Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Harakati za feminism zilivyoanza Wala halikua Jambo baya labda hujasoma historia ilipoanzia,maana yake na kwanini ilianzishwa Kama political movement..

Ila Sasa now Kuna radical feminist ambao ndio wanaleta kizungumkuti katika jamii,na wanaume Kama wewe ambao hamjaelewa what is feminism.. wanawake wengi Leo wamechukukulia Jambo hili tofauti Sana,kwa kutokujua au bendera fata upepo..
 
Tatizo shule mkuu, mto mada na wenzie hawakupata haki ya elimu
 
Mkuu Mimi nawewe labda tumesoma darasa Moja,mfano nampenda Ken Walibora na kitabu chake Kidagaa kimemwozea..

Back in business, kabla ya harakati za feminism wanawake hawakua wanaruhusiwa kufanya kazi,baada ya wanaume kufa na Vita na wengi kua away for war wanawake wakashika nafasi za kazi zilizoachwa na wanaume,after war wanaume kurudi mwanamke mmoja akasema hapana na sisi tuna haki ya kufanya kazi,je Hilo Jambo baya??Au Uingereza baada ya feminist kuandamana Kuta haki ya kupiga kura kumchagua viongozi nalo Jambo baya?
(Representation of the People Act 1918)

Kuna baadhi wamefika mbali but Kuna madai Yana make sense..

Ambacho hajujua mtoa mada hili Jambo ni zaidi ya ideology ya feminism, Kuna dini, philosophy,tamaduni,itikadi, Mila,desturi and everything..
 
Harakati za feminism zilivyoanza Wala halikua Jambo baya labda hujasoma historia ilipoanzia,maana yake na kwanini ilianzishwa Kama political movement..

Ila Sasa now Kuna radical feminist ambao ndio wanaleta kizungumkuti katika jamii,na wanaume Kama wewe ambao hamjaelewa what is feminism.. wanawake wengi Leo wamechukukulia Jambo hili tofauti Sana,kwa kutokujua au bendera fata upepo..
My friend,as your name suggest "lost files" kuna mafile hatujawahi wekewa public.

Nilikuwa Twitter ndipo kuna jamaa nina wafollow wamenipa muangaza kuhusu feminism from the beginning.

Sasa mzee hii kitu ipo connected na Israel (Zionist).

Unajua kwann Hitler aliwachukia sana na aliwauwa?

Umeshasoma ule muongozo wao unaitwa unaitwa TALMUD?

Tafuta copy ile halafu utaelewa why feminism ilianzishwa. Ukitaka kujua why feminism ilianzishwa tazama hali ya kijamii ya mataifa kama Marekani sasa na huko ulaya maswala ya ushoga,usagaji, Forster homes,etc.

Mzee nilikuwa najua kama wewe hicho unachokisema but ajenda olikuwa nyuma ya hiyo kitu ni nyingine.

Again, umeshawahi jiuliza why Hitler alikuwa anawachukia sana Jews na alikuwa tayari kuwamaliza wote?🤔
 
Suala la Jews kuchukiwa na Hitler hakuna anaejua,nimesoma kitabu Cha Hitler MEIN KAMPF kaeleza mtazamo wake wa kisiasa,mengine theories tu,kashawaita orange JUICE..

Mengi uliyosema kwenye post ndio harakati zinazofanywa Sasa na watu ambao hawajui movement ilikua na lengo gani Kwanza,najua hujui Kama hao modern feminist Ila nipo tayari kukupa darasa huru,chagua tuanze Eden,. History, philosophy,itikadi au culture??nataka nikuoneshe the positive side..
 
Mzee huko Eden utatoka nje ya mambo yakidunia. Mimi sikupi story za kusadikika nakuambia the real deal.

Kipindi Hitler anachukua inchi alianza kufanyia utekelezaji maazimio yake ya kutokomeza jews kutokana na mambo waliyokuwa wakiyafanya na mipango waliyokuwa wanapanga dhidi ya race nyingine.

One of the things wameplan ni kutokomeza race zote ili wao wabakie pekee yao kwenye huu ulimwengu.

Yaani wataanza na race ya watu wachache (wazungu wale pure Aryan) then wataelekea race zingine.

Feminism ni njia tu ya kuelekea ushoga na usagaji. We haujilizi why imebadilisha muelekeo na kama haikuwa na malengo hayo umeona mafeminist wakipinga au kuprotest kuwa movement yao imekuwa compromised?

Mzee ingia hapo mtandaoni tafuta copy ya Talmud halafu soma vitu walivyoandika hapo utaelewa nini kinaendelea,achana na hizo mbaga za darasani ulizosoma kwenye History 2. Mzee acha kabisa.

The time Hitler anaingia kitu alifanya kuchoma madanguro ya majews jamaa walishaanza LGBTQ tokea kipindi hicho na waliazimia kuisambaza.

Alichoma mlima wa mavitabu ya program walizopanga kuzitekeleza na ndio maana na wao akaanza wachoma na kuwaua.

