Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 14, 2018 #19,701 mwekundu said: Me nilijua ninaloliona hilo ni alone Garasa la kireno hili halichelewi kujipiga chenga hili Click to expand... Ila siku hizi anajitahidi. Mwaka jana ndiyo alitunyima ligi.
mwekundu said: Me nilijua ninaloliona hilo ni alone Garasa la kireno hili halichelewi kujipiga chenga hili Click to expand... Ila siku hizi anajitahidi. Mwaka jana ndiyo alitunyima ligi.
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,362 Reaction score 5,606 Jan 14, 2018 #19,702 Roberto Roberto
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,161 Reaction score 17,064 Jan 14, 2018 #19,703 GUI1 said: Hatari sana mkuu, hata Enlique alikuwa anampenda balaa Click to expand... Sie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake.
GUI1 said: Hatari sana mkuu, hata Enlique alikuwa anampenda balaa Click to expand... Sie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake.
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,362 Reaction score 5,606 Jan 14, 2018 #19,704 Ziroseventytwo said: Sie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake. Click to expand... Hatari sana
Ziroseventytwo said: Sie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake. Click to expand... Hatari sana
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jan 14, 2018 #19,705 Naona S.Roberto ameshaanza kyikubali nafasi ya RB anashambulia sana na kupiga cross almost Dani Alves
Naona S.Roberto ameshaanza kyikubali nafasi ya RB anashambulia sana na kupiga cross almost Dani Alves
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,362 Reaction score 5,606 Jan 14, 2018 #19,706 Duuhh hawa jamaa wana bahati na sisi balaa
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,355 Jan 14, 2018 #19,708 Real sociedad Piiiiiiiiigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaooooooooooooo
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jan 14, 2018 #19,709 Oooh stupid goal
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jan 14, 2018 #19,710 Ziroseventytwo said: Sie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake. Click to expand... Bora hata bakandevu......
Ziroseventytwo said: Sie ndio hatuoni umuhimu wake. Ni kama Bakayoko kwa Chelsea. Anaonekana flop lakini Conte panga pangua hamwachi kwenye X1 yake. Click to expand... Bora hata bakandevu......
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 14, 2018 #19,711 Aaargh. Wametupiga moja dk ya 10. Hawa washenzi huwa wanapress agressively wakiwa kwao.
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jan 14, 2018 #19,713 Goli litarudi na tutawaongeza Tulizeni munkari
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jan 14, 2018 #19,714 Tushalizwa kamoko.....cleansheet imeharibika...
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 14, 2018 #19,715 Eusebio Ecristan anatujua nje ndani. Watalala ti lakini.
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,748 Jan 14, 2018 #19,716 Historia Mbaya Anoeta
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 14, 2018 #19,717 Hii midfield yetu ya Gomes na Paulinho huwa haiwezi ku control tempi na kumiliki mpira. Hapa Valverde ame gamble pakubwa.
Hii midfield yetu ya Gomes na Paulinho huwa haiwezi ku control tempi na kumiliki mpira. Hapa Valverde ame gamble pakubwa.
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,355 Jan 14, 2018 #19,718 Sociedad Pigaaaaaaa umbwaaaaaaaaa haooooooooooo
freeboy JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 242 Reaction score 191 Jan 14, 2018 #19,719 Red Giant said: Hii midfield yetu ya Gomes na Paulinho huwa haiwezi ku control tempi na kumiliki mpira. Hapa Valverde ame gamble pakubwa. Click to expand... Hatakua kabet leo kocha sio bure timu kama sociedad unawaanzisha team moja paulinho na gomes
Red Giant said: Hii midfield yetu ya Gomes na Paulinho huwa haiwezi ku control tempi na kumiliki mpira. Hapa Valverde ame gamble pakubwa. Click to expand... Hatakua kabet leo kocha sio bure timu kama sociedad unawaanzisha team moja paulinho na gomes
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Jan 14, 2018 #19,720 We are being outplayed. Walikuwa watupige la pili.