FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi huyu kocha anawaza nini kuhusu Gomez kwenye mechi ngumu kama hii? Halafu kuna media zinaeleza kuwa hajawahi kumfunga Diego Simeoni?
 
S.Roberto ana prove wrong kwa kocha ,hivi kwanini huyu dogo hapewi dk 80-90?
 
Kocha leo katuua na sub zake mbovu, kumtoa Iniesta na Semedo mi nadhani haikua sahihi. Toka mapema Gomez ilibidi ampishe Sergi Roberto yan ad leo nashangaa kwanini Sergi Roberto anachezeshwa no.2 akati kama leo nilitarajia aanze nafasi ya Gomez.
 
Nimegundua kitu leo yule Delofeu winga ya kulia ndo anaiweza zaidi kuliko tunavomchezesha no.11 kajitahidi sana leo ad nmeshangaa.
 
upload_2017-10-15_0-21-46.png
 
Kocha leo katuua na sub zake mbovu, kumtoa Iniesta na Semedo mi nadhani haikua sahihi. Toka mapema Gomez ilibidi ampishe Sergi Roberto yan ad leo nashangaa kwanini Sergi Roberto anachezeshwa no.2 akati kama leo nilitarajia aanze nafasi ya Gomez.
Gomes alivyorudi kati aliperform vizuri ,tactic mbovu alipomchezesha wing ya kulia

Raki ndio tatizo na alba alikuwa hovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom