FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Marlon ndio best fit ya Gerald Pique huyu dogo muangalieni ana bright future
 
huyu dogo wa moya wa barcelona anacheza fresh.

haha wewe unawategemea wabongo!! hao ni kicgwa cha mwanda wazimu
Mbona nimesikia wako sober house🙂🙂huyo.sandro wachezaji wakiondokaga barca wanakuwaga wazuri. Si unamcheki pedro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom