FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Msimu umeshaisha huu.

Tulichovuna tumevuna na tulichokosa tumekosa.

Mechi ya tar 15 na Espanyol tunaenda kutangaza ubingwa wa la liga.

Muhimu tujipange mwakani turudi tukiwa na nguvu zaidi.
Mkuu ukweli ni kua hatuna beki wa nyuma. Hasa ikiwa balde na kounde hawapo. Viongozi walifanyie kazi hilo
 
Ligi yenu ni dhaifu aisee haiwezekani timu b ichukue ubingwa kirahisi hivi na watoto wanaonyonya bado
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…