mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,700
Game zimebakia dk 45 sina wasiwasi hata kidogo ni makosa tu madogo tunahitaji kurekebisha tumepata nafasi za kufunga zisizopungua 6 tumekosahizi nane zitafika kweli???
Game zimebakia dk 45 sina wasiwasi hata kidogo ni makosa tu madogo tunahitaji kurekebisha tumepata nafasi za kufunga zisizopungua 6 tumekosahizi nane zitafika kweli???
ha ha ha ha hizo naona ni vice versa mnaongezwa nyie tuGame zimebakia dk 45 sina wasiwasi hata kidogo ni makosa tu madogo tunahitaji kurekebisha tumepata nafasi za kufunga zisizopungua 6 tumekosa
nadhani tutachukuaUkilikosa mwaka huu tena itaku cost 5 years tena ulipate
yeahMbona nimesikia wako sober househuyo.sandro wachezaji wakiondokaga barca wanakuwaga wazuri. Si unamcheki pedro.
sioni mkifungwa ila pia sioni mkiwa mabingwa.Game leo imetukataa anyways ngja dk 20 ni nyingi kwa Barca
Hii ni nutmeg ya karneHILI GOLI LA MESSI LINGEKUWA BALAA ENDAPO LINGEKUBALIWA