Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Umeshindwa tayari. Pole ya nini na umeshindwa kuendelea na hoja. We ulikuja hapa kutetea ushoga nimekuuliza maswali umekimbilia kusema pole,for what?
Ukitaka mie nawee tubishane kuhusu ushoga, anzisha mada husika, afu nitag.

Mbna utafurahi mwenyewee, hii ni kwa feminism bas uta deal na wanao husika. Ila nilikuambia unapozungumzia jambo, usichanganye. Stick na jambo husika.

Nimemalizaaaa
 
hicho ni moja ya kitu kibaya sana ambacho kinavunja u wanamme kinaharibu vizazi vijavyo, hasa watoto wa kiume

kinaenda kinyume na nature, mwanaume alivyoumba ana nguvu, anaujasiri anauongozi ndani yake hata mwenye maandiko mwanamke aliumbwa kua msaidizi wa mwanaume

nature haijataka mwanamke na mwanaume wafanane au wawe sawa 50 kwa 50 angalia viumbe vyote, ndege, wanyama,. samaki n.k

fananisha Jogoo na mtetea, n'gomne dume na jike, mbuzi na beberu, kuku na Jogoo n.k

wanawake wanaumuhimu sana wakisimama kwenye sehemu yao sio kutaka kua kama wanaume

feminism kwenda ni kinyume na nature kinyume na uumbaji ndo maana hata ni ngumu kuipigania

mafeminist ni watu wa hatari sana, feminists wanaihatarisha kabisa human spicie wanaifanya specie ya binadamu iende kinyume na nature
 
Hapa Sasa umejibu Kama mtu anaefahamu anachokisema kwa hivi tutaelewana,..

Tangu mwanzo hukua unaelewa nazungumzia Nini, nimesema angalia historia ya feminism utaona na kitu kilichopo Sasa ni vitu viwili TOFAUTI,mfano Nina kitabu Cha A Vindication of the Rights of Woman (1792) Cha Mary Wollstonecraft
Hicho ndio kitabu Cha kwanza Cha feminism,Wala akizungumzii wanawake kua Kama wanaume,kinazungumzia haki za msingi ambazo wanawake hawapewi.. mfano Equal education,rationality over beauty,mchango wa mwanamke katika jamii, akieleza ukisomesha mwanamke anakua Mama bora,mke Bora,usawa katika ndoa (it was worse back then)..huko ndio ilipoanzia haikua imported ideology ilikua namna ya kupambana na changamoto zao,kutoa sauti...
Haya matakwa ya modern feminists ni jambo tofauti zaidi ya ku empower mwanamke ni kuleta utengano katika jamii,na hao wa magharibi ndio wafadhili wa shughuli hizo..

Beijing walienda kujadili Nini??walienda kuongea Mambo ya kawaida Sana haswa kuwawezesha wanawake katika nyanja za siasa, uchumi and nk..haikua itikadi Kali Kama Sasa
Kila jambo huwa lina mwanzo. Kihistoria mataifa makubwa yakitaka kuleta habari zao huanza kirafiki then wanawasha moto baadae.

The same was for colonialism through religion, missionaries, explorers, business etc.

Feminism is no different. Imeanza kama movement rafiki only kugain acceptance and momentum then ilete the intended consequences and outcome.

Ndicho hicho ambacho mimi kipo nyuma ya fikra zangu.

Wewe kama shuhuda umesema hapo kuwa Feminism back then ilikuwa na malengo mazuri ya sasa tofauti ina fujo na harakati sizo. Okay nikuulize sasa ,nini kimetokea hadi mambo yamebadilika?

Usiseme conspiracy wakati vitu hata wewe unaviona,the fact kwamba haupo updated na latest leaks na data ambazo zimekuwa kifichoni haimaanishi kuwa hakuna kinachoendelea.
 
Mie tenaa? Huwa situmwii, ila naagizwa, kwenye hili sijaagizwa sasa,
Okay,am gona have to bid you a good night,kama unatetea mashoga that's your mission and its fine by you go ahead and do it. But usizuie au kumind wanaokemea madhara yake.
 
Okay,am gona have to bid you a good night,kama unatetea mashoga that's your mission and its fine by you go ahead and do it. But usizuie au kumind wanaokemea madhara yake.
Sijakataa kukemea, ila kemea km inavyotakiwa, sio kuchanganya km wee ulivyofanya.
 
hicho ni moja ya kitu kibaya sana ambacho kinavunja u wanamme kinaharibu vizazi vijavyo, hasa watoto wa kiume

kinaenda kinyume na nature, mwanaume alivyoumba ana nguvu, anaujasiri anauongozi ndani yake hata mwenye maandiko mwanamke aliumbwa kua msaidizi wa mwanaume

nature haijataka mwanamke na mwanaume wafanane au wawe sawa 50 kwa 50 angalia viumbe vyote, ndege, wanyama,. samaki n.k

fananisha Jogoo na mtetea, n'gomne dume na jike, mbuzi na beberu, kuku na Jogoo n.k

wanawake wanaumuhimu sana wakisimama kwenye sehemu yao sio kutaka kua kama wanaume

feminism kwenda ni kinyume na nature kinyume na uumbaji ndo maana hata ni ngumu kuipigania

mafeminist ni watu wa hatari sana, feminists wanaihatarisha kabisa human spicie wanaifanya specie ya binadamu iende kinyume na nature
Wanyama wote wamesimama katika nafasi zao. Tazama tembo,simba,twiga,farasi, ng'ombe,kuku,bata,nyangumi, papa,viboko.

Hawa wanyama wote wanapozaa watoto wao huwaweka karibu na kutenga muda wao wote kuwalea na hawamuachii mnyama mwenzake kumlelea. Ila ni binadamu mwanamke tu ndie kiumbe pekee ambaye anazaa mtoto halafu anamtelekezea house girl alee halafu yeye anataka asifiwe kuwa mama bora kwasababu anatafuta pesa na kufanya kazi sana jambo ambalo hakulazimishwa na mtu kataka mwenyewe.
 
Sijakataa kukemea, ila kemea km inavyotakiwa, sio kuchanganya km wee ulivyofanya.
Hebu nipe muongozo wa kukemea kwa muktadha ambao ni sahihi,nikemee kwa namna gani mpendwa?🤔
 
Hebu nipe muongozo wa kukemea kwa muktadha ambao ni sahihi,nikemee kwa namna gani mpendwa?🤔
Anzisha mada ya kukemea ushoga au mashoga, na sio kuzungumzia feminism na bla bla afu uingizie ushoga, Lol.
 
Wanyama wote wamesimama katika nafasi zao. Tazama tembo,simba,twiga,farasi, ng'ombe,kuku,bata,nyangumi, papa,viboko.

Hawa wanyama wote wanapozaa watoto wao huwaweka karibu na kutenga muda wao wote kuwalea na hawamuachii mnyama mwenzake kumlelea. Ila ni binadamu mwanamke tu ndie kiumbe pekee ambaye anazaa mtoto halafu anamtelekezea house girl alee halafu yeye anataka asifiwe kuwa mama bora kwasababu anatafuta pesa na kufanya kazi sana jambo ambalo hakulazimishwa na mtu kataka mwenyewe.
mwanamke ni mtu wa muhimu sana kwenye ustawi wa familia, ila hii kampeni ya feminism ina lenga kuwadhoofisha wanawake kuwaondolea sifa za mwanamke na mama na kumuaminisha anaweza kuwa kama mwanaume

Hamna mwanaume anaweza kukaa na mwanamke anayejilinganisha na mwanaume

feminist wamepoteza sifa halisi ya mwanamke na mama na hiyo ndo thamani ya mwanamke

wanataka kuwa kama wanaume role ambayo pia hawawezi kui play kwasababu hawajaumbwa kwaajili hiyo

ndo hawa wanabaki na nadharia zao kichwani tu na ego
 
Kila jambo huwa lina mwanzo. Kihistoria mataifa makubwa yakitaka kuleta habari zao huanza kirafiki then wanawasha moto baadae.

The same was for colonialism through religion, missionaries, explorers, business etc.

Feminism is no different. Imeanza kama movement rafiki only kugain acceptance and momentum then ilete the intended consequences and outcome.

Ndicho hicho ambacho mimi kipo nyuma ya fikra zangu.

Wewe kama shuhuda umesema hapo kuwa Feminism back then ilikuwa na malengo mazuri ya sasa tofauti ina fujo na harakati sizo. Okay nikuulize sasa ,nini kimetokea hadi mambo yamebadilika?

Usiseme conspiracy wakati vitu hata wewe unaviona,the fact kwamba haupo updated na latest leaks na data ambazo zimekuwa kifichoni haimaanishi kuwa hakuna kinachoendelea.
Kuchange good ideology into a bad cause hiyo simple, binadamu ana uwezo mkubwa wa kufikiria..,kilichofanyika kwenye modern feminisn Ni ku exploit insecurities za Wanawake,kama dini tu sio Jambo baya Ila watu wanatumia Kama silaha, biashara,ku control,kutawala or kwa vyovyote vile wanaona inafaa..
Hadi elimu ya darasani inatumika hivyo..
. “For me and this is how I have experienced feminism, it's everyday women waking up in the morning and finding ways to survive. Jennifer Nansubuga Makumbi,. kitabu The First Woman
 
Unapozungunzia masuala ya feminism, na drama zingine zihusuzo, acha kuingiza ushoga au mashoga, hawahusiki na hilo kabisaa.
Kwani lazima kuoa au kuolewa? Au lazima unachotaka wee ndo na wengine wafanye? Em stick na life lako bhana, kutwaa kujaza server na hizo essay zako, na bado hao unao wapigania hawakuelewi.

Wee si utafute mwanamke unayeona anakufaa ishi nae, hawa wengine waache wajipambanie wenyewe, wee vipi?
Zungumzia masuala uyatakayo, ila usihusishee ushoga kabisaa, khaaaaah.
Tatizo tuna dada zetu na badae tutazaa watoto wa kike alafu waje kuwa waathirika wa hizi pumba za hawa watu wa hovyo.
 
Aliye kuoa amepata hasara kubwa mno. Na kama hujaolewa, hitaplara wa kukuona kisha mkadumu.

Pole sana.
Hayo wanakomaa nayo tu humu mitandaoni ila huku duniani wanaishi tofauti kabisa.

Feminist wengi hawaoleki na wanatumia hilo kama sababu ya kuikataa ndoa ila kiuhalisia hakuna mwanaume mwenye utimamu anaeoa mwanamke mwenye sifa hizo.
 
Madhara ya feminism kwa wanawake ni kitu cha kuuliza kweli na tunaongea kila siku hapa? Ngoja nikuwekee hapa shida ipo wapi.
Feminism na feminist wameleta changamoto zifuatazo kwenye jamii yetu.

1. Ideology ya feminism imeharibu akili ya mwanamke wa kisasa wa kitanzania kuamini anatakiwa ajipambanie yeye mwenyewe na si jamii yake,si watoto wake wala wanawake wenzao. Hii tayari imeshamfanya mwanamke anayefuata u feminist kuwa chizi fresh wa jamii. Tazama hawa wa marejesho na michezo ya upatu wa kila siku mtu anatoka au kausha damu utanielewa.

2. Feminist na feminism haiungi mkono swala la familia ya baba mama na watoto,ina wafundisha wanawake kuamini kuwa maisha yao binafsi ndio kipaumbele so akipata watoto ajenge familia ya single mother households ambaye technically ni kinyume na vitabu vya dini,lakini pia inakinzana na malengo ya ustawi wajamii wa ujenzi wa taifa bora.

3. Feminism haisemi chochote juu ya vitu negative wanavyofanya wanawake wa kisasa kwenye jamii more importantly feminist hawana ajenda za kuwajenga wanawake na kuwapa mtazamo chanya wa kijamii, badala yake ukimya wake ni sapoti ya tabia zote za hovyo mfano utoaji mimba,umalaya,udangaji, ulaghai wa mahusiano, kutelekeza watoto walelewe na house girl, wizi wa pesa za wanaume,usagaji,ulevi,ulaji mbaya unaosababisha wanawake kuwa muonekano wa viboko wa katavi na kuathiri hata afya zao za uzazi na kadhalika.

