FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Word is rife in the Catalan capital that Angel di Maria is edging closer to a Barcelona move
OK Madam! But vp kuhusu Fekir (Lyon), Arthur (Gremio), Ozil (Arsenal) na Oscar (China), nani anatufaa zaidi kupambana na hali yetu dhidi ya UCL kuanzia February??
 
Sijaona tija ya huu usajili kiukweli
Au cyo Mkuu! Vp kuhusu Fekir (Lyon), Arthur (Gremio), Ozil (Arsenal) au Oscar (China), nani anatufaa zaidi kupambana na hali yetu dhidi ya UCL kuanzia February??. Maana uongozi pia unafikiria kumnasa 1 wapo kati ya hawa.
 
Mkuu ntatafta mda niwaangalie hao watu. Hasa Fekir na Arthur
 
Au cyo Mkuu! Vp kuhusu Fekir (Lyon), Arthur (Gremio), Ozil (Arsenal) au Oscar (China), nani anatufaa zaidi kupambana na hali yetu dhidi ya UCL kuanzia February??. Maana uongozi pia unafikiria kumnasa 1 wapo kati ya hawa.
Ozil haondoki gunners ng'ooo!!!!!!
 
Usisahau mastermind Velverde ambaye mpaka leo tumeshindwa kumuelewa lakini anatupeleka the promised land ndio anamuona huyo.
Velverde hajamleta mchezaji hata mmoja na favorite wake ni Griezman (left flank ) je atafanikiwa?me nikiandika in order of importance aletwe kwanza Griezman (can play left wing) then afuate Coutinho(offensinve/holding midfielder ambaye for now its not a problem for Barca we have alot of options )
 
About Ozil can offer what Iniesta, S.Roberto, Rakitic ,Paulinho ,Messi (as play maker ) does

Wazee tukishindwa hata Angel Dimaria aje he is good as offensive midfielder na left winger (ambayo sasa hv hatuna kiasi tunamtesa Jordi Alba na Delouf alishafeli)
 
Barca sio mbaya kama tulivyodhania Velverde anatakiwa awe more adventurous,apanue width from the word go-hasa away games ndio maana na insist flanks ni muhimu kwingine kote we can manage.With Suarez back in form na Paulino runninig box to box-we are just tops
 
Busquets ni kijana but old school, hana Facebook,Twitter wala Instagram,simu yake iko on silent saa zote-despite being the odd one out in the Barca dressing room,he does not mind missing the commercial incentives others get on these platforms
 
Maestro...huyu jamaa ndio pillar yetu whether we like or not tena nowdays naona kama yuko kwenye peak form sana

Labda haamini kwenye social networks anaona vitampotezea muda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom