FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tetesi
MAN UTD YAJITOA KWENYE MBIO ZA GRIEZMANN

Njia itakuwa nyeupe kwa Barcelona kumsajili Antoine Griezmann kwa kitita cha paundi £89 milioni kwani Manchester United hawatafanya mchakato wa kumsajili mshambuliaji huyo wa Atletico Madrid kwa mujibu wa Marca .
 
Tetesi
BARCA YAJIPANGA KUMSAJILI DI MARIA

Barcelona bado inataka kumsajili Angel Di Maria, na Paris Saint-Germain imetaja bei yake kuwa £45 milioni kwa mujibu wa ESPN .
 
Tetesi
SPURS YAMTENGEA DAU NONO SUAREZ

Tottenham wanaandaa dau nono kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, kwa mujibu wa Don Balon .
Spurs wanaamini Barcelona watakuwa tayari kumuuza Suarez kwani wanalenga kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann, na miamba hao wa London wameshaanza mazungumzona wawakilishi wa mchezaji huyo.
Lakini mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool anasita kuondoka Camp Nou licha ya kuongezeka ushindani wa namba.
 
Di maria is not a good option for us.

Kwanza umri umeenda sana, so we cant have him playing at his best for a couple of years to come!

Pili, hatoweza kucheza UEFA this season. Keep it in your mind that, UEFA is our main target. Laliga tunashinda sana mpaka tumeizoea!

We need someone who can play in the champions league akaongeze makali ya flanks zetu.

WE NEED TO WIN THE CHAMPIONS LEAGUE!
 
Kabisa Mkuu, Aje Arthur kutoka Gremio, Brazil...
 
Duuuuuhhhh!!!!!!!!!!!!! Man City wanataka kulipa release clause ya Umtiti-jiji la Barcelona limepigwa butwaa
 
Tetesi
SPURS YAMTENGEA DAU NONO SUAREZ

Tottenham wanaandaa dau nono kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, kwa mujibu wa Don Balon .
Spurs wanaamini Barcelona watakuwa tayari kumuuza Suarez kwani wanalenga kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann, na miamba hao wa London wameshaanza mazungumzona wawakilishi wa mchezaji huyo.
Lakini mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool anasita kuondoka Camp Nou licha ya kuongezeka ushindani wa namba.
Number ya suarez haina ushindani wala hatuna substitute wa Suarez in reality huyo muandishi kapamba gazeti tu
Hata wakati Suarex yuko kwenye low form hauwezi ukamfananisha na Paco Alcacer
 
Suarez ni striker pekee Europe anayepata chance nyingi due to his positioning ability-hii goal drought yake imekwisha watch him go-hata match ya RM ange convert chances zote-ingekuwa landslide-Velverde aliona hii mapema ndio maana hata mpira ulipokataa alikuwa anampanga-he cannot be sold labda kama fc barca wanataka riot
 
Tumrudishe Sanchez apige wingi ya kushoto atatusaidia mno katika UEFA uku mwishoni mwa msimu huu tukitafuta mchezaji mwenye umri mdogo ataedumu mda mrefu katika nafasi iyo ila naamini tukimuamini Jose Arnaiz anaweza fanya mambo makubwa.
 
Sanchez!!!!!!!! Are you serious?????
 
Wazee kama mlinistukia nilikua nakwepa ku post habari za Coutinho kwa sababu failure ya ujio wake Barca niliwahi kuabika ila hii kali niliyoipata inanilazimu kui post

Eti ni kweli anatafutiwa nyumba jijini Barcelona ili atue mwezi January?
 
Binafisi sijasikia hiyo ila Klop kama kawaida, kakanusha kwamba Liverpool haina mpango wa kumuuza Coutihno. Source: All Football App.
 
Wazee kama mlinistukia nilikua nakwepa ku post habari za Coutinho kwa sababu failure ya ujio wake Barca niliwahi kuabika ila hii kali niliyoipata inanilazimu kui post

Eti ni kweli anatafutiwa nyumba jijini Barcelona ili atue mwezi January?
Bora aje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom