata dawa za kulevya maana dawa za kulevya hazijaleta madhara mabaya kushinda feminism ndani ya muda mfupi.
Unawezaje kuwa na harakati batili inayojinasibu kuwa ipo kulenga kumtetea na kumkomboa mwanamke ila kiuhalisia ime target kushape akili za wanawake kuwa negative katika jamii yao na kuwageuza kuwa kansa ya kuiharibu jamii hiyo hiyo huku kikiacha u’hovyo wa kila aina.
Hebu mtu aniambie faida za feminism na matokeo yake tokea imekuwa introduced miaka ya 1990s?

Ni muda sasa kutambua feminism kama harakati haramu kwa jamii na tuanze kuikemea kwa nguvu zote.

Nimeona pale chou kikuu UDSM wame introduce masomo ya femism ili kuwajaza ujinga mabinti na vijana wetu ambao wanakwenda kupewa elimu ya kuikomboa jamii yao na sio kuigawa katika makundi ya jinsia.

Kama tutaendelea kukaa kimya then tutarajie maasi zaidi kama yanayotokea huko mataifa ya magharibi kama USA, CANADA na United Kingdom ambayo kwasasa yanapitia mvurugiko mkubwa sana wakijamii kwasababu ya uzembe wa kuendekeza ideology za kipumbavu kama feminism katika jamii zao na matokeo yake zimeparanganyua kabisa ustawi na jamii sasa haieleweki ina uelekeo upi.
Moja wapo ya sababu ktk hizo asilimia 116.
Screenshot_20250502_165357_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom