jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,689
The way I see it na upeo wa Velverde kuweza kutuprove wrong fans I don't see C,kuja Barca particularly na hiyo price tag.Velverde will unearth a cheap gem from nowhereWazee kama mlinistukia nilikua nakwepa ku post habari za Coutinho kwa sababu failure ya ujio wake Barca niliwahi kuabika ila hii kali niliyoipata inanilazimu kui post
Eti ni kweli anatafutiwa nyumba jijini Barcelona ili atue mwezi January?

