Watoto vs wazazi/ kaka zao
Mwisho wa siku mkubwa kaonekana ni mkubwa tu na watoto ni watoto tu. Kulikuwa na utofauti mkubwa wa umri wa wachezaji kati ya kikosi cha Inter dhidi ya Barcelona.