Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,855
Pointi wesha chukua dhidi ya Atletco Madrid
HahahaUsiondoke we jirani subiria na cha usiku ule
Hahahaa
Mwaka huu hamchukui la liga mark my words
Hiyo data sija ielewaView attachment 474806
Angalia fact hii hapa mmeshafanya usajili sana ili mchukue Laliga
Ndani ya miaka 11 sisi tumechukua mara 8 kuna upinzani hapo tena Laliga?thos is completely dominanceHiyo data sija ielewa
Mwaka huu tunajigomboaNdani ya miaka 11 sisi tumechukua mara 8 kuna upinzani hapo tena Laliga?
Ike walimpasiaKING MEEEEEEESI
Labda laliga la kigamboniMwaka huu tunajigomboa
mna kihoro moto unaotokea nyuma yenu unawafanya mpagawe ha ha ha [HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]na leo usiku wanalazimishwa sare na wazee wa sare. sisi waleeeeee. hawawezi mbio ndefu hawa.Ndani ya miaka 11 sisi tumechukua mara 8 kuna upinzani hapo tena Laliga?
Kuna mpira unachezwa bila kupasia?Ike walimpasia