FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kabisa La Masia ina mchango mkubwa sana kwa mafanikio ya soka la Spain.

Siku ikidondoka La Masia soka la Spain litayumba sana.
Roberto Carlos alisemaga kuna tofauti kubwa sana kati ya Real na Barca. Moja inaunda silaha zake yenyewe moja inaua kwingine ndio iokote.
Saa hapa penye kuokota ndio inasomba wahuni.
Mmoja wa wahuni jana alitaka kuuwa kitoto kidogo ambacho ukikiangalia unaona hd viguu misuli bd kabisa ila kanatandika mishuti
 
Dah, nilijua atakuwa kamvunja kabisa. Wale Argentina wamepinda
 
Wanangu wa katalunya mambo yanaendaje?

Vipi kuhusu usajili wetu mpaka sasa tumeshavuta Gordon,Adeyemi na Bisiwu.

Deal la Rodri negotiations zinaendelea japo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa nae.

Mnaonaje hapo vipi kuhusu beki?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…