FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sahau mabadiliko ya tabianchi… tishio halisi kwa binadamu ni Chelsea kuibondabonda Barcelona 3-0 tena na tena tangu 2012 😅. Hospitali duniani zinaripoti wimbi la ghafla la mashabiki wa Barcelona wanaohitaji tiba ya kisaikolojia, la sivyo watachanganyikiwa bila msaada wa haraka 💙
 
Mtoto mchele mchele kitumbua tumekisasambua ipasavyo, binti mtamu mtoto m'bichi kabisa na huna maringoo 😂😂😂😂😂
 
My wetu madrid hawezi kabisa kutukazia tukimuhitaji.

Tunajidundia na kujinywia tu kama togwa ya ngomani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…