NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,518
- 3,130
Mkuu hakuna kitu huwa nakereka kama hicho mkuu!Ila jamani wana Barcelona wenzangu pamoja na yote hua naumia sana nikimuona Sergi Roberto akichezeshwa beki ya kulia. Kwa maoni yangu namkubali sana huyu jamaa na naamini nafasi ya Raktic anaimudu sana akipewa nafasi mana kwa upande wa Iniesta huyu jamaa mnasema kazeeka ila mie sijaona Iniesta akicheza vibaya yani kila match anacheza vizuri mno. So mi naamini ni wakati wa kumuamini acheze kama kiungo na pia ni wakati wa kumuamini Denis Suarez acheze nafasi ya winga ya kushoto/
Yaan kocha sijui ni nini anataka approve kumpanga beki 2