King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Beki ni mbovu na bado hazikabi ndio zinafanya Barcelona kufungwa hovyo.
Mimi Niko chumbani mkuu hata siangalii maana naweza kupata heart attack ya ghafla,Wazee presha ya mpira ni kubwa saana hasa ukitaka timu Fulani ifungwe alafu haiwi hivyo.
Mkuu hii stori achana Nayo mana mapenzi ya mpira ni mabaya sana.😂Kama timu gani?😁
Wacha tuone mastaMpira ni dakika 90
Mimi naanglia kupitia hapa sitaki kulala na mawazoMimi Niko chumbani mkuu hata siangalii maana naweza kupata heart attack ya ghafla,
Mbn ghafla 😄Mimi naanglia kupitia hapa sitaki kulala na mawazoView attachment 3326493
Hii game Bora nichek marudio lakini sio live kabisa.Mbn ghafla 😄
Wacha mpira uisheTimu za spain ufalme wao wa kutamba barani ulaya umekwisha.
📍Hili lieleweke 📍
Bora iwe hivi mpira ungeisha kiwepesi SanaHaiwezekani unapigwa mbili afu unachomoa zote kisha unaongeza moja. Dakika 3kabla ya mpira kuisha unapigwa lingine. Duuh
lewandowiski ni WA Scotland au ndio Usha lewa broHuyu Ni mwaribufu 100% miyeyusho Sana huyu faza wa Scotland