cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Nimesha staafu kuandika magazeti, kuhusu ushoga huna cha kunambia wala kunielekeza, naujua kuliko wewee. Hayo ya feminism na new world order agendas hayo utajuana na wahusika wake.Ndio maana nikasema kwenye moja ya reply zangu hapa kuwa shida kubwa ni elimu.
Wewe unajua ushoga chanzo chake?
Au unataka nishuke magazeti hapa? Una hata idea kwann ushoga una exist?
Feminism ilianza lini na LGBTQ agenda ilinza lini?🤔
Unafahamu nini kuhusu gender dysphoria?
Upo tayari tujadili impact za single mother households nikikupa na study cases zake?
Unajua kwamba feminism ni stage ya ngapi katika ile new world order agenda?
Usinichokoze hapa ntakudhalilisha.
Nitakuuliza swali hilo hilo kwani ni lazima kuishi mwenyewe kwenye jamii ambayo kila mtu anatakiwa kuwa kwenye ndoa na familia yake? Kama haujui maana ya jambo usifosi mjadala na hakuna unachofahamu.
I am sticking to my life that's why am not faking with feminism because it is my business, ukivuruga jamii yangu na mimi nakugeuza topic, so back to you,wewe ni advocate wa feminism maana umekuja very personal na hoja zako za lawama. Anyways, bring it on am ready for you.
Usiseme "unaowapigania hawakuelewi" sema " i have no idea nini kinaendelea. Haufahamu tu kinachoendelea kwa sasa. Its global thing. Na siwezi kukuelimisha au kukuelekeza wakati umeshapick your team kwamba wewe ni team LGBTQ nd the rest so i don't think we have anything in common to share here
Niane ,so u think i am here for attention and find a lover, seriously?🤔
Who are you to choose who i fight with? I can fight you,your boyfriend, your brother,the president, Osama bin laden, damn i can fight whomever i feel like should be my target.
Ushoga is one of my topic please sit back and relax while i bore you with more incoming topics about ushoga.
Hiyo para ya 2 nimecheka had mbavu zinauma, hiyo ya 3 makasiriko yako baki nayo mwenyewe hainihusu,
Nweii, umesema utanidhalilisha, nakupa ruksa sasa em nidhalilishe nione.
😂😂😂😂😂😂