Leo miaka kadhaa baada ya Hitler kufa, wameanza utekelezaji wao upya wa kutokomeza races zingine kwenye program zao mbali mbali ikiwamo feminism, pornography, LGBTQ, Black lives matter, na maswala ys ujasusi wa kiuchumi.

Mambo ni mengi mzee niwie radhi kama naongea vitu vingi kwa wakati m'moja.
 
Sasa mbona wewe mwenye elimu ndio umekuwa pangu pakavu tia mchumzi na elimu yako, GTFOH 😒😒😒
History fupi kwa Tanzania,Unadhani ideology was imported?? kabla ya ukoloni Kuna makabila yalikua yanaongozwa na wanawake, Walikua wanamiliki Ardhi,Viongozi wa kimila,biashara na shughuli za uzalishaji,Mambo yalibadilika baada ya kuja Wajerumani na waingereza,wakapiga chini wanawake wote..

Nyerere alipochukua nchi baada ya Uhuru akarudisha wanawake katika nafasi za uongozi,wakati huo ndio ikazaliwa UWT Umoja Wa Wanawake Tanzania,unajua kitu gani muhimu UWT walipigana??

Elimu sawa kwa wote
Umri wa kuolewa
Sheria za mirathi kubadilika
Haki za wajane,
Yote hayo yaliwezekana enzi za mwalimu

Hapo kibaya kipi??

Balaa lilianza miaka ya 2000 baada ya kuanza hizi NGOS,.Mambo mengi ya kuandika muda mchache Ila mambo yamevurugwa makusudi kugawa watu..
 
Mzee huko Eden utatoka nje ya mambo yakidunia. Mimi sikupi story za kusadikika nakuambia the real deal.

Kipindi Hitler anachukua inchi alianza kufanyia utekelezaji maazimio yake ya kutokomeza jews kutokana na mambo waliyokuwa wakiyafanya na mipango waliyokuwa wanapanga dhidi ya race nyingine.

One of the things wameplan ni kutokomeza race zote ili wao wabakie pekee yao kwenye huu ulimwengu.

Yaani wataanza na race ya watu wachache (wazungu wale pure Aryan) then wataelekea race zingine.

Feminism ni njia tu ya kuelekea ushoga na usagaji. We haujilizi why imebadilisha muelekeo na kama haikuwa na malengo hayo umeona mafeminist wakipinga au kuprotest kuwa movement yao imekuwa compromised?

Mzee ingia hapo mtandaoni tafuta copy ya Talmud halafu soma vitu walivyoandika hapo utaelewa nini kinaendelea,achana na hizo mbaga za darasani ulizosoma kwenye History 2. Mzee acha kabisa.

The time Hitler anaingia kitu alifanya kuchoma madanguro ya majews jamaa walishaanza LGBTQ tokea kipindi hicho na waliazimia kuisambaza.

Alichoma mlima wa mavitabu ya program walizopanga kuzitekeleza na ndio maana na wao akaanza wachoma na kuwaua.

Leo miaka kadhaa baada ya Hitler kufa, wameanza utekelezaji wao upya wa kutokomeza races zingine kwenye program zao mbali mbali ikiwamo feminism, pornography, LGBTQ, Black lives matter, na maswala ys ujasusi wa kiuchumi.

Mambo ni mengi mzee niwie radhi kama naongea vitu vingi kwa wakati m'moja.
Unaongea vitu vingi Ila havina maana,ushoga ulikuwepo tangu sodoma na gomora,.tangu Karne ya kwanza,.madai yako kuhusu Hitler nishasema ni conspiracy theories,hiyo Tamlud Soma wewe me nishasoma kitambo.stick kwa madai yako jibu hoja,Soma kwa kuelewa..sijapinga ulichosema kuhusu feminism,hapa nataka kukwambia usichojua kuhusu feminism na agenda ilivyobadilishwa kua Kama inavyoonekana leo
 
Hapo South Africa si ndio maana wanaijeria wakienda ndio wanawala sana mabinti wa kule maana wanaume walileta us*ng* wa kucheka cheka na hizi itikadi za kimagharibi hadi zikashika speed zimewapunguza uwezo na umuhimu wao hadi wanawake zao wanawadharau.
Hapa nimekuelewa sana mkuu! Na Tz tupo speed ya 5g kuelekea huko.
 
Unaongea vitu vingi Ila havina maana,ushoga ulikuwepo tangu sodoma na gomora,.tangu Karne ya kwanza,.madai yako kuhusu Hitler nishasema ni conspiracy theories,hiyo Tamlud Soma wewe me nishasoma kitambo.stick kwa madai yako jibu hoja,Soma kwa kuelewa..sijapinga ulichosema kuhusu feminism,hapa nataka kukwambia usichojua kuhusu feminism na agenda ilivyobadilishwa kua Kama inavyoonekana leo
 
Attachments

  • IMG_20250502_213830.jpg
    IMG_20250502_213830.jpg
    261.6 KB · Views: 15
Back
Top Bottom