4. Feminism sio ideology ya kumkomboa mwanamke sababu ukitazama maudhui yake si ya kumkomboa bali kumpa mwanamke harakati ambazo hazina msaada kwenye jinsia yake na mbaya zaidi kumtoa katika ramani ya jamii. Tazama wanawake hawaki nyumbani wanawaachia house girls wakidai wankwenda kutafuta, huko kwenye kutafuta majority wanajenga mahusiano mapya badala ya kushimu ndoa zao na kufanya kazi kama walivyodai wanataka, wakipata mapato hawataki kujenga familia zao wanataka kujitenga na kujijenga binafsi. Sasa hapo mwanamke anakombolewa vipi zaidi anazidi kufutwa kwenye jamii na kuwa kiumbe kisicho na sehemu au role maalumu kwenye jamii.

5. Feminism sio idea ya jamii yetu ya kitanzania wala kiafrika ni zao la ma'zionists ambao ndio wale wale wapo nyuma ya movement za LGBTQ, nyumba ya gender reassignment programs na left wings woke agendas mambo ya kishetani yote kwao ni okay so siwezi kushangaa kwann wanafosi hili la feminism afrika ili wawatumie wanawake kama daraja kuzisambaratisha jamii za kiafrika.

6. Feminism kwa Tanzania kupitia ideology zake imetengeneza masingle mother wengi sana. Sasa sijui kwako kama usingle mother ni mafanikio kwa mwanamke.

7. Feminism imeteka akili mabinti wengi wa miaka ya 1980 na 1990 na kuwafanya wapoteze muda wao muhimu (prime years from 16 to 26) wakichase dreams na 💰 ili wawe maboss ladies na kujikuta wakiamka kutoka katika usingizi huu wakiwa na miaka 30 kwenda juu,hawajawa maboss lady,broke, no conducive cash flow, hawana anwani,hawana ndoa,hawana familia,hawana mume wala watoto, heshima hawana zaidi ya rekodi chafu ya kubadili vitanda (midfielders wa lodge) wanajua kuta nyingi za lodge kulika kuta za kanisa. Kwa kifupi feminism imewapoteza njia.

8. Feminism ni brainwashing scheme inayolenga kutengeneza cults za Wanawake wenye trauma mbali mbali za kimaisha kujikubali na kumshirikisha shetani kama MUNGU wao kwa maana culture ya feminism haiwaruhusu kutumia muongozo wa MUNGU huyu wa Abraham. Watazame mafeminist wengi utaona wana move kama kikundi cha talebanians.

9. Feminist wengi hawajui nini maana ya kuwa mwanamke na hii ni matokeo ya hii ideology kuwapumbaza na kuwatoa kwenye reli ya uanamke. By average feminist ukimwambia kulea mtoto anasema ni utumwa,ila atapiga kijijini simu aletewe mtoto wa mwanamke mwenzake aje mjini kumpikia,kumlelea mtoto, kumfanyia usafi wa nyumba nzima,kumtuma dukani mara 100 kwa siku yote kwa mshahara wa 30,000 ambao atamkata 10,000 kwa kosa la kuunguza nyama sababu alikuwa anambeleza mtoto wake mwenyewe na kupitiwa na usingizi ila yeye akaita uzembe. Huyu ndio mkombozi wa wanawake na anajua thamani ya mwanamke au ni feminism imetengeneza vichaa wa jamii wanaokandamiza zaidi uanamke.

10. Ukiwatazama wanawake mafeminist wengi hawana furaha na hata takwimu zimeshaonyesha hilo. Kinyume na matarajio, feminism iliwaahidi wanawake liberation kwenye maisha nje ya mfumo dume but haikuwaambia kuwa liberation huja na gharama na mizigo na majukumu zaidi. Kujitegemea sio rahisi kwa mtegemezi.

Wanawake wasasa wanahangaika kama mtu aliyelala chumba chenye joto kali huku akiutafuta usingizi kwa kujipepea na gazeti.

