Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Hata usingehangaika kumjibu, huyo ni simp ndio wanaosimama mbele ya wanawake na kusema wanaume tunawaunga mkono kwenye feminism. Kumbe ni wanaume makasha tu hakuna mwanaume hapo.
Imekuuma kuwa amejibu kwa heshima? Hauna haki wala uwezo wa kuzungumzia wanaume wote. Wazungumzie incel wenzako.

Lakini si ulisema hautaki mjadala na mimi? Kumbe bado unaumia ninavyoonyesha jamii upumbavu na misogyny yako. Badala ya kuwadharau, kuwachukia na kuwabeza wanawake, jaribu kuwaheshimu na labda, labda atatokea mmoja unayeona amekuzidi atakupenda.

Kwa vile sioni tija ya kuendelea kujibizana na wewe sitakujibu tena. Nakuweka kwenye ignore list kwa hiyo hata ukinijibu kwa jina hili sitaona.

Amandla...
 
Ungekuwa na uwezo ungepiga marufuku wanawake kufanya kazi maofisini. Ungeweka sheria wanawake wakimaliza hiyo elimu (most likely darasa la 7) then wasubiri kina Zemanda waje wawaoe na kuzaa watoto na kulea familia baaaaasi!!!! Ambao hawatapata waume wa kuwaoa sijui inakuwaje??!!!!💁🏿‍♂️🤷🏽🤷‍♂️
Wanaunga tela kwenye ndoa za wenzao. Kwani hawa wasasa ambao hawaolewi unadhani hawaliwi na wanaume za watu?🤔
 
Oooh kumbe.
Jibu ni hapana.
So wewe ni mlengo upi mbona unajificha nyooka jitambulishe nikufahamu.

Wewe ni mwanamke au mwanaume?

Kama ni mwanamke au mwanaume why unatetea ushoga?
 
Kwani amekuambia hawezi kujitetea? Ushahidi mwingine kuwa wewe ni narcissist na chauvinist. Aliyeandika hahitaji utetezi wako na ana uwezo kabisa wa kusimamia hoja yake kuliko wewe. Yeye sio door mat kama unavyotaka wanawake wawe.

Amandla...
Bora hizo sifa kuliko wewe kuwa simp unatia aibu wanaume wenzako. Wiki ya wanawake wa shoka,wanawake wanakusubiria huko kwenye shughuli za clouds kavae vitenge vyao mkasheherekee mafanikio ya feminism na wanawake kutake over jamii.

Usituigizie hapa kwamba wewe ni wa kiume. Kiume huku unatoa shavu mambo ya kike.

U r a disgrace to manhood.
 
Imekuuma kuwa amejibu kwa heshima? Hauna haki wala uwezo wa kuzungumzia wanaume wote. Wazungumzie incel wenzako.
SIo tu haki nina hadi mamlaka ya kuongea kwa niaba ya wanaume kama wewe ulivyojipa haki na mamlaka ya kuwakilisha akina mama na wanawake ambao mentality yako inakwambia ni wenzako na mnafanania malengo na mpo sawa kabisa ndio maana upo hapa kugombana na fikra kinzani za kiume. Wewe ni kundi KE.
Lakini si ulisema hautaki mjadala na mimi? Kumbe bado unaumia ninavyoonyesha jamii upumbavu na misogyny yako. Badala ya kuwadharau, kuwachukia na kuwabeza wanawake, jaribu kuwaheshimu na labda, labda atatokea mmoja unayeona amekuzidi atakupenda.
Hakuna mjadala unaendelea hapa. Umeona kuna hoja nazijenga kukujibu zaidi nina kucrush tu. Siwezi kuwa na mjadala la wewe sababu umeshaonyesha clear sio kundi moja na wanawaume upo na wanawake mafeminist kundi ambalo hata kuna wanawake wanaona lina shida wewe unaenda kujipendeza kuliwakilisha, hii ni fedheha sana kwa wanaume wenzako. Haujui tu. Wewe inaelekea hata ofisini huwa unawachoma wanaume wenzako kwa mabosi.
Kwa vile sioni tija ya kuendelea kujibizana na wewe sitakujibu tena. Nakuweka kwenye ignore list kwa hiyo hata ukinijibu kwa jina hili sitaona.
Itakuwa jambo zuri kwa maana hauna faida yoyote cha zaidi unakuja kuharibu tu mada. Kwani before ulishawahi kuona kuna sehemu nimekushirikisha au kutegemea hoja zako ziwe sehemu ya mijadala yangu? Nadhani unajipa umuhimu uliopitiliza.
 
