FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hata mashuti madogo wamelenga sana goli kuliko big Fish
 
Kulingana na judgment ya refa hii incident ni foul
Your browser is not able to display this video.
 
rasmi namuondoa kwenye mika yangu mbavu zako barc
Juzi mashabiki wa Barca walikuwa wanaitukana Atletico kuwa inazikazia timu kubwa halafu inakuja kupoteza dhidi ya timu ndogo.

Nadhani sasa hawamuoni Atletico kama mzembe ni jambo ambalo linaelezeka tu.
 
Hawa ma commentator kama sio mashabiki wa Barca basi walikuwa na mikeka yao mifukoni

Yani Barcelona kufungwa kumewapagawisha kabisa wanakomalia faulo utafikiri wamechezewa wao

Your browser is not able to display this video.
 
Goli la babu sio tu kwamba haliingii kwenye rekodi ya goli, bali hata kwenye stats za on target hakuna.

Your browser is not able to display this video.
 
Unapo mlaumu Barca kwa kuchana mkeka wako unapaswa ukumbuke Barca alipoongoza bao 1 Muhindi alikupa cashout ila kwa tamaa zako ukajifanya hujaiona.

Nimeingia IG ili nimuone huyu jamaa, actually mi nishabiki yake sana kwa jinsi ambavyo anauongelea mpira.

Tunatofautiana tu kwenye ushabiki wa vilabu vya Spain.

Sasa hapa nashindwa kuelewa haya maumivu ni mapenzi kwa Club au ni biashara?

Au ni mchanganyiko wa vyote?

Anyway nimefurahi BTW.

Your browser is not able to display this video.
 
sajo angalia changamoto za mgeni na mwenyeji kwenye hii picha
Ha ha haaaa, mgeni anautamani kabisa msosi ila anavunga ameshiba.

Mwenyeji anabembeleza mpaka kumletea chapati usoni kabisa😄😄 ndio baadae mgeni akubali kula, anasema, nitie baraka kidogo tu.😄

Tunazingua sana aisee
 
Reactions: Lax

NAam, ndo utamaduni wa kitanzania huu, mambo ya ajabu sana
 
Barcelona akikosekana raphinha tu hamna timu ipigwe tu hakuna namna
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…