Akijipepea usingizi unakuja, usingizi ukikolea mkono unaacha kujipepea anastushwa na joto,and the cyle continues. Maisha ya mwanamke na mwanaume ni mwanamke kulala huku mwanaume akipepea asikatishe usingizi wake hadi kukuche.

Feminism ikawa danganya na ndio maana saa hii mnaomba hela sana kwasababu you are out here on your own wanaume wamestuka hawataki kutumika kama ATM mkiwa na shida mnakuja na vichanjio kudraw hela ambazo hamkuweka.

11. Feminism ideology imewacorrupt watoto wa kike kuamini kuwa wao ndio wenye maamuzi ya mwisho ya miili yao to the point kwamba wanafanya vitendo vyenye irreversible side effects in the name of "my body my choice". Kutoa mimba, kulala na wanaume wengi kunakosababisha mangojwa makali ya STDs,kuingiliwa kinyume na maumbile kiasi kwamba inavuruga utaratibu wa kujifungua kawaida na matokeo yake wanatumia operation delivery na kulimit kiwango cha watoto mwanamke anaweza kutengeneza na mwanaume.

Madhara ni mengi, unajitoa ufahamu tu hapa
Duuh, hili bandiko hizi ni dissertation 3 za masters pale UDSM.
 
Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a woman” na pia utaweza kukutana na maana ikisema “describes qualities, appearances, or behaviours typically associated with women or girls”. Katika hizi maana mbili utaona kwamba neno feminine (adjective) ambalo linatokana na jina (noun) Female limelenga kumtambulisha mwanamke kwa sifa zake za kike kinyume na shughuli za mafeminists wengi wa hovyo kama Jadda et al ambao humtambulisha mwanamke kwa sifa za kiume.

Ukiingia mtandaoni ukatazama maana ya neno “feminist’ na “Feminism” utakutana na maneno kama haya: “a feminist is someone who supports equal rights for women” au “a feminist is a socio-political movement advocating for the equality of the sexes, believing modern societies are patriarchal and unjustly treat women.

Kwa mtu mwenye utimamu wa akili akitazama tu hizi maana yaani maana ya neno jina na neno kitendo haviendani hata kidogo. Yaani kwa asili neno female lina maana ya “wa kike” au “ya kike” lakini iweje tena movement yake yaani feminism iseme ni harakati za kumfanya mwanamke alingane na mwanaume na kuacha asili yake kudai haki za kiume, sawa na mwanaume bila kutumikia au kuwa na wajibu sawa na mwanaume? Make this make sense ndugu zanguni. Ni kichaa tu ambaye ataona hili jambo limekaa sawa sawa na hallina dosari yoyote ya kimantiki.

Hivi kama wanajamii tumeshawahi kujiuliza maswali magumu kama ni haki zipi ni za mwanamke? Au tuhoji hivi, mwanaume ana haki zipi za kimsingi na mwanamke ana haki zipi za kimsingi?

Je, kama mwanaume anapendelewa kihaki je, anapendelewa katika maudhui yapi ambayo mwanamke anaminywa?
Hivi tumeshawasikiliza kwa umakini wanawake wanacholalamika na matakwa yao (sio mahitaji) then kuwatazama wanachokifanya katika uhalisia wakishapewa fursa wanazotaka?

Mimi siungani na hii movement na nina ipinga kama movent haramu kwenye jamii na yeyote anayeisapoti pia anakuwa ni haramu katika hii jamii kushinda hata dawa za kulevya maana dawa za kulevya hazijaleta madhara mabaya kushinda feminism ndani ya muda mfupi.
Unawezaje kuwa na harakati batili inayojinasibu kuwa ipo kulenga kumtetea na kumkomboa mwanamke ila kiuhalisia ime target kushape akili za wanawake kuwa negative katika jamii yao na kuwageuza kuwa kansa ya kuiharibu jamii hiyo hiyo huku kikiacha u’hovyo wa kila aina.
Hebu mtu aniambie faida za feminism na matokeo yake tokea imekuwa introduced miaka ya 1990s?

Ni muda sasa kutambua feminism kama harakati haramu kwa jamii na tuanze kuikemea kwa nguvu zote.

Nimeona pale chou kikuu UDSM wame introduce masomo ya femism ili kuwajaza ujinga mabinti na vijana wetu ambao wanakwenda kupewa elimu ya kuikomboa jamii yao na sio kuigawa katika makundi ya jinsia.

Kama tutaendelea kukaa kimya then tutarajie maasi zaidi kama yanayotokea huko mataifa ya magharibi kama USA, CANADA na United Kingdom ambayo kwasasa yanapitia mvurugiko mkubwa sana wakijamii kwasababu ya uzembe wa kuendekeza ideology za kipumbavu kama feminism katika jamii zao na matokeo yake zimeparanganyua kabisa ustawi na jamii sasa haieleweki ina uelekeo upi.
Ungependekeza nini kifanyike kurekebisha, kuzuia au kuondoa tatizo hili kwenye jamii?
 
Anzisha mada ya kukemea ushoga au mashoga, na sio kuzungumzia feminism na bla bla afu uingizie ushoga, Lol.
Kama nilivyosema kule kwamba ushoga na feminism vina mahusiano. Inabidi nianze na feminism kama chanzo then ushoga utafatia. Ushoga/usagaji na vinginevyo ni matokeo ya feminism.
 
mwanamke ni mtu wa muhimu sana kwenye ustawi wa familia, ila hii kampeni ya feminism ina lenga kuwadhoofisha wanawake kuwaondolea sifa za mwanamke na mama na kumuaminisha anaweza kuwa kama mwanaume

Hamna mwanaume anaweza kukaa na mwanamke anayejilinganisha na mwanaume

feminist wamepoteza sifa halisi ya mwanamke na mama na hiyo ndo thamani ya mwanamke

wanataka kuwa kama wanaume role ambayo pia hawawezi kui play kwasababu hawajaumbwa kwaajili hiyo

ndo hawa wanabaki na nadharia zao kichwani tu na ego
Ninashangaa sana hadi sasa kuna wasomi na watu na hekima zao bado hawajaona shida ipo wapi na wakisikia neno feminism wanajivua ufahamu na kulisapoti huku ndani ya akili zao wakiziona dosari kadha wa kadha za feminism ila wanazifumbia macho.

Mimi nakemea na kuponda wazi wazi kwamba feminism ni tatizo na haifai and i believe kila anae ona anaweza kufanya the same.
 
Kuchange good ideology into a bad cause hiyo simple, binadamu ana uwezo mkubwa wa kufikiria..,kilichofanyika kwenye modern feminisn Ni ku exploit insecurities za Wanawake,kama dini tu sio Jambo baya Ila watu wanatumia Kama silaha, biashara,ku control,kutawala or kwa vyovyote vile wanaona inafaa..
Hadi elimu ya darasani inatumika hivyo..
. “For me and this is how I have experienced feminism, it's everyday women waking up in the morning and finding ways to survive. Jennifer Nansubuga Makumbi,. kitabu The First Woman
Mzee don't be this heavy and lazy kuchakata maarifa,this is likely a cognitive dissonance case kwenye maisha yako.

Unaogopa kujifunza upya jambo uliloamini kuwa ni zuri na halina madhara.

Ndio nimeshakutaarifu sasa mzee. Wewe mwenyewe unakiri kuwa hiki kitu hakina uelekeo mzuri kwasasa tofauti na kilivyoanza halafu hapo hapo unapingana na mimi nikikwambia waliokianzisha ndio hao hao wanakiendeleza sasa mwanzoni walikitumia kama "good cause" kwenye jamii zetu hizi hata huko magharibi. Lakini sasa you should know that it was an ideological weapon of mass destruction from the start na programmers ndio wale wale na sasa wameanza kuonyesha dhamira yao kwann walikiweka.

Nikikuuliza hapa waasisi unanitajia akina fulani na fulani nikikuuliza nani anaekiendeleza sasa hautaweza nipa majibu. Sasa ndio nakuelekeza kuwa hata mimi nilikuwa kama wewe but nilifanya upembuzi wangu binafsi na kukutana na watu wakiyaongelea haya with evidence sio theories.

Why are we having a disagreement hapo mzee?
 
Back
Top Bottom