Bora hizo sifa kuliko wewe kuwa simp unatia aibu wanaume wenzako. Wiki ya wanawake wa shoka,wanawake wanakusubiria huko kwenye shughuli za clouds kavae vitenge vyao mkasheherekee mafanikio ya feminism na wanawake kutake over jamii.

Usituigizie hapa kwamba wewe ni wa kiume. Kiume huku unatoa shavu mambo ya kike.

U r a disgrace to manhood.
Unavyoteseka hivi, bas nachekaa had Co poa.
😂😂😂😂😂
 
So wewe ni mlengo upi mbona unajificha nyooka jitambulishe nikufahamu.

Wewe ni mwanamke au mwanaume?

Kama ni mwanamke au mwanaume why unatetea ushoga?
Natetea ushoga kwa 7bu nao ni binadamu na wana haki ya kufanya vile watakavyo, ikiwa hawakiuki kanuni na sheria za nchi.
 
Natetea ushoga kwa 7bu nao ni binadamu na wana haki ya kufanya vile watakavyo, ikiwa hawakiuki kanuni na sheria za nchi.
Tetea na majambazi,wauwaji,wezi,wabakaji wa watoto na kadhalika basi.
 
Ifikie pahala wanaume mkubali tu kwamba yote mnayoyapigania ni kwa maslahi yenu na si ya wanawake wala ya jamii acheni hizi propaganda zenu za mwaka 47 siku hizi wanawake wana akili, maana kila ukiuliza madhara ya feminism kwa wanawake wenyewe hakuna mwenye majibu yaliyonyooka utaletewa kiswahili kirefu halafu mwisho wa siku utagundua hayo madhara ni kwa wanaume, ila wanaume wanatumia self serving reverse psychology trick ili ionekane kama vile wanapigania maslahi ya wanawake na ya jamii kwa ujumla ili mradi tu wanawake wafanye yale wanaume wanayoyataka
Aisee umesemaje hapo? Ebu weka kirahisi kwa sie backbenchers kuelewa
 
Tetea na majambazi,wauwaji,wezi,wabakaji wa watoto na kadhalika basi.
Unaona sasa, kumbe ndo akili yako imeshia hapo?
Jambazi na wauaji wanatoa uhai au kuharibu maisha ya wengine.

Wabakaji wa watoto au walawiti ni wanaingilia uhuru wa miili na hisia kwa wasio jiweza au wasio na nguvu ya utetezi juu yao.

Wezi wanachukua au kupora mali na vitu vya wengine pasipo ridhaa ya wahusika.

Mashoga wanatumia miili yao, hisia zao na kwa ridhaa yao wenyewe.

Umeona utofauti wake hapo? Hujambo lakini?
 
😂😂😂😂 kwanini lakinii?
Anafoka Hadi kwenye uandishi .. Sasa ni nyuma ya keyboard live itakuwaje.

Ila nyote mna hoja..

Minority VS majority...
Threat perceived are they real big au Ni just a small threat with no ripple effect in how our society is governed

Na swala la justice linaingilia kati ...

Duniani Kuna maswala Qua trillion to deal with...

Nafikiri Kinyago ni kidogo ila through media Kinakuwa casted as if it a big enormous Kinyago...

Kuna lots of issues to Discuss and reach a solid and profound conclusion
 
Back
Top Bottom