Kajitahid sanaTer stergen ni goalkeeper wa ukweli sana aisee
kweli aisee. ila walau katengeneza kona. Naona roberto wamemwambia aende kati asilende kiwingu nyuma. na hivyo tumejitahidi kumiliki japo wakiupata inakuwa hatari.Rafinha leo match imemkataa sana
We haushindi kwenuSijajua kwa nini mpaka sasa hamja fungwa
kila siku kwa jirani saa nne unapigwa tena leo na Villareal
hahaaa ngumuu sanaa kwa sasaa labda kpnd cha kwanzaaSijajua kwa nini mpaka sasa hamja fungwa
hujaona kazi ya stegen.Sijajua kwa nini mpaka sasa hamja fungwa
We haushindi kwenukila siku kwa jirani saa nne unapigwa tena leo na Villareal
Kapiga kazi ila kina gameiro nao walikuwa wazembehujaona kazi ya stegen.
Sio kawaida yake ileSuarez kakosa goli kwa makusudi
Alitaka apige wide ileSio kawaida yake ile
Ha ha ha we tulia hii ni Lamasia styleAlitaka apige wide ile
Amenikera japo sishabikii tim yake
Ha ha ha we tulia hii ni Lamasia style
Rafinhaaass 63 min one![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa najiunga wembley
Ntakuwa nafuatilia povu lenu hapa