FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tumerudi tena juu ya table.

Penalty FC walitushikia nafasi kwa muda.

Scars

Busu la Kenge
Utofauti wa sisi na nyie, sisi hatunaga malalamiko ya kishamba pale tunapopoteza mechi.

Tukifungwa tunaimisha kichwa chini tuna focus na mechi ijayo.

Lakini nyinyi mkipoteza tu mechi hapo hapo mkitoka tu uwanjani mnapitiliza stationery kuchapa barua za malalamiko.

Shirikisho linalalamika barua zenu zimekuwa nyingi kama files za Epstein.

Bado na huku mtandaoni mashabiki wa Barca mmekuwa kero kwa lawama mara mlaumu kukosekana kwa baadhi ya key players wenu mara mlalamikie maamuzi ya refa.

Yani kiufupi vilio vyenu havieleweki kama msiba wa kichina.

Sasa kwasababu tushajua nyinyi hamna guts za ku handle maumivu bila kelele inafikia wakati tunawaombea mshinde ili mji utulie.
 
Nili mwambia mtu kama mpira ungekuwa game 1 tu, simeone angekuwa kaenda fainali nyingi sana.

Maana hawa makocha wenzie wana plan ya kukamia mno, anyway barca aishie hizo hizo 3.
 
FT 3 4 tumeshindwa kuchomoa.

Sio mbaya acha tufocus na ligi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…