FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Contract agreement zilisema ivyo kuwa anataka Jersey namba 10
Basi kama ni ishu ya Contract kumbe ni suala ambalo linawezekana kwa mchezaji mwenye binafsi kupendekeza anataka kitu gani na siyo kwa 100% haiwezekani kwa mujibu wa sheria namba 79 as you mentioned!
 
Suarez anakuwa lone striker,nyuma yake Messi,kulia Dembele,kushoto Coutinho-hapo ni mvua ya mawe tu.Suarez kila saa atakuwa anatikisa nyavu maana hiyo supply line ni hatari-wakati huohuo Paulino appearing from nowhere to create more havoc
 

Thanks God Macherano leo anacheza nadhani technical board hawajakubaliana moja kwa moja Macherano aondoke wameamua kumjaribisha safi sana mimi nina 100% asiondoke japo umri unamtupa ila bado anakipiga fresh kushinda hata Pique

Dembele leo ataanzishwa ,moja ya vitu vinavyomkabili ni pressure kutoka Barca fans ku prove je ile hela ilienda kihalali? (This is natural kwa binadamu) pili ni adaptability ya Barca style so kama kawaida yetu fans tumchukulie kama yai letu tunalolilea lisivunjike with time ata cope na ta deliver as expected. Team kama barca ni world class thats watu sometimes wanakua aggressive pili world class players like Iniesta, Messi,Suarez wanakua na tabia yakumeza uwezo wa player automatically
 
Suarez anakuwa lone striker,nyuma yake Messi,kulia Dembele,kushoto Coutinho-hapo ni mvua ya mawe tu.Suarez kila saa atakuwa anatikisa nyavu maana hiyo supply line ni hatari-wakati huohuo Paulino appearing from nowhere to create more havoc
Patakuwa panachimbika mpaka basi yaani
 
Inasemekana ndiyo itakuwa game ya mwisho kwa Masherano,Yerry Mina Anatua kesho kama mbadara wake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…